Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,789
- 51,557
Niko salama kabisa Mungu ni mwema ni namshukuru Kwa baraka za kuendelea kuwa haiMzima sijui wewe mama?

Vibaya mno😀😂 n hatari
Nafurahi kwa hilo mama, shukrani zote ni kwake daima 🙏Niko salama kabisa Mungu ni mwema ni namshukuru Kwa baraka za kuendelea kuwa hai
Inategemea bhana,Ukiwa mpiga nyeto sana mwongozo hausimami imara.unalegea na hata ukisimama hausimami muda mrefu unalegea tena.
Sitofunguka sana mkuu tuishie hapa.
Ushauri wangu kwa wanaume,bora uitwe malaya Kwa kuwa na wanawake wengi kuliko kuathiriwa na nyeto[emoji3577]
Ulishaacha?!Inategemea bhana,
Mfano mimi nilipiga kipindi fulani, ila bado nlikuwa nkikuingiza dud* langu unaniamkia vizuri tu!
Na napiga shoo ya kibabe!!
Nimeacha hizo mamb mkuu now natomb*Ulishaacha?!
SafiJana kama saa mbili nilienda kwa shoga yangu j nikamkuta ana shoga yake ambae pia ninamfahamu. Huyu dada nilomkuta kwa shoga yangu ana mtoto. So kumbe alikuwa na mtoko.
Hana mfanyakazi mtoto atamuacha na nani? Akajiongelesha pale mara akamwambia mtoto G leo ulale kwa antiii, akaniomba nilale na mtoto wake sikutaka kumuuliza anaenda wapi nikawa nimejiongeza.
Mtoto asinge muacha kwa shoga yake coz ana bf humo ndani so the option ilibidi mtoto alale kwangu, nikamuliiza mtoto anakojoa kitandani? Akasema atamvalisha pampasi, nikamwambia nitasali misa ya kwanza so nitamuacha na nani ikabidi ampigie mama mmoja mfanya usafi aje alale na mtoto kwake.
Saa ya kuondoka nilishuhudia akitoka ndani na simu tu. Mtu unaenda kulala kwa mwanaume huna hata mkoba ndogo? Mswaki? Chupi ya kubadilisha? Kanga ya kuogea? Sabuni ya kuogea? Nguo za kubadilisha kesho? Vitowel vya............?? Aliondoka hivyo hivyo na simu tu.
Alivyo toka tu nikamuuliza shoga yangu j vip mbona huyu kaenda hivyo hivyo? Kasema habebagi hata kyupi ya ziada nilichoka.
Ilinibidi nikumbuke heka heka zangu hasa nikiwa kwenye mahusiano yangu ninayoyapenda.sinaga godo maandalizi ya siku moja utadhani nahama. Hilo pochi litakuwa na vifuatavyo, nguo mbili, miswaki miwili, sabuni za kuogea, dodoki mbili, kanga mbili, vitowel kama vitano hivi, viatu simple , vitana, lotion, kinga,perfume dawa ya mswaki, med oral (mouth wash) zawadi ya babe, sasa hapa ndo naweza ondoka..
Siandiki hapa kutafuta attention siko katika umri wa kutafuta wanaume naandika hapa kuwafundisha wadogo zangu. Kuwa wasafi kutomkera mwenzio. Msome mjifunze mkuwe na weekend njema.
Wadogo zangu msiwe wabahili sana usiende kwa babe wako bila kumnunulia zawadi hawa wapuuzi wanapenda thawadiii sawa!!
Bei gan ,na vip upatikanaji wakeMouthwash pendwa walau mara mbili kwa wiki ni listerin
View attachment 2546575
Hii iko recomended sehemu nyingi pia
Wachaa niwe nacheka km chiziiii, kumbe kuna watu wana enjoy kunitazamaaa, awwwwwh.Yaan Kuna watu utataman waongee uone meno meupeee [emoji4] kama theluji
Trident Bei gan ? Na zinakaa ngap ?Simple mnunulie zile Big G zinakuwa na swagga fulani za kijanja box ni buku 3 anatumia wiki nzima ni nzuri sana ....zipo mentos ,tridents ni brand poa protection masaa 24
14 kitu kama hicho
Bei gan ,na vip upatikanaji wake.View attachment 2546845
View attachment 2546846
Nunua hizi mkuu uwapatie Kama zawadi
Sema Hii shida naona ipo kwa wanaume zaidi [emoji119]
Nikikuta mtu ati ana dawa ya ya kupigia mswaki bila mouth wash najua kuna kasoro. Au mtu anaweka sawa ya mswaki mara moja mmmmmh???
