MGASON
Member
- Nov 19, 2011
- 65
- 35
umesema vyema!!
Sorry unafanyia wap kaz? Naweza kuwa abiria wako one day...
umesema vyema!!
Sorry unafanyia wap kaz? Naweza kuwa abiria wako one day...
Tena nasikia vijana wa kiume wa siku hizi ndio wanaongoza kwa kuhongwa magari na mademu halafu wanaongoza kwa kutanulia piasi wanawake wote wanaoendesha magari wamehongwa wengine 2nanunua wenyewe ebo!
hahaha krb
si wanawake wote wanaoendesha magari wamehongwa wengine 2nanunua wenyewe ebo!
Cha kuhongwa kina masharti so lazima yazingatiwe...
nani kamuhonga ana makinda
Vgezo na masharti ya mnunuaji lazima yazingatiwe..
Bofl [ATTACH=CONFIG said:107247[/ATTACH]
Mmmh! Skuizi mnaita abiriaHivi ungekua wewe ndo mume wa huyo dada umemnunulia gari then kila siku unamkuta kapakia watu kwny hilo gari au kapakia wanaume unahisije utafurahia kweli?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
unasemaje tof....?Ampakie nani labda.??? Ukute mashost zake wa kazini wote wanamagari...au unataka ile ya posta 1000...kwa mwanamke kupakia abiria kituoni not safe..na pia mwanaume anaconfidence ht akisimamishwa na mtu asiyemjua anaomba lift ana mpakia..tofauti na mwanamke...uoga mwingi na pia si salama....na ht hao wanaume si wote wanaopakiza watu..halafu compare mgari unaopakiza watu kila siku unachakaa...gari nimenunua mwenyewe so I do wat I want.....