Wanawake kuendesha gari peke yao...

Wanawake kuendesha gari peke yao...

Umenena vyema...

Aione HorsePower!

Lol, nimeoina charminglady, lakini mbona sisi huwa tunawapakia akina dada na saa nyingine mpaka tunasubirishwa na wala hatulalamiki? Magari yetu hayachakai? Na hapa hakuna issue ya security maana tunazungumzia lifti ya kuwapa japo wafanyakazi wengine, hofu ya nini?
 
Last edited by a moderator:
Kila mwanamke aliye na gari kanunuliwa.??? Acheni ushamba...huko ofisini kwako hamna wanawake walikuzidi salary. ...hauna mabosi wa kike.??? Hujasoma na mademu vichwa darasani...kumbe bado mna mawazo mgando eehh...mwanamke ni mama wa nyumbani.??heeee pole weeeeeee......cash aint nothing now days as long as uko vizuri kimshahara...si kila demu anahongwa km kina sepetu
Wengine kama wewe huwa mnagawa papuchi mpaka zinakaa wazi na zinaota sugu ili mpate hayo magari...
 
Bora umekuwa mkweli, na hili ndio tatizo kubwa.
Kwanza ukishamwona baba watoto afu kwenye gari kuna kidume kingine, kama hapendi mie mwenyewe naanza kutafuta justification ambazo hazipo.

Ila ambacho huwa nabaki najiuliza, kwa nini niwe mwema sana kwa watu wa nje kwa gharama ya maumivu kwa niliyenaye na kukaa tunagombana? Hata kama ni wivu wa kijinga, poa tu ni haki yake, si nilikubali mwenyewe tena kwa kujiangusaga tu?

baaaaasiiiiiiiiii!!!!! umemaliza na unajitambua........ siyo wivu wa kijinga , mimi huwa nasema mwanamke ni wa kumbana tu mwanzo mwisho ili siku yakikukuta usije ukajuta kwamba i was floppy na ili aweze kufanya vitu vyake vya kizombie zombie inabidi afanye almost to mission impossible............ siyo unamwachia mwanamke wako anakuwa accessible kama mouse ya kompyuta kila mtu akitaka kutia mkono wake ni rahisi tu.
 
wanachekeshaaaa hao..hawaoni watu wanavyochakarika ati. Siku hizi tumebeba majukumu yote kuzaa kwa uchungu na kula kwa jasho lolz.

Cc tofali

Yaan acha kabisa.. Bora tungekuwa wanaume ieleweke moja....
 
Last edited by a moderator:
Tunaogopa kutekwa .... Ukisema umpe lift mwanamke mwenzio, siku hizi nao hawafai, ndio waanzilishi wa madili...Acha nijiwekee zangu CD za kina Christina Shusho ndio zakunipa company.....
 
Yaani kama nakuona hivi shosti. Mimi sometimes hadi nawahurumia wanavyojikakamua na kupretend, halafu unakuta mtu kama huyo kwa familia yake ni mgumu na ni mkali utafikiri policcm kwa CDM.

ha ha ha ha ha!!!!!! hivi wewe unaisikia policcm kwa cdm au unaongea?......... kama ni hivyo basi huyo baba atakuwa gaidi kwa familia yake.
 
Lol, nimeoina charminglady, lakini mbona sisi huwa tunawapakia akina dada na saa nyingine mpaka tunasubirishwa na wala hatulalamiki? Magari yetu hayachakai? Na hapa hakuna issue ya security maana tunazungumzia lifti ya kuwapa japo wafanyakazi wengine, hofu ya nini?

Mie waendelee kuniona mbaya tu. 90% ya siku ninazotoka job huwa nakuwa na mishe zangu town. sasa kama watataka lift nkawakatalia then wapakaze shauri zaoooo.... Asubuhi ukute ndo.nshachelewa nakanyaga mafuta kama sina akili mzuri, akili inawaza sijui boss ntamuangaliaje.... Lazima nitampita tu.

Ila mie huwa natoa lift kwa watu ninao wafahamu tu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ukute umekula umin wako hatari ukikaa kinapanda hadi God knows whhere.

Off topic-huwa nazimia sana mdada mwenye ulegi wa uhakika halafu anadrive huku amepiga kimini!!! hatariiiiiiiiii

mkuu yaani mimi mama toto akipigaga kimini halafu akakaa mkao huu na alivyo na mguu mzuri mtoto wa kike huwa akili inavurugika haswaaaaa!!!!!!!
 