Mimi nilikuwa najua wanaume ndo wenye hii tabia ya kunuka mdomo hapana hata wanawake fatilia kuanzia sasa hasa mida ya asubuhi ukikaa nae siti moja utaona safari ndefu.
Mtu mwenye kiharufu chochote siwezagi mvumilia.
Jamani sugua ulimi weka dawa mara tatu sukutua kwa mouth wash med oral ni nzuri.
Sina kitu kizuri ninacho kumbuka kwa ex wangu yule kaka alikuwa msafi hadi raha, alijua situmii pombe akifika tu ni bafuni kupiga mswaki kuoga na zile liquid soap zake basi akitoka ananukia ndo anasalimia. Dah nimekumbuka ule mpuuzi[emoji1787]
Mpo wachache duniani big up nadhan wadada wanalo lakujifunza apaJana kama saa mbili nilienda kwa shoga yangu j nikamkuta ana shoga yake ambae pia ninamfahamu. Huyu dada nilomkuta kwa shoga yangu ana mtoto. So kumbe alikuwa na mtoko.
Hana mfanyakazi mtoto atamuacha na nani? Akajiongelesha pale mara akamwambia mtoto G leo ulale kwa antiii, akaniomba nilale na mtoto wake sikutaka kumuuliza anaenda wapi nikawa nimejiongeza.
Mtoto asinge muacha kwa shoga yake coz ana bf humo ndani so the option ilibidi mtoto alale kwangu, nikamuliiza mtoto anakojoa kitandani? Akasema atamvalisha pampasi, nikamwambia nitasali misa ya kwanza so nitamuacha na nani ikabidi ampigie mama mmoja mfanya usafi aje alale na mtoto kwake.
Saa ya kuondoka nilishuhudia akitoka ndani na simu tu. Mtu unaenda kulala kwa mwanaume huna hata mkoba ndogo? Mswaki? Chupi ya kubadilisha? Kanga ya kuogea? Sabuni ya kuogea? Nguo za kubadilisha kesho? Vitowel vya............?? Aliondoka hivyo hivyo na simu tu.
Alivyo toka tu nikamuuliza shoga yangu j vip mbona huyu kaenda hivyo hivyo? Kasema habebagi hata kyupi ya ziada nilichoka.
Ilinibidi nikumbuke heka heka zangu hasa nikiwa kwenye mahusiano yangu ninayoyapenda.sinaga godo maandalizi ya siku moja utadhani nahama. Hilo pochi litakuwa na vifuatavyo, nguo mbili, miswaki miwili, sabuni za kuogea, dodoki mbili, kanga mbili, vitowel kama vitano hivi, viatu simple , vitana, lotion, kinga,perfume dawa ya mswaki, med oral (mouth wash) zawadi ya babe, sasa hapa ndo naweza ondoka..
Siandiki hapa kutafuta attention siko katika umri wa kutafuta wanaume naandika hapa kuwafundisha wadogo zangu. Kuwa wasafi kutomkera mwenzio. Msome mjifunze mkuwe na weekend njema.
Wadogo zangu msiwe wabahili sana usiende kwa babe wako bila kumnunulia zawadi hawa wapuuzi wanapenda thawadiii sawa!!
Vinywa vya juu au vya chini?Habari wakuu,
Naomba kuwasilisha.
Naona hili linaenda kuwa tatizo sasa!! Inakuwaje mwananmke usisafishe kinywa chako vizuri!!??
Ukweli ni kwamba mwanaume hawezi kukwambia kuwa kinywa chako kinanuka hata siku moja, atakuvumilia tu kwa sababu anaitaka hiyo mbususu yako. Ila kiukweli mnatuweka kwenye wakati mgumu sana. Msilolijua ni kwamba wengi wenu vinywa vyenu vinanuka.
Binafsi nimekutana na scenario kama mbili tofauti kwa wanawake wa aina hii.
Hii ya kwanza, ilikuwa Taifa nikichek game ya mnyama, mara ghafla ikatokea pisi moja nzuri tu! Na nikaona haina noma kuchukua hata mawasiliano na kupiga nae story mbili tatu, basi bhana mchizi nikamsomesha yule mchumba akanielewa, na tukakubaliana tuingie wote ghettoni tabata. Basi kufika ghetto katika harakati za hapa na pale za kumsogelea zaidi na kutaka kula romance!, aiseeh!
