dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,943 Reaction score 3,531 Apr 27, 2016 #201 Aisee, ni moja ya mashart! Binafsi mke wangu hawez toa lift ovyo, unless ni kwa jiran au coworker na awe jinsia moja
Aisee, ni moja ya mashart! Binafsi mke wangu hawez toa lift ovyo, unless ni kwa jiran au coworker na awe jinsia moja
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,625 Reaction score 11,635 Apr 27, 2016 #202 kabanga said: kwa kweli wamama wanazingatia masharti, akipata ajali kwa baati mbaya, haongei mpaka mwekezaji afike...! Click to expand... Hapo red, kazi ipo. Kama mwekezaji yuko mkoani je? Patakalika?
kabanga said: kwa kweli wamama wanazingatia masharti, akipata ajali kwa baati mbaya, haongei mpaka mwekezaji afike...! Click to expand... Hapo red, kazi ipo. Kama mwekezaji yuko mkoani je? Patakalika?
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,938 Apr 28, 2016 #203 Masharti ya mnunuzi au mwekezaji kwa huyo mwanamke labda awe mitaa ya mbali na mhudumuaji
Jimbo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2015 Posts 616 Reaction score 468 Apr 28, 2016 #204 Dah, hilo jipu kwa hawa mademu maana ni ukweli mtupu! Kiufupi wana roho mbaya!