Wanawake jitahidini kusafisha vinywa jamani, mnakera!

Wanawake jitahidini kusafisha vinywa jamani, mnakera!

Wadada msijisikie vibaya uchafu kwa mwanamke ni kinyaa zaidi...Mwanamke ni pambo hata msafi wa mwili Hadi nyumba Inakuwa safi . mwanamke anaweza kumfanya mwanaume mchafu kuwa msafi.

Nyumba safi hata kimpangilio mara nyingi ni nguvu ya mwanamke ndo maana wauza mapambo hata ya nyumba haswa ya ndani ni wanawake ...

Wanawake wanajua rangi zote na zipi nzuri kwa sehemu fulani.

Mwanamke kuwa mchafu inaleta taswira mbaya zaidi kuliko mwanaume ndo maana mwanaume kushinda na nguo alizotoka nazo site kupiga kazi ni fresh tu ila sio mwanamke.
 
Wadada msijisikie vibaya uchafu kwa mwanamke ni kinyaa zaidi...Mwanamke ni pambo hata msafi wa mwili Hadi nyumba Inakuwa safi . mwanamke anaweza kumfanya mwanaume mchafu kuwa msafi.

Nyumba safi hata kimpangilio mara nyingi ni nguvu ya mwanamke ndo maana wauza mapambo hata ya nyumba haswa ya ndani ni wanawake ...

Wanawake wanajua rangi zote na zipi nzuri kwa sehemu fulani.

Mwanamke kuwa mchafu inaleta taswira mbaya zaidi kuliko mwanaume ndo maana mwanaume kushinda na nguo alizotoka nazo site kupiga kazi ni fresh tu ila sio mwanamke.
Safi sana
 
Hata wanaume mpo mbona mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23]sema tu watu wawe na tabia ya kusafisha vinywa.. Ikiwezekana watembee na mouthwash[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wanaume wengi wananuka mdomoo balaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakeraaaa mnooo.
 
Binafsi tatizo la Kunuka mdomo bado sijaexperience naona Madem niliowahi wapelekea Mpini wamejitahidi usafi.

Ila... Hili tatz nahis linasababishw na kutoongea muda mrefu.

Mie harufu ya Majasho/Kikwapa huwa inanikera sana. Haswa ktk madaladala humu yaan ukute mtu kasimama pemben yako alaf ww umekaa na gari imejaza napataga tabu sana majitu hayaogi si mchana si asubuhi si usiku. Majitu yananuka nuka yaan mtu hata perfume ya buku tano tatzo.
 
Mkuu unaonekana ni usafi and cleanliness expert hebu tupatie elimu kuhusu tips za usafi na harufu nzuri wengine ni ushamba tu ila tunapenda.
Hizi hata wazungu wanatumia zipo products kibao yaani kwa sisi hatuko serious kweny ishu za usafi hata zile product za chooni hatuna ...Kama tunavyojua kichwa ni kitu ambacho kinahitaji kutunzwa sana na pia kinakupa confidence sana kikiwa kisafi kuanzia harufu nzuri hata meno mazuri.

Assume mtu anacheka ila meno yaani ni njano kama jersey za yanga wakati anaweza kufanya hata teeth whitening ya laki 3 Tena inakaa hata miaka 3 kama atatunza vizuri kwa kutumia dawa za whitening kama sensodyne whitening, Colgate optic white, Colgate charcoal ..Inapendeza sana ..

Kuna hydrogen peroxide pia nzuri kusafisha kinywa kwa kusukutua maana kinywa kinakuwa na bacteria wengi wanaosababisha harufu ..

Ila bongo kama tuna matatizo Yaani mtu hata awe anapata mil 5 kwa mwezi ila kuweka hata elfu 80 kufanya teeth scaling kwa mwaka mara moja hawezi .😂😂
 
Safi Sana mkuu umelenga lkulu....wamo humu......
Habari wakuu,

Naomba kuwasilisha

Naona hili linaenda kuwa tatizo sasa!! Inakuwaje mwananmke usisafishe kinywa chako vizuri!!??

Ukweli ni kwamba mwanaume hawezi kukwambia kuwa kinywa chako kinanuka hata siku moja, atakuvumilia tu kwa sababu anaitaka hiyo mbususu yako. Ila kiukweli mnatuweka kwenye wakati mgumu sana. Msilolijua ni kwamba wengi wenu vinywa vyenu vinanuka.

Binafsi nimekutana na scenario kama mbili tofauti kwa wanawake wa aina hii.

Hii ya kwanza, ilikuwa Taifa nikichek game ya mnyama, mara ghafla ikatokea pisi moja nzuri tu! Na nikaona haina noma kuchukua hata mawasiliano na kupiga nae story mbili tatu, basi bhana mchizi nikamsomesha yule mchumba akanielewa, na tukakubaliana tuingie wote ghettoni tabata. Basi kufika ghetto katika harakati za hapa na pale za kumsogelea zaidi na kutaka kula romance!, aiseeh!! Nilihisi hewa nzito iliyoambatana na harufu moja ya ajabu iliyokata stimu kabisa ambayo sikushtukia before, ikabidi sasa mchizi nizuge kujidai na appointment mahala na nilishajisahau so nitampigia simu.

Mara ya pili nlishindwa kabisa hata kuchukua mawasiliano kwenye gari, yaani mtoto kwa muonekano anavutia na nilikuwa nae siti moja , basi bhana nikataka kuangusha moja moja mjanja. Aiseeh!! Yule manzi kumwambia mambo tu, ile POA yake iliyotoka kwenye kinywa chake iliniharibia mpaka mood yangu, ikabidi sasa nizuge kumwambia afungue kioo nasikia joto.

Jamani hivi kwa nini wakina dada hamsafishi vizuri vinywa vyenu, basi ikiwezekana muwe mnasafisha kabla ya kulala na baada ya kulala, na msugue sana ulimi, maana inabidi mpaka nitoe hii elimu inaweza saidia labda. Ila kiukweli ni aibu mwanamke uwe unakinywa kisichovutia kwa kutoa harufu isiyoeleweka.

Halafu unakuta mtu anapendeza vizuri kumbe hajapiga mswaki kwa kutumia dawa au hajapiga kabisa. Binafsi siwezi hata kukaa karibu na mwanamke wa aina hii, na nimepanga raundi hii kuwachana bila kuwaonea aibu endapo ntakutana tena na aina hii ya mwanamke.

Inasikitisha sana [emoji17][emoji17][emoji17].
 
Mie ni wanaume aseee alafu kuna hao wawili walikua ni rafiki zangu kila saa wanataka kuongeaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilipata shida nao sana nilikua nawaambia wanacheka tuuu.. Mmoja hadi akiongea unaona meno yana greenish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilikua ni kuwapa zawadi za mouth wash tuuu na mint,,wakitaka kuongea nawauliza umetumia leo? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahah We konyo kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana najitahidi deile niswaki mara mbili asubuhi na jioni. Harufu mbaya ya kinywa inakata kinoma afu jinsi ya kumwambia inakuwa mtihani.
Tujitahidi kuswaki na kutumia vitu mbalimbali vya kuondoa harufu mdomoni ie chewing gums, mouthwash nk.

NB: Naomba kuuliza morning glory huwa mnaswaki kwanza au kibubububu??[emoji16]
 
Back
Top Bottom