Nilihisi hewa nzito iliyoambatana na harufu moja ya ajabu iliyokata stimu kabisa ambayo sikushtukia before, ikabidi sasa mchizi nizuge kujidai na appointment mahala na nilishajisahau so nitampigia simu.
Mara ya pili nlishindwa kabisa hata kuchukua mawasiliano kwenye gari, yaani mtoto kwa muonekano anavutia na nilikuwa nae siti moja , basi bhana nikataka kuangusha moja moja mjanja. Aiseeh!! Yule manzi kumwambia mambo tu, ile POA yake iliyotoka kwenye kinywa chake iliniharibia mpaka mood yangu, ikabidi sasa nizuge kumwambia afungue kioo nasikia joto.
Jamani hivi kwa nini wakina dada hamsafishi vizuri vinywa vyenu, basi ikiwezekana muwe mnasafisha kabla ya kulala na baada ya kulala, na msugue sana ulimi, maana inabidi mpaka nitoe hii elimu inaweza saidia labda. Ila kiukweli ni aibu mwanamke uwe unakinywa kisichovutia kwa kutoa harufu isiyoeleweka.
Halafu unakuta mtu anapendeza vizuri kumbe hajapiga mswaki kwa kutumia dawa au hajapiga kabisa. Binafsi siwezi hata kukaa karibu na mwanamke wa aina hii, na nimepanga raundi hii kuwachana bila kuwaonea aibu endapo ntakutana tena na aina hii ya mwanamke.
Inasikitisha sana [emoji17][emoji17][emoji17].
Jana kama saa mbili nilienda kwa shoga yangu j nikamkuta ana shoga yake ambae pia ninamfahamu. Huyu dada nilomkuta kwa shoga yangu ana mtoto. So kumbe alikuwa na mtoko.
Hana mfanyakazi mtoto atamuacha na nani? Akajiongelesha pale mara akamwambia mtoto G leo ulale kwa antiii, akaniomba nilale na mtoto wake sikutaka kumuuliza anaenda wapi nikawa nimejiongeza.
Mtoto asinge muacha kwa shoga yake coz ana bf humo ndani so the option ilibidi mtoto alale kwangu, nikamuliiza mtoto anakojoa kitandani? Akasema atamvalisha pampasi, nikamwambia nitasali misa ya kwanza so nitamuacha na nani ikabidi ampigie mama mmoja mfanya usafi aje alale na mtoto kwake.
Saa ya kuondoka nilishuhudia akitoka ndani na simu tu. Mtu unaenda kulala kwa mwanaume huna hata mkoba ndogo? Mswaki? Chupi ya kubadilisha? Kanga ya kuogea? Sabuni ya kuogea? Nguo za kubadilisha kesho? Vitowel vya............?? Aliondoka hivyo hivyo na simu tu.
Alivyo toka tu nikamuuliza shoga yangu j vip mbona huyu kaenda hivyo hivyo? Kasema habebagi hata kyupi ya ziada nilichoka.
Ilinibidi nikumbuke heka heka zangu hasa nikiwa kwenye mahusiano yangu ninayoyapenda.sinaga godo maandalizi ya siku moja utadhani nahama. Hilo pochi litakuwa na vifuatavyo, nguo mbili, miswaki miwili, sabuni za kuogea, dodoki mbili, kanga mbili, vitowel kama vitano hivi, viatu simple , vitana, lotion, kinga,perfume dawa ya mswaki, med oral (mouth wash) zawadi ya babe, sasa hapa ndo naweza ondoka..
Siandiki hapa kutafuta attention siko katika umri wa kutafuta wanaume naandika hapa kuwafundisha wadogo zangu. Kuwa wasafi kutomkera mwenzio. Msome mjifunze mkuwe na weekend njema.
Wadogo zangu msiwe wabahili sana usiende kwa babe wako bila kumnunulia zawadi hawa wapuuzi wanapenda thawadiii sawa!!
Wachaa niwe nacheka km chiziiii, kumbe kuna watu wana enjoy kunitazamaaa, awwwwwh.
Mbna sikuwah fuatilia, labda nkatazame picha zake za wakati ulee.Hivi binamu unakumbuka dental formular ya msanii PNC enzi hajarekebisha meno?