Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 21,027
- 43,996
Fafanua mpk standard 7 waelewe😔😔Na nyie mjitahidi kuacha punyeto.mnakera vibaya mno✌️
Fafanua mpk standard 7 waelewe😔😔Na nyie mjitahidi kuacha punyeto.mnakera vibaya mno✌️
Kuna binadamu Huwa wanajionaga ni wasafi sana very true 😊😊😊😐😐😐Well kabisa
😂Kuna binadamu Huwa wanajionaga ni wasafi sana very true 😊😊😊😐😐😐
Zipo vizuri sanaaBaadhi ya dawa zangu za meno pendwa nikiitoa Colgate max fresh, zifuatazo ndio naona afadhali
View attachment 2546568
View attachment 2546569
View attachment 2546570
View attachment 2546571
Kuna manzi yangu huwa nawaza kumpulizia perfume mdomoni
Jaribu kuongeza Colgate optic white Tena ila advanced ni nzuri sana maana ipo Colgate optic white sparkling na advanced ni hizo hapo pia ni nzuri sanaBaadhi ya dawa zangu za meno pendwa nikiitoa Colgate max fresh, zifuatazo ndio naona afadhali
View attachment 2546568
View attachment 2546569
View attachment 2546570
View attachment 2546571
Mapenzi ni uchafu....unakutana na mtu haja swaki siku nzima na Bado mnakulana denda...😊😊☺️☺️
okMtafutie mouthspray zipo nyingi
Nadhani ukimueleza vizuri ataacha tu.Na nyie mjitahidi kuacha punyeto.mnakera vibaya mno✌️
😂😂😂Kuna manzi yangu huwa nawaza kumpulizia perfume mdomoni
Hapana hapana mkuuMapenzi ni uchafu....unakutana na mtu haja swaki siku nzima na Bado mnakulana denda...😊😊☺️☺️
Jaribu kuongeza Colgate optic white Tena ila advanced ni nzuri sana maana ipo Colgate optic white sparkling na advanced ni hizo hapo pia ni nzuri sana
Simple mnunulie zile Big G zinakuwa na swagga fulani za kijanja box ni buku 3 anatumia wiki nzima ni nzuri sana ....zipo mentos ,tridents ni brand poa protection masaa 24Kuna manzi yangu huwa nawaza kumpulizia perfume mdomoni
Sisi ambao Tupo kwenye pharmaceutical industry tuna SEMA ni nzuri...Jaribu kuongeza Colgate optic white Tena ila advanced ni nzuri sana maana ipo Colgate optic white sparkling na advanced ni hizo hapo pia ni nzuri sana
Zile nilisikia Zina kwangua sana sana ulimi eti ukitumia sana meno yakuwa meupe ila sensivity inazidi na pia uzeeni yatakuja kusumbua sana...Nitaongeza halafu wana ile colgate charcoal japo sikuielewa kabisa
shukran. ntajitahid KUFANYA ivoSimple mnunulie zile Big G zinakuwa na swagga fulani za kijanja box ni buku 3 anatumia wiki nzima ni nzuri sana ....zipo mentos ,tridents ni brand poa protection masaa 24