Nakubaliana na wewe mummy.si wanawake wote wanaoendesha magari wamehongwa wengine 2nanunua wenyewe ebo!
Unakuta aliyemnunulia kampiga biti..!!
si wanawake wote wanaoendesha magari wamehongwa wengine 2nanunua wenyewe ebo!
Magari yao ni kama kalakana,hayana mpangilio,utakutana na viatu,wanja,pipi,charger za simu,leso,tissue,viwembe,chupa za maji,mabox ya take away,kanga,kadi za mialiko,vioo, kwakweli magari yao yanatia uvizu kupanda.
Kila mwanamke aliye na gari kanunuliwa.??? Acheni ushamba...huko ofisini kwako hamna wanawake walikuzidi salary. ...hauna mabosi wa kike.??? Hujasoma na mademu vichwa darasani...kumbe bado mna mawazo mgando eehh...mwanamke ni mama wa nyumbani.??heeee pole weeeeeee......cash aint nothing now days as long as uko vizuri kimshahara...si kila demu anahongwa km kina sepetu
Hahahahahaaaa movable saloon... Mkuu ilinikuta siku moja kwenye foleni barabara ya bagamoyo. Mbele yangu kulikuwa na Spacio nzuri tu, wakati foleni imeanza kutembea tukashangaa gari ya mbele haitembei. Ikabidi niwashe taa ili kuomba kuingia "lane" nyingine na wenzangu nyuma wakafuatia. Ilibidi tuangalie ndani ya gari kuona labda mwenzetu amesinzia unajua tena kuamka asubuhi asubuhi.sababu magari yao ni kama saloon
,viatu,khanga,vibanio na taka taka zoote humo
sababu magari yao ni kama saloon
,viatu,khanga,vibanio na taka taka zoote humo
Kila mwanamke aliye na gari kanunuliwa.??? Acheni ushamba...huko ofisini kwako hamna wanawake walikuzidi salary. ...hauna mabosi wa kike.??? Hujasoma na mademu vichwa darasani...kumbe bado mna mawazo mgando eehh...mwanamke ni mama wa nyumbani.??heeee pole weeeeeee......cash aint nothing now days as long as uko vizuri kimshahara...si kila demu anahongwa km kina sepetu
Namna wanawake wawazavyo aisee ni ngumu kwetu wanaume kujua...ngoja tuwapishe wenyewe waje watueleze!!
inaonyesha fikra za wanawake sio kama za wanaume!
When was the last time l told you that l am crazy in love with you?
Boflo mimi nafikiri swali zuri ni kwanini magari ya wanaume yanakuwa na abiria wengi hasa wa jinsi ya kike?
Ni kwakuwa wanaume hawawezi kuishi bila watu wengine (waoga)?
Au kwa sababu wanatumia magari kama chambo cha kunasia wadada (kutongozea)?
Au ni wakarimu sana, lakini ni kwa lifti tu?
Ni kweli mbona wewe huwa unawapa lifiti watu wengi tu na wala sikuonei wivu.ka uchoyo fulani hivi muda mwingine
Just like i did to you!
Ila nimemis mavitu yako........lol!!!!!!
tell me...last week? lol