Wanawake kuendesha gari peke yao...

Wanawake kuendesha gari peke yao...

Mtoto wa kiume kupanda gari ya mtoto wa kike alonunuliwa na mwanaume mwenzio sio poa.though sio wote but a big percentage madem hununuliwa!!!!
 
Ubinafsi na komesha watesi.
Unajua it is very uncommon mwanamke kumsimamishia gari mwanamke mwenzie ampe lifti lakini kwa wanaume vyovyote twende kazi. Nimeshashuhudia hii sana na kila siku ipo hivyo hivyo haibadiliki.
Wapo wachache ambao wana ujasiri wa kufanya kama wanaume wafanyavyo

ukiona wa dizain hiyo ujue kapata gari ukubwani......!!!!!!!!
 
. Gari ninunue mwenyewe

Mafuta nijaze mwenyewe

Service nipeleke mwenyewe

Kuosha nioshe mwenyewe

Trafiki niwawezeshe mwenyewe

Kupanda wapande wengine

Anyway wapande kwenda wapi???
 
Nakubaliana na wewe mummy.

Wako wapi wanaume wa kuhonga wanawake Magari siku hizi? wanawake wananunua wenyewe lakini bado kwa sababu ya mfumo dume mume au boyfriend anazuia kutoa lift haswa kwa jinsia tofauti.
pia wako wanaume wakipewa lift au kuonekana kwenye gari ya mwanamke hujisifia yule nshamgonga ... sababu ni nyingi tu
 
Bibie wapo sema hujakutana nao tu. Omba hivyo hivyo usikutane nao maana masharti yao ni magumu nahisi hutoyaweza, ila wenzio baadhi huku sinza, makumbusho, na jijini kati wanatanua tu.
 
. Gari ninunue mwenyewe

Mafuta nijaze mwenyewe

Service nipeleke mwenyewe

Kuosha nioshe mwenyewe

Trafiki niwawezeshe mwenyewe

Kupanda wapande wengine

Anyway wapande kwenda wapi???
Umesahau kumalizia na majangaaaa mbona majangaaaaaaa ....
 
Lol, Kongosho umenimaliza!!! Itabidi nimnunulie mke wangu basi la Yutong au Marcopolo nione pia kama atashindwa kutoa lifti! Toeni lifti wadada, tupunguze traffic jam hapa mjini!

Unawaambia wake za wenzio watoe lift wakati mkeo unamkataza! anza na mkeo tutaiga wengine
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia Wanaume town asubuhi au jioni utakuta wamewapakia marafiki, wanawake au ma staff wenzao...

Lakini gari nyingi zinazoendeshwa na wanawake hukuti mwingine kapakiwa ndani ya gari...

Naomba tujadili

View attachment 107247

Mauzo mengine ya sura!
Gari lenyewe sijuwi linatembea milango iwazi!
Hii picha gari lilikuwa halijaanza kuondoka atakuwa anawasubiri wenzie.
Afu hiyo switch inaonesha hata halijawashwa.
Anyway tumeona naye ana ndinga.
 
Wako wapi wanaume wa kuhonga wanawake Magari siku hizi? wanawake wananunua wenyewe lakini bado kwa sababu ya mfumo dume mume au boyfriend anazuia kutoa lift haswa kwa jinsia tofauti.
pia wako wanaume wakipewa lift au kuonekana kwenye gari ya mwanamke hujisifia yule nshamgonga ... sababu ni nyingi tu

Msagaji utamjuwa tu!
 
Bibie wapo sema hujakutana nao tu. Omba hivyo hivyo usikutane nao maana masharti yao ni magumu nahisi hutoyaweza, ila wenzio baadhi huku sinza, makumbusho, na jijini kati wanatanua tu.

nitafutie na mimi kama wapo manake khaa nimechoka kila siku mie ndie ninae honga. nnaowapata apeche alolo, wavalishe, walishwe, wapewe gari na pocket money juu halafu bado wanani cheat na kunitenda!
 
Yaani kama nakuona hivi shosti. Mimi sometimes hadi nawahurumia wanavyojikakamua na kupretend, halafu unakuta mtu kama huyo kwa familia yake ni mgumu na ni mkali utafikiri policcm kwa CDM.

Ok now nitakuwa kauzu mwanzo mwisho sitoi lift wala usafiri kwa sister duu
 
mfyuuuu zako!
kwa hiyo jana ulivorudi nyumbani ukajiangusa? King'asti lete tarumbeta tudai picha za senema Nicas Mtei kuja huku Kaizer njoo uone mavitu ya ukween zombie kashapigwa mweleka!mujarab watu8 ile passport yangu heb nakuachia pale suka utaikuta ukaanze kunifanyia process za viza ya pariiii

Uyo bado snowhite,..,,,,,chezeya Kongosho? bado bado....
 
Last edited by a moderator:
Uyo bado snowhite,..,,,,,chezeya Kongosho? bado bado....

ah yuko ndembe ndembe sa hz! Kongosho atakuwa huyu?
sa hiz anarembua tu huko,na less wig anavaa siku hz!
nguo anachagua mara hamsa hamsa
siku hz anafanya mpka oily na hot stone massages!
we wa wapiii!
sa hz anaitwa Connie babe gal!ful malipstick!
yani mchuuumba tu!
mlainiiini tu
yani analika mpka bone marrows!
KWEEEIHSER HABARI YAKE!
 
eti Kongosho, umeshado ze nidiful na zombie?
 
Last edited by a moderator:
uoga wa kuibiwa, uchoyo, vigezo na masharti vya walionunua...
 
Back
Top Bottom