Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,367
Utadhani yy Mungu ama mzazi wakoMwingine ukimkataa na laana anakupa kbisa, huwa naishia kucheka tu.
Utadhani yy Mungu ama mzazi wakoMwingine ukimkataa na laana anakupa kbisa, huwa naishia kucheka tu.
hii ndo diplomasia nzuri, kama chatting hazijakaa kimwendelezo mtu atajitoa mwenyewe tu.mhh hapana !sijawah ! sijui nisemeje! mie huwa naktaa kimahesabu unaweza ukawa unanichangamkia weeee mie najibu kifupi tu utakata mwenyewe mawasiliano na mm !
Hao unakuta ni wale watu wazima walogoma kukua ndio wenye kashfa sasa, na vivulana.inategemea na aina ya mwanaume espy ! mie bora niambiwe nna manyodo !ukiwapa nafasi vivulana tegemea hayo ! raha sana kutongozwa na mu mzima !hakuna shoda kbs !sana sana ht ukimkataa hakawii kukupa pesa ya mafuta anakuambia nimekusumbua !pyeeeeee
Unakuta mtu anakukerea tu kila siku unaamua kumjibu kifupi au kutokumjibu kabisa ili kupunguza kero, ila sasa ndio hapo balaa linapoanzia.hahaha mnafikaje kwenye kashfa? lazima tu itakuwa mnajibu vibaya hadi mtu anakuwa irritated.
Yaani acha tu.Utadhani yy Mungu ama mzazi wako
Si mpaka huyo mtongozaji awe na hizo akili timamu za kujitoa mwenyewe tu!!hii ndo diplomasia nzuri, kama chatting hazijakaa kimwendelezo mtu atajitoa mwenyewe tu.
tatizo wadogo zako wakiombwa watolewe out wanauliza WAPII? wakiambiwa RESTAURANT wanajibu siyo type zao, watakosaje kashfa?
Yaani acha tu, ukimkuta k.lyn kaolewa na mengi hata usishangae. Wana maneno matamu sana na yenye busara.Sanaaa aiseee uwiiii maneno utakayopewa haki ya nani waweza jikuta unakubali bila kujijua
Wazima kuliko mimi[emoji12]watu wazima wenzako au wazima kuliko wewe
Umenikumbusha jambo mkuuLakini kuna wanaume ukiwapa msimamo mwanzo anapokuanza tu hua wanakula kona for good tena hasa miaka hii ambapo hakuna mwanaume anaetongoza miaka miwili, hawarudi tena! Shida iko pale mwanamke hakubali wala hakatai, tena anatoa viashiria chanya kama kukuuliza maisha yako na zawadi anapokea lakini kumbe anahamu tu ya kusikia nyimbo zako
Duh, hiyo mbinu haimuachi mwanaume salamaHahaha ndo jibu la kukukataa ,ss hv hatutumii nguvu nyingi kukataa omba pesa tu tayar ushamfukuza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni utoto tu, ukiua utaacha.One of my fantasy ni kutongoza...napenda sana kutongoza na kuangalia reaction za mwanamke ninaemtongoza..japo nafanyaga kiutani tu na wala sina nia ya kuanzisha nae mahusiano....yaan napenda tuu reaction zao kipindi icho cha mtongozo....nikiwa kwenye daladala....nikiwa mgahawani....nikiwa njian natembea....yaan popote pale nikimwona mwanamke halafu akili yangu ikanituma nimtongoze just for my fantasy tu basi uwa nafanya ivyo...na mara nyingi saana mitongozo yangu uwa inaelekea kwenye kukubaliwa kwa 95% tena ni same day.......
Kitu ambacho nashindwaga kujielewa ni pale ntapomwona demu niliempenda kweli au ninaetamani kweli kuanzisha mahusiano nae...yaaan nashindwaga kabisa kumwaga nondo zangu za ukweli...hata nikimwaga nondo uwa naishiwa kupigwa kibuti au ntazungushwa miezi kadhaa ndo nije nikubaliwe...yaaan hata sielewi kwanini.
Karaha tupu kwakweli
Haswa umkute mtu ndo anajifunzia kwako mbona taaabu kilaaa saaaa txt aaaaah
Kweli hila kutongoza maana yake si kudanganyaInasemekana wanawake wa kizungu ndo huwa wanafurahia zaidi kitendo cha kutongozwa kuliko wanawake kutoka Africa kwakua wanawake wa kizungu hudanganywa kwa asilimia 2 tu.
Wakati zoezi la kutongozwa kwa wanawake kutoka Africa huwa linakua na asilimia 81 za uongo.
I stand to be corrected!!!
Sent using Jamii Forums mobile app