Mie waendelee kuniona mbaya tu. 90% ya siku ninazotoka job huwa nakuwa na mishe zangu town. sasa kama watataka lift nkawakatalia then wapakaze shauri zaoooo.... Asubuhi ukute ndo.nshachelewa nakanyaga mafuta kama sina akili mzuri, akili inawaza sijui boss ntamuangaliaje.... Lazima nitampita tu.

Ila mie huwa natoa lift kwa watu ninao wafahamu tu!!!!

Lift ya kwa hao hao unaowafahamu inatosha sana!
 
Ninyi wanaume dharau kwa wanawake zitaisha lini??
Inamaana mwanamke hana uwezo wa
kununua gari kwa pesa zake hadi anunuliwe??
kwa taarifa yenu wanawake ndo wenye pesa cku hizi kuliko nyie waume
kuna waume kibao wanonunuliwa magari na wanawake
na hata kuwezeshwa kibiashara na mambo mengine ynayofanana na hayo!!
wengine wanaenda mbali zaidi hadi kwa akina
kalumanzila ili wapate wanawake wakuwawezesha
Na kweli now days wanawake wana hela sana sababu biashara ya PAPUCHI na KABAANG inalipa sana hasa mahofisini yaani mshahara huugusi kabisa..
 
Bora umekuwa mkweli, na hili ndio tatizo kubwa.
Kwanza ukishamwona baba watoto afu kwenye gari kuna kidume kingine, kama hapendi mie mwenyewe naanza kutafuta justification ambazo hazipo.

Ila ambacho huwa nabaki najiuliza, kwa nini niwe mwema sana kwa watu wa nje kwa gharama ya maumivu kwa niliyenaye na kukaa tunagombana? Hata kama ni wivu wa kijinga, poa tu ni haki yake, si nilikubali mwenyewe tena kwa kujiangusaga tu?
mfyuuuu zako!
kwa hiyo jana ulivorudi nyumbani ukajiangusa? King'asti lete tarumbeta tudai picha za senema Nicas Mtei kuja huku Kaizer njoo uone mavitu ya ukween zombie kashapigwa mweleka!mujarab watu8 ile passport yangu heb nakuachia pale suka utaikuta ukaanze kunifanyia process za viza ya pariiii
 
Last edited by a moderator:
Wengine kama wewe huwa mnagawa papuchi mpaka zinakaa wazi na zinaota sugu ili mpate hayo magari...

Only because dada yako amesuguliwa mpk papuchi imepata sugu....na akahongwa gari thts y.....narudia tena poleee....nyie ndo ambao wake zenu wakitaka kununua magari mnakasirika wkt nae ana mkwanja binafsi
 
....ana lake jambo huyo, we subiri akishapata/ukishamtimizia hitaji lake kama atakusubili tena masaa yote hayo..

ahahahahhahaha mi mwenyewe jambazi sana tu!
atakoma mwenyewe kama ndo akili zake zilipo!
atatoa lift mpka siku nataka kwenda kwenye kidate!
 
oyaaaa nyie mnaotukana huko juu kuna watu tuna vidole vichafu kama tunauza gongo!
msituharibia siku hapa!
kahongwa kanunua kakopa inakuhusu nini!
kama kuhongwa gari ni kipaji KAHONGWE NA WEWE !
 
mfyuuuu zako!
kwa hiyo jana ulivorudi nyumbani ukajiangusa? King'asti lete tarumbeta tudai picha za senema Nicas Mtei kuja huku Kaizer njoo uone mavitu ya ukween zombie kashapigwa mweleka!mujarab watu8 ile passport yangu heb nakuachia pale suka utaikuta ukaanze kunifanyia process za viza ya pariiii

Hahahah....
Yaani kama namuona Konnie akiwa anaweweseka kwa kuzidiwa na malavidavi ya Super-Zombie
Mtani nasema bhaaaaasi kifuatacho ITVVVV ni kwenda tu Pariiii kutafuta sare za shughuli...hahahah
 
Mwanaume unaanzaje kuwa comfortable kubebwa na demu?

Mi nikipewaga lift na demu najishtukiaga sana.
 
Eti mnasema.......!......nani kanyimwa lift.......?..ni gari ilikuwa haina mafuta ama........?
 
Back
Top Bottom