Wanawake ombaomba wamezigeuza mbususu zao bakuli la kukusanyia mapato

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Tunaishi nao tunawalea na tunawafuga sasa mwisho wao umefika hakuna mjinga tena ukweli usemwe kizazi kipone kataa omba omba

katika juhudi za mapambano ya kutokomeza kundi la watoto wa mitaani na watoto ombaomba, kumeibuka kundi kubwa la wanawake ombaomba kwa makundi rika tofauti tofauti huku wakizitumia na kuziweka rehani mbususu zao kama bakuli la kukusanyia mapato kutoka kwa wanaume bila kujali umri wa mwanaume wanaempea mbususu ili waweze kumuomba hela / huduma ambapo kwa msemo wa sasa wanasema maokoto

* Wanawake ombaomba wamegeuza mbususu kuombea hela ya kusuka, hela za mavazi na viatu vizuri vizuri ili waonekane wanaenda na fasheni na wazuri kitu ambacho siyo kweli ni ujinga mtupu

* Wanawake ombaomba wamegeuza mbususu zao ili wapate hela kutoka kwa wanaume za kununua simu kali , watolewe out sehemu kali kali wajipige picha wakiwa wamebinua matrako na kuzipost mitandaoni kwa lengo la kuwaringishia wenzao

* Wanawake ombaomba wamegeuza mbususu zao kama bakuli la kuombea hela za matumizi kwa wanaume ikiwemo kodi , kujaza gesi, vocha, chakula na hata zakufanyia starehe za kipuuzi puuzi

*Wanawake ombaomba wamegeuza mbususu zao bakuli na ticket za usafiri kuombea lift kwenye magari ya watu binafsi, bodaboda na hata bajaji

ikumbukwe pia kama jamii tunafahamu wazi kuna dada poa ila hawa wengi wao hawapo upande wa dada poa tunao waona barabarani na kwenye kumbi za starehe nyakati za usiku wakiuza miili yao waweze kupata chochote kitu, hawa wanawake ombaomba tunaishi nao majumbani kwetu, wengi wao ni wake zetu, mama zetu mashemeji zetu, wifi zetu, shangazi , bibi zetu dada zetu na haki kadhalika hata watoto wetu walioamua kugeuza mbususu zao kuwa bakuli la kuombea hela kwa wanaume na kukusanyia mapato kwa kigezo cha mahusiano ya kimapenzi au mahusiano ya kirafiki baina ya mwanaume na mwanamke.

Wanawake ombaomba wamekua wezi, matapeli na hata magaidi huku wakitumia mbususu kama bakuli la kumdhohofisha mwanaume anayejitafuta kimaisha na wakati mwingine kuwafilisi na kuwaua wazee wetu waliokwisha kujipata kiutajiri, wamewaangamiza vijana wadogo kwa kuwabaka kiuchumi na kuwaacha masikini huku wakiwapa majina ya wanaume suruali, wazee wanafia vifuani huko kwenye mages huku wakipewa majina ya mashuga dady wakizani wanapendwa kumbe bakuli la mbususu lipo kazini kukusanya mapato.

Wanawake ombaomba ni mwiba mkubwa sana na ni janga zito mno inapaswa lichukuliwe kwa umakini mzito na kushughulikiwa kwa hatua za haraka iwezekanavyo, haiwezekani wanawake au mabinti waache kufanya kazi, wajawe uvivu na tamaa mbaya kwa mfumo wa ombaomba alafu waendelee kuangaliwa hili halipo sawa kabisa.

Wanawake ombaomba ni wezi wa makusudi na matapeli wa wazi wazi washughulikiwe haraka maana wametapeli wengi , wameumiza wanaume wengi na hata kusababisha mauaji yatokanayo na wivu wa kimapenzi

Wanawake ombaomba ni hatari kwenye maendeleo na malezi ya watoto wetu, wameziacha na kutelekeza familia na ndoa zao nakugeuka ombaomba huku wakiwadanganya mabinti wazingatie maokoto na kuwaambia hakuna mwanaume atakaye kupenda, mbaya zaidi wanawafundisha wasichana wadogo jinsi ya kumfanyia mwanaume timing na kumuibia kupitia mbususu yake kama bakuli la kukingia hela

Wanawake ombaomba wakamatwe washitakiwe maana wanahujumu uchumi wa mwanaume na mapato wanayopata hawalipi kodi wao ni wahujumu wakamatwe mara moja na washitakiwe ni hatari kwa taifa husika

Wanawake ombaomba wanazakilisha Taifa husika kutoka kwa watalii wanao kuka kutembea taifa walilo lichagua ili kujionea vivutio, hawa wanatupaka matope kama taifa na kuturudisha nyuma hakika watokomezwe wanawake ombaomba

Wanawake ombaomba ni dada poa waliojificha kwa kigezo cha mahusiano ya kimapenzi ili wasijulikane, hawa wanaharibu watoto na mabinti wa dogo kwa kuwafundisha tamaa mbaya na vitendo vya kigaidi dhidi ya uchumi wa mwanaume

Wanawake ombaomba wapigwe marufuku ni hatari ,ni sumu kali kwa wanaume , wanalidhalilisha taifa wasifumbiwe macho ikiwezekana wa kamatwe washitakiwe.

Ewe mwanaume epuka mwanamke omba omba aliyeigeuza mbususu yake kuwa bakuli la kukusanyia mapato, huyu ni hatari sumu kwa maisha yako utakufa masikini hakika ukimuendekeza.
 
Tangu zamani PESA sio kitu cha kumpa MTU bure

Mwanamke ni vizuri ukamsaidia katika mahitaji ya msingi Kama chakula ,Afya Ila inapokuja swala la yeye kwenda na wakati mwambie afanye kazi halali huo uchi hauwezi kumbadilishia MAISHA .
 
Yapo mengi sana ukanda huo wa wanawake. Unakuta mwanamama anajidai amekuelewa mnawasiliana kwerikweri na humo Kati ya mawasiliano mnawezafikia hatua hadi ya kutumiwa picha na mengine mengi Kama kuitwa baby mara uitwe switie ilimradi tu uone mpo pamoja. Siku anakwambia anaomba pesa kidogo labda akapake rangi au kusuka. Ukishatuma pesa unashangaa mawasiliano yanapungua Mara siku mbili mbele anakwambia kuwa mumewe kaona sms Kuna ugomvi umpangie chumba.
Unaanza kujiuliza Kumbe. Kaolewa
 
Nakazia 2024 tubadilike kidogo mitazamo uetu kuhusu hao wadada poa wauzaji mbususu
 
Tangu zamani PESA sio kitu cha kumpa MTU bure

Mwanamke ni vizuri ukamsaidia katika mahitaji ya msingi Kama chakula ,Afya Ila inapokuja swala la yeye kwenda na wakati mwambie afanye kazi halali huo uchi hauwezi kumbadilishia MAISHA .
Hata uchi wa mwanamke sio kitu wanatoa bure. Hilo liko hivyo tuko binadamu ameanza kuishi kwenye hii Dunia.

Wanawake hawakuumbwa kuhangaika. Majukumu ya msingi ya wanawake ni kulea familia na kumhudumia baba ama mzee kwa kumpa utamu.

Hii ya mwanamke kufanya kazi ili apate pesa ni mambo tu ya utandawazi ila sio kabisa jukumu la mwanamke.

Wanaume tuwahudumie hawa viumbe ili tuwale bila shida yoyote.
 
Back
Top Bottom