Zile nilisikia Zina kwangua sana sana ulimi eti ukitumia sana meno yakuwa meupe ila sensivity inazidi na pia uzeeni yatakuja kusumbua sana...
Ndio binafsi sikuielewa kabisa
Zile nilisikia Zina kwangua sana sana ulimi eti ukitumia sana meno yakuwa meupe ila sensivity inazidi na pia uzeeni yatakuja kusumbua sana...
Katika kiumbe chenye nyodo ni nyauAfya ya kinywa ni muhimu aisee na tunavyolambana hivi nikifikiriaga mda mwingine duh 🤭
Binafsi sina harufu ya kinywa ila kuna siku nilitoaga nyama kwenye meno nikamrushia paka alivyoisogelea hakudhubutu kula
Kuna watu wengine wakikaa muda mrefu bila kula chochote midomo inakuwa na harufu. Na hii ni hata kama wanapiga mswaki vizuri. Halafu kama mtu ananuka mdomo hawezi kujijua.Hata wanaume mpo mbona mkuuu😂😂😂sema tu watu wawe na tabia ya kusafisha vinywa.. Ikiwezekana watembee na mouthwash😂😂😂
Tokea siku hiyo nimekuwa nikifikiria sana afya ya kinywa kila nikikutana na mtu 😁Katika kiumbe chenye nyodo ni nyau
Nyodo za nyau tu hata usijione vibayaTokea siku hiyo nimekuwa nikifikiria sana afya ya kinywa kila nikikutana na mtu 😁
Simple mnunulie zile Big G zinakuwa na swagga fulani za kijanja box ni buku 3 anatumia wiki nzima ni nzuri sana ....zipo mentos ,tridents ni brand poa protection masaa 24
Kwani na nyie watoto wa kike, unataka kusema ambahatikagi kabisa kupiga nyeto???Na nyie mjitahidi kuacha punyeto.mnakera vibaya mno✌️
Huwezi kujua kama unatoa harufu. Na harufu inaweza kusababishwa na mambo mengi. Chakula, meno kama yana matundu hivyo bacteria kuzaliana ndani yake, etc.Afya ya kinywa ni muhimu aisee na tunavyolambana hivi nikifikiriaga mda mwingine duh 🤭
Binafsi sina harufu ya kinywa ila kuna siku nilitoaga nyama kwenye meno nikamrushia paka alivyoisogelea hakudhubutu kula
Hamna paka yuko sawa unajua kama nyama imekaa kwenye meno ukaja kutoa balaa lake 😁Nyodo za nyau tu hata usijione vibaya
Ni simple sana maana kuwa na tendency kwa mwaka hata ukiwa na bima unaenda kusafisha meno angalau kwa mwaka mara moja yanakuwa meupe yaani safi kabisa.
Anaweza kupitisha kiuzi kile kweny meno inapendeza kutoa mabaki.
Wengi ni tonsil stones zile hawaswaki vizuri zinakuwa karibu na Koo kama haufikishi mswaki huko ni balaa baada ya mda fulani.
Mavyakula asubuhi mfano masupu yaani ni balaa sijui mautumbo ,yaani mtu akinywa na akasinzia kidgo kufumba mdogo basi harufu kibao ..unatakiwa angalau usukutue baada ya kutoa Yale mabaki sio Uchafu uchafu tu kama mlugaluga
Humjui nyau wewe, 😂Hamna paka yuko sawa unajua kama nyama imekaa kwenye meno ukaja kutoa balaa lake 😁
Kwa sasa Zina dili sana yaani unazipata che sio kama zamani mpaka supermarket .Halafu zile hua ni sugar free, kariakoo kuna maduka chini kule kama unaenda gerezani unakatisha kushoto wanauza zipo nyingi,
View attachment 2546611
View attachment 2546612
Zina swaga lakini unakua fresh 24/7
Kutoa harufu mdomoni kunakata stimu sana. Halafu namna ya kumwambia mtu ni ngumu. Kutana na mtu ambaye amefunga kula au hajala kwa muda mrefu utakoma.Kwani wanakutana ili waswaki 🤣
Yap ofcoz nyau anapozi zake mda mwingine unabaki unacheka tuHumjui nyau wewe, 😂
🤣🤣🤣🤣Yaani balaa hata mouthwash ile mtu anasukutua fresh analala ila mtu labda kama yupo alone anaona kawaida tu.Hivi unafahamu kuna mamilioni ya hata wana JF wanalala bila usafisha vinywa vyao, kesho mtu anaota alikua anakatwa shingo anaanza kulaumu, goodbreath haipo hata mind haiwezi Karelax
Umeona sasa, 😂Yap ofcoz nyau anapozi zake mda mwingine unabaki unacheka tu
Kama huyu msosi ukiweka chini kwenye mchanga hali anataka uweke kwenye kabeseni kake 😄
Kuna ugumu sana kwenye kumwambia mtu, itamuumiza sana maana wengine wanajua uhalisia wao ila ndohivyo hawana la kufanya.Kutoa harufu mdomoni kunakata stimu sana. Halafu namna ya kumwambia mtu ni ngumu. Kutana na mtu ambaye amefunga kula au hajala kwa muda mrefu utakoma.