Wanawake hutumia saa 5 kwa umbea!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake hutumia saa 5 kwa umbea!?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Filipo, Aug 16, 2011.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Utafiti uliofanywa nchini Uingereza umeonesha kwamba wa wanawake hutumia saa 5 kwa umbea, udaku na mambo kama hayo ndani ya siku 1.
  Soure: tbc, uchambuzi wa magazeti.
  My take: Kama hali ipo hivyo na muda wa kulala ni saa 8, basi wao hutumia nusu siku tu kufanya mambo ya maana!
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,291
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  na wanaume?
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huu ulimwengu kila kitu wanachofanya wanawake tunaona kibaya!
  kwanini badala ya umbeya tusitumie neno kupashana habari?
  Naona wanawake kama ni wazuri sana kwenye kuspread information.
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  nadhani wanaume wanatabia tofauti kutoka na umri wao...

  vijana wakikutana - ku discuss ngono

  watuwazima wakikutana - ku discuss ndoa zao na maswala ya kazi

  napia ligawanywe kundi la walio kwisha oa na ambao hawajaoa.....

  wanaume hatuna tabia moja kama ilivyo kwa wanawake....
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 69,063
  Likes Received: 2,767
  Trophy Points: 280
  lakini udaku usiudharau ni tiba like therapy-like..........................na hufunza jamii mengi ingawaje tatizo tunayonuia kutotenda huyatenda na yale tunayonuia kuyaacha huyatenda na hivyo bora kukaa kimya................
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,265
  Likes Received: 10,868
  Trophy Points: 280
  Filipo boy......

  Umeanzisha vita, mi nasepa!
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,667
  Likes Received: 2,734
  Trophy Points: 280
  hilo nalo ni neno. umeamua kuwaamkia leo.
   
 8. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 906
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mi naona wanawake wa kiafrica hutumia zaid ya saa5!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Inawezekana ikawa kweli kwa baadhi ya watu maana kuna wengine kutwa kutaka kujua habari za fulani..na fulani..na fulani alafu ongezea muda wa yeye kuzisambaza pia!!!

  Ningekua na masaa matano ya umbea tu ningekua nalala masaa 13 kila siku....I wish!!!
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,495
  Likes Received: 1,308
  Trophy Points: 280
  Hii ni moja kati ya tabia za kike!
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,688
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  Umeona eeee!...hawafahamu wakicharuka,ngoja waingie sidhani kama ataweza kuzuia mawe
   
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,466
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  UNA UHAKIKA?
  hIYO RESEARCH Haimaanishi imewahusu dunia nzima. Pili haikulinganisha wanawake na wanaume wa aina zote.Hapo juu umeainisha makundi ya wanaume.Wanawake nao hawako kama kundi moja lililo sawa.

  Kuhusu umbeya nadhani hii ni tafsiri ya mtoa mada. Kama ni umbeya naweza kusema haijalishi kama ni mwanamke au mwanaume.Umbeya ni hulka ya wote.Mazungumzo yoyote yasiyo na tija, yenye kumlenga mtu/watu ni umbeya.Kama huo ndio umbeya, hebu tuanza kutafiti hapo hapa JF tuone kama hakuna wambeya wa kiume.Hebu tuainishe muda unaotumiwa kujadili watu JF tuone!
   
 13. N

  Ndoano Senior Member

  #13
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />
  <br />
  wanaume muda mwingi ni kwenye kazi ukiona mwanaume anatumia muda kwenye umbea basi siku si nyingi atageuzwa
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,754
  Likes Received: 4,117
  Trophy Points: 280
  inabidi kwa kweli watoe maana ya umbea; maana yawezekana na hii mitandao ya siku hizi wengi tunaweza kuwa tunahusishwa humo. Jiulize tu unatumia muda kiasi gani kwenye MMU au FB
   
 15. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hmm sidhani kama ni kweli ingekuwa ni kweli basi tunhekuwa tumepiga hatua za maendeleo sana. wapo wanaume wambeya wengi tu kutaka kujua mambo ya watu, n.k, nimewaona wenyewe tena tunawaogopa kuliko wanawake. na wanawake sio wote wambea kuna ambao wako busy na mambo yao.
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kuna baadhi ya wanawake kwa kweli ni wambea ile mbaya ila na wanaume wambea wako tena wambea kwelikweli yn kwa mwanaume 1 aliyekomaa kwenye umbea ni sawa na wawake wambea 10
   
 17. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Angel msoffe umeongea kitu kikubwa sana, wanaume nao wamo tena wao hutumia muda mwingi zaidi kwa umbea na kutongozea wenzao. Umbea wa wanawake unafaida bwana asikwambie mtuuu.
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Sante mwanakijiji.
   
 19. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 4,929
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kwa wanawake wa bongo umbea ni zaidi ya masaa 8
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  wanaume sijui!?
   
Loading...