Hongera wewe uliye ndani ya pumba mkuu..Shika adabu yako mbona uko o.p out of pumba mkuu 😒
hii ni kwa wanaume piaHabari wakuu,
Naomba kuwasilisha
Naona hili linaenda kuwa tatizo sasa!! Inakuwaje mwananmke usisafishe kinywa chako vizuri!!??
Ukweli ni kwamba mwanaume hawezi kukwambia kuwa kinywa chako kinanuka hata siku moja, atakuvumilia tu kwa sababu anaitaka hiyo mbususu yako. Ila kiukweli mnatuweka kwenye wakati mgumu sana. Msilolijua ni kwamba wengi wenu vinywa vyenu vinanuka.
Binafsi nimekutana na scenario kama mbili tofauti kwa wanawake wa aina hii.
Hii ya kwanza, ilikuwa Taifa nikichek game ya mnyama, mara ghafla ikatokea pisi moja nzuri tu! Na nikaona haina noma kuchukua hata mawasiliano na kupiga nae story mbili tatu, basi bhana mchizi nikamsomesha yule mchumba akanielewa, na tukakubaliana tuingie wote ghettoni tabata. Basi kufika ghetto katika harakati za hapa na pale za kumsogelea zaidi na kutaka kula romance!, aiseeh!! Nilihisi hewa nzito iliyoambatana na harufu moja ya ajabu iliyokata stimu kabisa ambayo sikushtukia before, ikabidi sasa mchizi nizuge kujidai na appointment mahala na nilishajisahau so nitampigia simu.
Mara ya pili nlishindwa kabisa hata kuchukua mawasiliano kwenye gari, yaani mtoto kwa muonekano anavutia na nilikuwa nae siti moja , basi bhana nikataka kuangusha moja moja mjanja. Aiseeh!! Yule manzi kumwambia mambo tu, ile POA yake iliyotoka kwenye kinywa chake iliniharibia mpaka mood yangu, ikabidi sasa nizuge kumwambia afungue kioo nasikia joto.
Jamani hivi kwa nini wakina dada hamsafishi vizuri vinywa vyenu, basi ikiwezekana muwe mnasafisha kabla ya kulala na baada ya kulala, na msugue sana ulimi, maana inabidi mpaka nitoe hii elimu inaweza saidia labda. Ila kiukweli ni aibu mwanamke uwe unakinywa kisichovutia kwa kutoa harufu isiyoeleweka.
Halafu unakuta mtu anapendeza vizuri kumbe hajapiga mswaki kwa kutumia dawa au hajapiga kabisa. Binafsi siwezi hata kukaa karibu na mwanamke wa aina hii, na nimepanga raundi hii kuwachana bila kuwaonea aibu endapo ntakutana tena na aina hii ya mwanamke.
Inasikitisha sana [emoji17][emoji17][emoji17].
Hivi haya majibu mnayatoleaga wapi jamani😆😆Kwaio kwa mwanaume kunuka kinywa fresh au sio😂😂😂 kwakua mwanamke ni ua na mwanaume ni nyuki😂😂
HahaaSimple mnunulie zile Big G zinakuwa na swagga fulani za kijanja box ni buku 3 anatumia wiki nzima ni nzuri sana ....zipo mentos ,tridents ni brand poa protection masaa 24
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa bwana mkubwa biashara yako tumeisikia ila kuna vingine utatuingiza chaka. Ukizidisha utastukiwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengine sio kinywa tu mfano sisi wanaume jitu linaoga halisugui pumbu wala katikati ya mapaja, kusugua katikati ya vidole vya miguu na sabuni na kuvaa viatu miguu ikiwa imekauka, halafu jitu linaoga halijui kama tundu za pua hua zinanuka hivo unatakiwa kila unapooga nazo usafishe pia , atleast unakua simple na unakua smart ukipata na deodorant yako kidogo safi kabisa
Yani uiache mbususu sababu ya harufu ya mdomo? We una akili kweli?Habari wakuu,
Naomba kuwasilisha.
Naona hili linaenda kuwa tatizo sasa!! Inakuwaje mwananmke usisafishe kinywa chako vizuri!!??
Ukweli ni kwamba mwanaume hawezi kukwambia kuwa kinywa chako kinanuka hata siku moja, atakuvumilia tu kwa sababu anaitaka hiyo mbususu yako. Ila kiukweli mnatuweka kwenye wakati mgumu sana. Msilolijua ni kwamba wengi wenu vinywa vyenu vinanuka.
Binafsi nimekutana na scenario kama mbili tofauti kwa wanawake wa aina hii.
Hii ya kwanza, ilikuwa Taifa nikichek game ya mnyama, mara ghafla ikatokea pisi moja nzuri tu! Na nikaona haina noma kuchukua hata mawasiliano na kupiga nae story mbili tatu, basi bhana mchizi nikamsomesha yule mchumba akanielewa, na tukakubaliana tuingie wote ghettoni tabata. Basi kufika ghetto katika harakati za hapa na pale za kumsogelea zaidi na kutaka kula romance!, aiseeh!
Nilihisi hewa nzito iliyoambatana na harufu moja ya ajabu iliyokata stimu kabisa ambayo sikushtukia before, ikabidi sasa mchizi nizuge kujidai na appointment mahala na nilishajisahau so nitampigia simu.
Mara ya pili nlishindwa kabisa hata kuchukua mawasiliano kwenye gari, yaani mtoto kwa muonekano anavutia na nilikuwa nae siti moja , basi bhana nikataka kuangusha moja moja mjanja. Aiseeh!! Yule manzi kumwambia mambo tu, ile POA yake iliyotoka kwenye kinywa chake iliniharibia mpaka mood yangu, ikabidi sasa nizuge kumwambia afungue kioo nasikia joto.
Jamani hivi kwa nini wakina dada hamsafishi vizuri vinywa vyenu, basi ikiwezekana muwe mnasafisha kabla ya kulala na baada ya kulala, na msugue sana ulimi, maana inabidi mpaka nitoe hii elimu inaweza saidia labda. Ila kiukweli ni aibu mwanamke uwe unakinywa kisichovutia kwa kutoa harufu isiyoeleweka.
Halafu unakuta mtu anapendeza vizuri kumbe hajapiga mswaki kwa kutumia dawa au hajapiga kabisa. Binafsi siwezi hata kukaa karibu na mwanamke wa aina hii, na nimepanga raundi hii kuwachana bila kuwaonea aibu endapo ntakutana tena na aina hii ya mwanamke.
Inasikitisha sana [emoji17][emoji17][emoji17].
Misuli haikazi😂🤣 kero ni nini hasa
Nashangaa anakomaa na wanawake wakati wanaume wengi zaidi ndiyo wananuka vinywa.Hata wanaume mpo mbona mkuuu😂😂😂sema tu watu wawe na tabia ya kusafisha vinywa.. Ikiwezekana watembee na mouthwash😂😂😂
Ukiwa mpiga nyeto sana mwongozo hausimami imara.unalegea na hata ukisimama hausimami muda mrefu unalegea tena.Fafanua mpk standard 7 waelewe😔😔
Utamuelezaje mkuu tayari kaathirika🥹Nadhani ukimueleza vizuri ataacha tu.
😂😂😂
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😃😆😆😆Katika kiumbe chenye nyodo ni nyau
Aise inanuka vibaya mno🥹kumbe pua huwa inanuka, sijawahi kutana nao