Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Yaani haiwezekani
Viatu lazima vikae siti ya kati, ili iwe rahisi kuchagua unachotaka kuvaa wakati huo.
Tena ukute na watoto wanalitumia weekend sijui wameenda kuogelea, hapo utalia. Nyuma unaweza kuta kuna mchele, unga, ngano, sukari, na mafuta. Huku kati kuna nyanya, hoho, na taka taka zingine zote. Kiti cga mbele kuna pochi na mikate, skonzi, maandazi, trei la mayai linakaa chini sakafuni pale kwa abiria mbele ili yasianguke ukifunga brek ghafla.
Kweli gari ya mwanamke hata iwe kenta au fuso, linamtosha mwenyewe tu.

Wewe kwa sababu una ka-vitz naweza kukusamehe, sasa kwa mtu kama Kongosho mwenye Noah new model na Ipsum au wale wenye Nadia au Gaia au Prado, hilo gari zima utapakia hivyo vikorokoro ulivyovitaja tu? Hayo si matumizi mabaya ya barabara? Si ndo nyie mnaoongeza traffic jam barabarani maana gari kubwa umepanda pekee yako wakati wenzako hata bajaj wanapanda 5!
Na kwa kuongezea, hivi haya magari haya buti la kuwekea hizo sufuria za mtumba, karoti na kabichi? snowhite, usiniangushe!