Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani umenichekesha!!

Sasa barua ya nini kama wewe mwenyewe ndio unaipeleka?

Hahahahahahaha, barua ingekamatwa ningechezea kichapo balaa.
Utoto raha sana!
 
Kutongoza kazi Sana tatizo baadhi ya wanaume wagumu kusema lengo la kukutongoza unakuta anakutaman kwa ajil ya sku moja lakin atakupa promise utazan ndo mme wak wa maisha nikikujua nakupiga risasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi sasa utaanzaje kumwambia mwanamke nakutaka kwa siku moja tu,laazma umdanganye kama vile unamhitaji for life
 
Kutongozwa kuna effect kwa mwanamke.
Yani inatufanya tujione kuwa tuna mvuto,kwamba tunasumbua kichwa cha mtu.
Yani ikitokea hujatongozwa mwaka mzima,inaweza kuaffect self esteem kabisa.
Mwanamke yeyote hata mbibi anafurahi kutongozwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubahiri haufai.
Ile mtu anakutext 'am having luch, have you?' Unajibu 'not yet', unashangaa kampesa hako kanaingia kanasindikizwa na ka sms 'have nice lunch baby girl'.
Damn, unarogeka bila kurogwa.
naona unajikumbushia enzi za u-atoto nilijua umebadilika. pesa pesa pesa pesa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubahiri haufai.
Ile mtu anakutext 'am having luch, have you?' Unajibu 'not yet', unashangaa kampesa hako kanaingia kanasindikizwa na ka sms 'have nice lunch baby girl'.
Damn, unarogeka bila kurogwa.



hahaha umeona eh !sasa ha vijana asbhu atakuambia nipo somehwr(classic place) nakunywa breakfast,utamwambia oky enjoy ur breakfast !mchana tena atakupigia had picha yupo sehem classic anakula ,ataishia kukuambia PAA uje hehehe!jion ndo unakumbana na picha za heinken sasa !hapo wewe umechoka na kazi na vurugu za siku hyo zote !ataanza sasa kupandwa na manyege yake kukuomba umtumie picha !tumbafu
 
alafu bas wanatujua kisaokolojia !yaan ht kwa txt anajua huyu leo anashida atakuuliza !saa zingine anakupigia simu kasimu katochi ka line ya tigo unakuta kanablink sms !ukifungua unakutana na tabasam mwanana la salio ! na ni kweli ukute siku hyo huna hela !jaman hawa wanaume wapo nwachache sana jaman !

mimi mtu wa aina hii sio shida kumnunuia shat la gharama nimpelekee!mavest maboxer atayavaa sana atajua mwenyewe atamwambiaje mkewe!

My dear nimekufatilia kwenye huu uzi nimegundua nyege zako ziko kwenye pesa na macare.mtu wa hivyo anakula mzigo
 
Karaha tupu kwakweli
Haswa umkute mtu ndo anajifunzia kwako mbona taaabu kilaaa saaaa txt aaaaah
Funguka mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu kuwahi kutokea duniani.
Ukifanikiwa kuwaelewa umeyashinda ya dunia
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kapeace, naomba Namba zake nimtongoze tuu kwa kiswahili. Plse niibox Mumy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom