Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
Mm sipendi wanaume wanaotongoza badala aende kwenye lengo anaanza masifa mara Baba angu rubani kwetu kuna magar sita mara mm nilitumwa na mazaa benki ya bot yan badala aende kwenye lengo anajzaa misifaa kibaooo
Ili anishawishi au wewe leta matendo tu achana na masifaa
Unashangaa unashawishika unajua huyu mtu kwao maisha lain baadae ukimjua unamkimbia anabak kulalamika tu jaman kutongoza nako kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app