Wanawake kuendesha gari peke yao...

Wanawake kuendesha gari peke yao...

Last edited by a moderator:
Unawaambia wake za wenzio watoe lift wakati mkeo unamkataza! anza na mkeo tutaiga wengine

Hapana Kibibi Jongo, mke wangu yuko huru na atoa lift kama mimi ninavyotoa lift na wala sioni tatizo. Mimi sina wivu wa kipuuzi, kama ameamua kunizunguka hata kama asipotoa lift bado atanizunguka tu. Nimeamua kumuamini na yeye vivyo hivo kwangu na wala sitaki kuwa na mawazo zaidi ya hapo unless nimehakiki beyond reasonable doubt kuwa tabia yake imebadilika.
 
Last edited by a moderator:
Kwani hii sred inahusu nini? Si magari ya wanawake?

I HA.TE YOU:smile-big::smile-big:

mfyuuuu zako!
kwa hiyo jana ulivorudi nyumbani ukajiangusa? King'asti lete tarumbeta tudai picha za senema Nicas Mtei kuja huku Kaizer njoo uone mavitu ya ukween zombie kashapigwa mweleka!mujarab watu8 ile passport yangu heb nakuachia pale suka utaikuta ukaanze kunifanyia process za viza ya pariiii
 
Kwani hii sred inahusu nini? Si magari ya wanawake?

I HA.TE YOU:smile-big::smile-big:

kwa ajili ya zombie we nimwagie hata tindikali!
ehehehehhee hii sredi bana inahusu lifti za wanawake ujue!
mi na Kaunga huwa ni wataalamuna wa kudowea lifti,
wewe je?
 
Last edited by a moderator:
HA ha ha, napaka bio oil na lipstik

Ila sijajiangusa jamani, hard to get all the way :wave:


cc Kaizer

ah yuko ndembe ndembe sa hz! Kongosho atakuwa huyu?
sa hiz anarembua tu huko,na less wig anavaa siku hz!
nguo anachagua mara hamsa hamsa
siku hz anafanya mpka oily na hot stone massages!
we wa wapiii!
sa hz anaitwa Connie babe gal!ful malipstick!
yani mchuuumba tu!
mlainiiini tu
yani analika mpka bone marrows!
KWEEEIHSER HABARI YAKE!
 
Last edited by a moderator:
Mie wenye magari yao wananibembeleza kupanda, sijui nina sumaku?

Yaani mtu analia kabisa nisipopanda gari yake

kwa ajili ya zombie we nimwagie hata tindikali!
ehehehehhee hii sredi bana inahusu lifti za wanawake ujue!
mi na Kaunga huwa ni wataalamuna wa kudowea lifti,
wewe je?
 
Mie wenye magari yao wananibembeleza kupanda, sijui nina sumaku?

Yaani mtu analia kabisa nisipopanda gari yake
sumaku mchezo!
kitu cha mnasisho
ehehehhehe best part of it ni pale pa kukumbushwa kufunga mkanda au kufungiwa kabisaa!
yani
 
Ila watu wanafki jamani, tena anakufungia mkanda

Kwa wapenda ice cream na zenyewe wanunuliwa.

sumaku mchezo!
kitu cha mnasisho
ehehehhehe best part of it ni pale pa kukumbushwa kufunga mkanda au kufungiwa kabisaa!
yani
 
Ila watu wanafki jamani, tena anakufungia mkanda

Kwa wapenda ice cream na zenyewe wanunuliwa.
ahahahhahahhaha af ice cream zenyewe kama hizi
images
 
Ampakie nani labda.??? Ukute mashost zake wa kazini wote wanamagari...au unataka ile ya posta 1000...kwa mwanamke kupakia abiria kituoni not safe..na pia mwanaume anaconfidence ht akisimamishwa na mtu asiyemjua anaomba lift ana mpakia..tofauti na mwanamke...uoga mwingi na pia si salama....na ht hao wanaume si wote wanaopakiza watu..halafu compare mgari unaopakiza watu kila siku unachakaa...gari nimenunua mwenyewe so I do wat I want.....
umesema vyema!!
 
mbona mie napakia wala sijanunuliwa nimelitolea jasho mwenyewe.
 
Chunguza vema utakuta mara nyingi vioo vya magari hayo vina giza (tinted), wanakuwa na abiria lakini si viti vya mbele
 
Kilicho nishangaza sio lift mama watoto..nivicheko na tabasamu mulivyokuwanavyo ndani ya garii..nani anakumbuka huu wimbo wa zilipendwa???
 
Back
Top Bottom