Wanawake kuendesha gari peke yao...

Wanawake kuendesha gari peke yao...

ahahahhahahhaha mi kuna mtu ofisini yupo radhi anisubr hata masaa sita!
ili anipe lifti tu japo mpka ubungo!ehehehhe nna set ya kudumu kabisaaa! Kaunga what else do we need wanawake sisi!
ahahahhah sante sana BWANA kuniumba mwanamke!

huwa unampa maneno matamu nini? lol,yaani hapo kidume kinaskia rahaaa burudani.
 
Last edited by a moderator:
Mbona siku zile nilikupa????????????:smile-big:

kwani mie mwanaume. ila duh, mpo tayari kumsimamishia gari mdada hata kama hamumjui lakini sio vidume wenzenu. badilikeni bana.
 
ahahahhahahhaha mi kuna mtu ofisini yupo radhi anisubr hata masaa sita!
ili anipe lifti tu japo mpka ubungo!ehehehhe nna set ya kudumu kabisaaa! Kaunga what else do we need wanawake sisi!
ahahahhah sante sana BWANA kuniumba mwanamke!

Umeona eeh.

Wanajifanya ni ukarimu wakati ni kujitimizia mahitaji yao tu ambayo ni company ndani ya gari au hata possibility ya kutupiamo mawili matatu.

Of course nasi wadada we take advantage ya needs zao kwa kupata free ride, but it never about us, it is always about them.
 
ish kaka mkubwa!yani gari ninunue mwenyewe af nikufanyie wwe roho ya kwanini
BTW ntaweka wapi viatu vyangu,na zile sufuria za mtumba je,karoti zangu na kabichi vikae wapi,kitenge changu cha sare ya kitchen party,ahahahhaa unataka nikiwa napaka wanja wangu uwe unaniangalia!sitaki bana

Wewe kwa sababu una ka-vitz naweza kukusamehe, sasa kwa mtu kama Kongosho mwenye Noah new model na Ipsum au wale wenye Nadia au Gaia au Prado, hilo gari zima utapakia hivyo vikorokoro ulivyovitaja tu? Hayo si matumizi mabaya ya barabara? Si ndo nyie mnaoongeza traffic jam barabarani maana gari kubwa umepanda pekee yako wakati wenzako hata bajaj wanapanda 5!
Na kwa kuongezea, hivi haya magari haya buti la kuwekea hizo sufuria za mtumba, karoti na kabichi? snowhite, usiniangushe!
 
Last edited by a moderator:
Ninyi wanaume dharau kwa wanawake zitaisha lini??
Inamaana mwanamke hana uwezo wa
kununua gari kwa pesa zake hadi anunuliwe??
kwa taarifa yenu wanawake ndo wenye pesa cku hizi kuliko nyie waume
kuna waume kibao wanonunuliwa magari na wanawake
na hata kuwezeshwa kibiashara na mambo mengine ynayofanana na hayo!!
wengine wanaenda mbali zaidi hadi kwa akina
kalumanzila ili wapate wanawake wakuwawezesha
 
ni vigumu sana kupata maelezo sahihi kwenye hili, ila alivyoeleza Kongosho mengi yana ukweli, hata wale waliowekezewa watapenda kujitetea kwa kusema wanalinda usalama wao ingawa ukweli ni kwamba uharifu wa njiani (siuungi mkono hata kidogo) kama vile kung'olewa kioo cha gari ktk foleni imekuwa ikiwakumba wengi walio peke yao ndani ya gari, na hasa hawa akina dada;
lakini pia kama ni usalama hata staff mwenzio kazini bado humwamini kwa miaka yote hapo kazini! anyway ni hiari yao kuamua kubeba mtu au la kwani kwa namna yoyote wao ndo wanajua shida walizopata hadi wakaamua kuwa na usafiri huo wao ama kwa kujichanga, mkopo, au hata kwa hisani!
 
kwani mie mwanaume. ila duh, mpo tayari kumsimamishia gari mdada hata kama hamumjui lakini sio vidume wenzenu. badilikeni bana.

We si umesema kuwapa lifti wanawake ni ngumu labda mpaka tutake kumtongoza

Ssa kwani nilipokupa lifti nilikutongoza????????
 
Umeona eeh.

Wanajifanya ni ukarimu wakati ni kujitimizia mahitaji yao tu ambayo ni company ndani ya gari au hata possibility ya kutupiamo mawili matatu.

Of course nasi wadada we take advantage ya needs zao kwa kupata free ride, but it never about us, it is always about them.
ahahhahahahha navopenda mteremko mie!
lol!nakuwaje msweet sasa nikiwa kene gari!
kesho naulizwa kabisa,vip umeshamaliza kazi zako!
uuuwih!nimekumbuka zile offer za dinner tukiwa kweny seminars ,nabebaje nauli tu ya kwenda!
issue ni maneno tu matamu matamu ya kusindikizia foleni na kusahahu hahdidu a reje kwa muda!
 
mimi ni mwanamke, na ninawaza ada za wa watoto, sikumbuki mara ya mwisho kuwazia handbags

nimejaribu kumpa tofauti in a simple language! Sababu mwanamke na mwanaume hutofautiana katika majukumu though sometmes hufanana kama usemavyo! Au siyo?
 
Back
Top Bottom