Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,367
Umeona eheee
Umeona eheee
Yaani hii mbinu moja kabambe sanaaa, haswa kwa waume za watu walokosa haya. Unampiga kizinga kimoja kitakatifu, akirudi tena huyo nunda.Hahaha ndo jibu la kukukataa ,ss hv hatutumii nguvu nyingi kukataa omba pesa tu tayar ushamfukuza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tatizo lako ni kama langu, ukimkubali sana demu ndo unajiogezea woga na unawongeza heshima zaidi ya ile inayotakiwa.One of my fantasy ni kutongoza...napenda sana kutongoza na kuangalia reaction za mwanamke ninaemtongoza..japo nafanyaga kiutani tu na wala sina nia ya kuanzisha nae mahusiano....yaan napenda tuu reaction zao kipindi icho cha mtongozo....nikiwa kwenye daladala....nikiwa mgahawani....nikiwa njian natembea....yaan popote pale nikimwona mwanamke halafu akili yangu ikanituma nimtongoze just for my fantasy tu basi uwa nafanya ivyo...na mara nyingi saana mitongozo yangu uwa inaelekea kwenye kukubaliwa kwa 95% tena ni same day.......
Kitu ambacho nashindwaga kujielewa ni pale ntapomwona demu niliempenda kweli au ninaetamani kweli kuanzisha mahusiano nae...yaaan nashindwaga kabisa kumwaga nondo zangu za ukweli...hata nikimwaga nondo uwa naishiwa kupigwa kibuti au ntazungushwa miezi kadhaa ndo nije nikubaliwe...yaaan hata sielewi kwanini.
Hawa jamaaa sjui hua wanapendaga nnwanawake bhana wakitongozwa sanaaa wanalalamika kusumbuliwa, wasipotongozwa ndo kabisaa wanaenda ufufuo na uzima kuombewa wengine wanaenda kwa waganga.
tabia za wanawake haziko uniform
Kwa usawa huu wa Sizonje dear hawezi rudi ataishia kukuona tuYaani hii mbinu moja kabambe sanaaa, haswa kwa waume za watu walokosa haya. Unampiga kizinga kimoja kitakatifu, akirudi tena huyo nunda.
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunaenda saloon na kupaka make up, kutongozwa raha yake uringe ringe basii
Mwanaume ukipendwa utakataaje kwa mfanoNiko tofauti kabisa, ss wanawake ni sawa, sasa mbona kuna midume nayo inajirahisisha km wanawake yaani akiambiwa anapendwa au mdada akimtokea yy ndio sifa yake hachomoi, yaani wanajiraisisha km baadhi ya wanawake!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha, ndo maana mnalalamika sijui wanaume hawana nguvu sijui nn, ni machaguo yenu tuWazima kuliko mimi[emoji12]
Hahahaaaa!! Kweli kabisa, kuna mwanaume anakushawishi tu umpe zawadi. Yaani wanacare sana na wanajua kusoma alama za nyakati. Na hakukeri hataa, its just fun to chat with them all the time.alafu bas wanatujua kisaokolojia !yaan ht kwa txt anajua huyu leo anashida atakuuliza !saa zingine anakupigia simu kasimu katochi ka line ya tigo unakuta kanablink sms !ukifungua unakutana na tabasam mwanana la salio ! na ni kweli ukute siku hyo huna hela !jaman hawa wanaume wapo nwachache sana jaman !
mimi mtu wa aina hii sio shida kumnunuia shat la gharama nimpelekee!mavest maboxer atayavaa sana atajua mwenyewe atamwambiaje mkewe!
Kero kero kero kero kweli kweli.Amna kero kama kutongozwa na mwanaume kinganganizi…Aiseee
Ni njia nzuri sana kwakweli.Kwa usawa huu wa Sizonje dear hawezi rudi ataishia kukuona tu
Alokwambia watu wazima hawana nguvu nani? Ni nyie watoto na chipsi zenu.hahahaha, ndo maana mnalalamika sijui wanaume hawana nguvu sijui nn, ni machaguo yenu tu
Hahahaaaa!! Kweli kabisa, kuna mwanaume anakushawishi tu umpe zawadi. Yaani wanacare sana na wanajua kusoma alama za nyakati. Na hakukeri hataa, its just fun to chat with them all the time.
Hahahaaaa! Huyo ndio shem mpya nini?
mama kwa shuhuda hujambo.., kuna namna ya kuzuia baadhi ya id zisisome humu?Alokwambia watu wazima hawana nguvu nani? Ni nyie watoto na chipsi zenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa hao ndo tunaosemaga wanasaidia sana maisha ya stress yasonge ! acha kbs mamy ! wazuri sana !sio vitoto vikikuona online u vinadai picha !ukute umetibauna huko asbh au kazin kenyewe kanangang'ania ukatumie picha !au asbh kanakuongeleza utumbo umbo tu !fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! mwanaum bwana asbh anakutxt na salam then anakupa ratiba zake za siku hyo !menguine yanweza ingiliana hapo katikati !sasa hv vivulan havikawii kukuambia naenda beach niongezee bas 20 ninunue bia !fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc kichaa fulani
Ama kweli kuotongoza ni an art, na si kila mtu anaweza.
Kuna mtu unakuwa unasubiria text yake every time na ikiingia hata kabla haujaifungua unatabasamu kwanza. Akikucall ukiliona jina tu unajawa na bashasha. Ila wenzangu na mie unaacha tu iite na ikatike akipiga baadae utafute kisingizio.