Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Mm sipendi wanaume wanaotongoza badala aende kwenye lengo anaanza masifa mara Baba angu rubani kwetu kuna magar sita mara mm nilitumwa na mazaa benki ya bot yan badala aende kwenye lengo anajzaa misifaa kibaooo
Ili anishawishi au wewe leta matendo tu achana na masifaa
Unashangaa unashawishika unajua huyu mtu kwao maisha lain baadae ukimjua unamkimbia anabak kulalamika tu jaman kutongoza nako kipaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba tuunganishe vikojoleo vyetu kama hutojali.
[Nimeenda kwenye lengo dada]
 
Watu wanajali bhana! Kuna midume unajua mwanamke anatakiwa afanyiwe nn, asikwambie mtu ss wanawake tunapenda mtu anaweza kujali sasa isitokee unatongozwa uko ndani na mume haeleweki ghairi km magu alafu anajifanya mfungua zipi nje! Huyo mume mpaka ajitambue ww unamuona km kaka sasa si mume tena

Sent using Jamii Forums mobile app


there u r my dear ! ogopa kuolewa na mume mbinafsi !yaan ukipendeza utaona sifa zinavyokumwagikia !hajui huyu ht mia sikumpa ! mie hata unipe 5000 nitashukuru sana tu maana umeonesha kujali ! unakuta anajitungulisha nguo zake za maaan wewe hapo hakununulii ht chupi ! mie hawa nasemaga mbinguni tukienda watakuhukumiwa madhambi yetu dadek zao hawa!
 
kama sheria ingekuwepo ya kuongeza mume, basi wanaume tungekonda sana ktk hii dunia

sema aliyekundua dini alitulinda wanaume kwa kuwa ni mwanaume,

ila kama mwanamke ndo angeweka sheria aaah

n0 r0se with0ut th0rn
 
Hakuna neno tamu likawa la kweli katika seduction, ila huwa najiuliza ina maana wanawake waemeidhinisha kudangaywa au?? unaweza kukuta unasifia Hipsi kwa mtu asiyenalo lakini anashindwa kulitafuta na macho yake anaamua kutafutia kwenye kioo
 
kama sheria ingekuwepoa ya kuongeza mume, basi wanaume tungekonda sana ktk hii dunia

sema aliyekundua dini alitulinda wanaume kwa kuwa ni mwanaume,

ila kama mwanamke ndo angeweka sheria aaah

n0 r0se with0ut th0rn


mie ningeongeza zamaniiiiiiiiiiiii
 
Its fun kama ni mtu ulie na feelings nae, au yule mtu ambae ni fun to chat with. Ila wengine ni kero acha tu. Unatamani umtukane ila basi tu kwasababu ya utu inabidi tu ukae kimya au umjibu kistaarabu.
 
Hakuna neno tamu likawa la kweli katika seduction, ila huwa najiuliza ina maana wanawake waemeidhinisha kudangaywa au?? unaweza kukuta unasifia Hipsi kwa mtu asiyenalo lakini anashindwa kulitafuta na macho yake anaamua kutafutia kwenye kioo
Sasa je unasoma na sms mara kumikumi hadi unasinzia ni raha kutongozwa nyie, huwa mna maneno matam matam nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karaha tupu kwakweli
Haswa umkute mtu ndo anajifunzia kwako mbona taaabu kilaaa saaaa txt aaaaah
Heeeee baby , I don't have much to say but I want you to know that you are my other half and yes I am under your spell, ,Will you go with me Darling ?.


N.b.najifunza.
 
Back
Top Bottom