Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

haha hapana !sina shem mpya zaid ya nanyupu ! nimemkwoti kwako kwa hii sms !namfaham namnanganga sana mbahili hatar!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubahiri haufai.
Ile mtu anakutext 'am having luch, have you?' Unajibu 'not yet', unashangaa kampesa hako kanaingia kanasindikizwa na ka sms 'have nice lunch baby girl'.
Damn, unarogeka bila kurogwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc kichaa fulani

Ama kweli kuotongoza ni an art, na si kila mtu anaweza.
Kuna mtu unakuwa unasubiria text yake every time na ikiingia hata kabla haujaifungua unatabasamu kwanza. Akikucall ukiliona jina tu unajawa na bashasha. Ila wenzangu na mie unaacha tu iite na ikatike akipiga baadae utafute kisingizio.
[emoji23]

n0 r0se with0ut th0rn
 
Its fun kama ni mtu ulie na feelings nae, au yule mtu ambae ni fun to chat with. Ila wengine ni kero acha tu. Unatamani umtukane ila basi tu kwasababu ya utu inabidi tu ukae kimya au umjibu kistaarabu.

Teh teh teh teh teh!
Siku ya kwanza kutongoza niliendaga na barua bwana!
Yule binti Chotara akafurumusha matusi kesho yake nikapewa umbeya anataka kuleta ile barua class ili watu waisome.
Nilijibanza nje ya hostel zao namsubri atoke, nilimpa bonge la Kabari ya shingo na kusachi barua yangu kwenye begi lake. Nkapoteza ushahidi hadi leo.....daaha huo ndiyo ukawa mkakati wangu, nakupa barua unasoma mbele yangu ukikataa nakunyang'anya. Haahaahaaaaa
 
Teh teh teh teh teh!
Siku ya kwanza kutongoza niliendaga na barua bwana!
Yule binti Chotara akafurumusha matusi kesho yake nikapewa umbeya anataka kuleta ile barua class ili watu waisome.
Nilijibanza nje ya hostel zao namsubri atoke, nilimpa bonge la Kabari ya shingo na kusachi barua yangu kwenye begi lake. Nkapoteza ushahidi hadi leo.....daaha huo ndiyo ukawa mkakati wangu, nakupa barua unasoma mbele yangu ukikataa nakunyang'anya. Haahaahaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani umenichekesha!!

Sasa barua ya nini kama wewe mwenyewe ndio unaipeleka?
Why usimueleze tu hayo maneno ulomwandikia.
 
sasa hao ndo tunaosemaga wanasaidia sana maisha ya stress yasonge ! acha kbs mamy ! wazuri sana !sio vitoto vikikuona online u vinadai picha !ukute umetibauna huko asbh au kazin kenyewe kanangang'ania ukatumie picha !au asbh kanakuongeleza utumbo umbo tu !fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! mwanaum bwana asbh anakutxt na salam then anakupa ratiba zake za siku hyo !menguine yanweza ingiliana hapo katikati !sasa hv vivulan havikawii kukuambia naenda beach niongezee bas 20 ninunue bia !fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kumuhonga mwanaume lbd yesu ashuke, labda kumsaidia tu na kumnunulia zawadi lkn eti naomba niongezee hela kidogo niende bichi ahahahahaha warereeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niende moja kwa moja kwenye mada utakuta mwanamke (tena wa kada zote wasomi na hata wasokwenda shule) yupo na mahusiano yenye nguvu tu, ama kaolewa, anamchumba au rafiki tu wakiume, apotokea mwanaume kumtongoza hua hatoi jibu la kumkatisha tamaa(kum discourage) japo anaweza kuweka wazi status yake ya mahusiano.

Maranyingi unapoanza kumtongoza mwanamke hata kama kaolewa na anadhani au anajua kabisa nawe umeoa au upo katika mahusiano swali la kwanza atakalo kuuliza ni kua wewe so unamke? Kama vile hicho ndio kikwazo cha kukukatalia. Ni wachache watakaoanza kwa kusema mimi nipo kwenye mahusiano.

Kibaya zaidi anaweza akakuendesha muda mrefu bila kukupa jibu la kukutupa au kukukatalia kabisa huku akipokea zawadi na misaada kadhaa,na mara nyingi hii hua sababu ya baadhi ya wanawake wakijikuta wanaanza kuchepuka hata kama awali moyo wake ulikua na msimamo.

Najiuliza huwa kutongozwa kuna wa fantasize au wanakua na kisebusebu na kiroho papo?
Kutongozwa kunaboost immunity[emoji3],haswa kama ulienae hajui kurenew mtongozo, hakusifii wanawake tunahitaji kukumbushwa mda kwa mda mazuri yetu[emoji12] kitu ambacho wanaume wengi wa kibongo hamfanyi
Mbaya ni pale unapo entertain flirts mara unafall kabisa, hapo sasa ni shida
 
Wale ambao wanadai wameolewa halafu wana michepuko wote nimewagundua hapa [emoji41][emoji41]
kabisa yaani wamejianika vibaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

.mi nlisema hakuna mwanamke anayekataa mwanamke

n0 r0se with0ut th0rn
 
Back
Top Bottom