Wanawake jitahidini kusafisha vinywa jamani, mnakera!

Wanawake jitahidini kusafisha vinywa jamani, mnakera!

Kwa sasa Zina dili sana yaani unazipata che sio kama zamani mpaka supermarket .

Yaani fully swaga hizi Big G nyingi za kitaa ni fyamba dk kadhaa Inakuwa chungu ila hizi ni noma zinarefresh kabisa.

Yaani sasa pesa hata ukitaka gari au getto linukie zipo kama ikeda na Kuna diffuser za umeme yaani fully usafi ila watu hawajalia kabisa.
Hivi kuna mtu alishakutana na mwenza anayenuka pua? Ni aina ya ugonjwa hivi, sikui kama una dawa. Ukinywa kinywaji na glass aliyetumia mtumwenye hilo tatizo siku lazima iwe mbaya. Au ukikaa naye chumbani.
 
Wanawake wazu
Habari wakuu,

Naomba kuwasilisha

Naona hili linaenda kuwa tatizo sasa!! Inakuwaje mwananmke usisafishe kinywa chako vizuri!!??

Ukweli ni kwamba mwanaume hawezi kukwambia kuwa kinywa chako kinanuka hata siku moja, atakuvumilia tu kwa sababu anaitaka hiyo mbususu yako. Ila kiukweli mnatuweka kwenye wakati mgumu sana. Msilolijua ni kwamba wengi wenu vinywa vyenu vinanuka.

Binafsi nimekutana na scenario kama mbili tofauti kwa wanawake wa aina hii.

Hii ya kwanza, ilikuwa Taifa nikichek game ya mnyama, mara ghafla ikatokea pisi moja nzuri tu! Na nikaona haina noma kuchukua hata mawasiliano na kupiga nae story mbili tatu, basi bhana mchizi nikamsomesha yule mchumba akanielewa, na tukakubaliana tuingie wote ghettoni tabata. Basi kufika ghetto katika harakati za hapa na pale za kumsogelea zaidi na kutaka kula romance!, aiseeh!! Nilihisi hewa nzito iliyoambatana na harufu moja ya ajabu iliyokata stimu kabisa ambayo sikushtukia before, ikabidi sasa mchizi nizuge kujidai na appointment mahala na nilishajisahau so nitampigia simu.

Mara ya pili nlishindwa kabisa hata kuchukua mawasiliano kwenye gari, yaani mtoto kwa muonekano anavutia na nilikuwa nae siti moja , basi bhana nikataka kuangusha moja moja mjanja. Aiseeh!! Yule manzi kumwambia mambo tu, ile POA yake iliyotoka kwenye kinywa chake iliniharibia mpaka mood yangu, ikabidi sasa nizuge kumwambia afungue kioo nasikia joto.

Jamani hivi kwa nini wakina dada hamsafishi vizuri vinywa vyenu, basi ikiwezekana muwe mnasafisha kabla ya kulala na baada ya kulala, na msugue sana ulimi, maana inabidi mpaka nitoe hii elimu inaweza saidia labda. Ila kiukweli ni aibu mwanamke uwe unakinywa kisichovutia kwa kutoa harufu isiyoeleweka.

Halafu unakuta mtu anapendeza vizuri kumbe hajapiga mswaki kwa kutumia dawa au hajapiga kabisa. Binafsi siwezi hata kukaa karibu na mwanamke wa aina hii, na nimepanga raundi hii kuwachana bila kuwaonea aibu endapo ntakutana tena na aina hii ya mwanamke.

Inasikitisha sana [emoji17][emoji17][emoji17].
Ri mostlly wanakuaga kwenye madayati yao wanashinda njaa mda mrefu vinywa vinageuka vyoo vya stedi ya mkoa mbaya zaidi mtu anakua hajijui unashangaa anapiga mastori we unaskia kutapika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani balaa hata mouthwash ile mtu anasukutua fresh analala ila mtu labda kama yupo alone anaona kawaida tu.

Ukijizoesha hata alone unaswaki unakua safi, na sio uswaki sababu uko na mtu, ushawafikiria mke na mume walioswaki asubuhi, wakala maandazi na chai, mchana dagaa kauzu na ugali, usiku wali nyama, halafu mtu anaingia bafuni anaoga anarudi kulala kinywa hagusi, hivi hawa inakuaje huo usiku hata katika story tu
 
Bongo hasa Dar na jasho lote lakini watu hawatumii perfume mara kwa mara.
Amejifungua hivi karibuni Kuna harufu kama ya poda ila naona perfume zile ukipata na kunyonyesha sio fresh so ile harufu ni hatar.Na Kuna harufu ya maziwa kwa mbali kama zikichanganyika ni hatar

Ila yote mmama anafanya hivyo kwa ajili ya mwanae
 
Kwa sasa Zina dili sana yaani unazipata che sio kama zamani mpaka supermarket .

Yaani fully swaga hizi Big G nyingi za kitaa ni fyamba dk kadhaa Inakuwa chungu ila hizi ni noma zinarefresh kabisa.

Yaani sasa pesa hata ukitaka gari au getto linukie zipo kama ikeda na Kuna diffuser za umeme yaani fully usafi ila watu hawajalia kabisa.
Mkuu unaonekana ni usafi and cleanliness expert hebu tupatie elimu kuhusu tips za usafi na harufu nzuri wengine ni ushamba tu ila tunapenda.
 
Back
Top Bottom