Lipia tangazo 😂😂Mouthwash pendwa walau mara mbili kwa wiki ni listerin
View attachment 2546575
Hii iko recomended sehemu nyingi pia
Mdomo kunuka ni Ishara shemeji yetu anafikiri mno kuliko kubwabwajaHako ka mdomo katakuwa na shida gani mpk ukabebee mouthwash kwenye mizunguko yako? 😂😂😂
😂🤣 kero ni nini hasaNa nyie mjitahidi kuacha punyeto.mnakera vibaya mno✌️
Mie ni wanaume aseee alafu kuna hao wawili walikua ni rafiki zangu kila saa wanataka kuongeaa😂😂😂nilisoma class lenye dadaz kama 7 hivi, 6 wote walikua wananuka vinywa, na wako vizuri kimuonekano, yaani hadi kero
nadhani tatizo linaanzia kujiswafi kinywani, wanachukulia poa sana
Apo kwelii kuna wengine wanajitahidi hadi mahospitalinii lakin wapi😂😂Kwanza aache kutumia WHITEDENT
pili atumie miswaki ya kuanzia buku 2 kuendelea
na baada ya miezi mitatu miwili abadadili mswaki sio mpk uanguke chooni ndo ununue mpya
Ajenge mazoew ya kwenda kwa DAKTARI WA MENO Kila baada ya miezi 6 kusafisha kinywa
Kila anapomaliza kula asukutue kinywa
Lakuongozea
Mwengine anaweza kufata hayo yote na asifanikiwe kudhibiti harufu ya KINYWA
7bu kuna harufu zingine zinatokana tumboni kutokana na mfumo wake wa umenyenwaji chakula ulivyo hali hii ni kumvumilia tu automatick HAIDHIBITIKI
Na pia inawezekana na aina ya vyakula anavyokula pia ikawa 7bu harufu kutokea tumboni hali hii inazuilika kama akimuona daktari wa MENO atamapa muongozo thabiti
Karibuni katika kliniki yetu ya MENO ushauri bule DR .mzimu wa kolelo nitakutibu tatizo la kunuka KINYWA wewe na mpenzi wako mtapona kabisa na mtakuwa mnapiga DENDA/ROMANCE/ KULA MATE wewe na mpenzio safi kabisa
Well kabisaHata wanaume mpo mbona mkuuu😂😂😂sema tu watu wawe na tabia ya kusafisha vinywa.. Ikiwezekana watembee na mouthwash😂😂😂
🤭Na nyie mjitahidi kuacha punyeto.mnakera vibaya mno✌️