Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
10,709
Reaction score
19,558
Niende moja kwa moja kwenye mada utakuta mwanamke (tena wa kada zote wasomi na hata wasokwenda shule) yupo na mahusiano yenye nguvu tu, ama kaolewa, anamchumba au rafiki tu wakiume, apotokea mwanaume kumtongoza hua hatoi jibu la kumkatisha tamaa(kum discourage) japo anaweza kuweka wazi status yake ya mahusiano.

Maranyingi unapoanza kumtongoza mwanamke hata kama kaolewa na anadhani au anajua kabisa nawe umeoa au upo katika mahusiano swali la kwanza atakalo kuuliza ni kua wewe so unamke? Kama vile hicho ndio kikwazo cha kukukatalia. Ni wachache watakaoanza kwa kusema mimi nipo kwenye mahusiano.

Kibaya zaidi anaweza akakuendesha muda mrefu bila kukupa jibu la kukutupa au kukukatalia kabisa huku akipokea zawadi na misaada kadhaa,na mara nyingi hii hua sababu ya baadhi ya wanawake wakijikuta wanaanza kuchepuka hata kama awali moyo wake ulikua na msimamo.

Najiuliza huwa kutongozwa kuna wa fantasize au wanakua na kisebusebu na kiroho papo?
 
Karaha tupu kwakweli
Haswa umkute mtu ndo anajifunzia kwako mbona taaabu kilaaa saaaa txt aaaaah
Lakini kuna wanaume ukiwapa msimamo mwanzo anapokuanza tu hua wanakula kona for good tena hasa miaka hii ambapo hakuna mwanaume anaetongoza miaka miwili, hawarudi tena! Shida iko pale mwanamke hakubali wala hakatai, tena anatoa viashiria chanya kama kukuuliza maisha yako na zawadi anapokea lakini kumbe anahamu tu ya kusikia nyimbo zako
 
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana wanawake wa kizungu ndo huwa wanafurahia zaidi kitendo cha kutongozwa kuliko wanawake kutoka Africa kwakua wanawake wa kizungu hudanganywa kwa asilimia 2 tu.

Wakati zoezi la kutongozwa kwa wanawake kutoka Africa huwa linakua na asilimia 81 za uongo.

I stand to be corrected!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niende moja kwa moja kwenye mada. Utakuta mwanamke (tena wa kada zote wasomi na hata wasokwenda shule) yupo na mahusiano yenye nguvu tu, ama kaolewa, anamchumba au rafiki tu wakiume, apotokea mwanaume kumtongoza hua hatoi jibu la kumkatisha tamaa(kum discourage) japo anaweza kuweka wazi status yake ya mahusiano
Maranyingi unapoanza kumtongoza mwanamke hata kama kaolewa na anadhani au anajua kabisa nawe umeoa au upo katika mahusiano swali la kwanza atakalo kuuliza ni kua wewe so unamke? Kama vile hicho ndio kikwazo cha kukukatalia. Ni wachache watakaoanza kwa kusema mimi nipo kwenye mahusiano
Kibaya zaidi anaweza akakuendesha muda mrefu bila kukupa jibu la kukutupa au kukukatalia kabisa huku akipokea zawadi na misaada kadhaa,na mara nyingi hii hua sababu ya baadhi ya wanawake wakijikuta wanaanza kuchepuka hata kama awali moyo wake ulikua na msimamo
Najiuliza huwa kutongozwa kuna wa fantasize au wanakua na kisebusebu na kiroho papo?

majibu huwa yanategemea na mtu anae kutongoza mfano Boss wako anakutongoza huwezi kumjibu hash hata kidogo unatafuta njia nyepesi ya kumkatalia bila ya yeye kukasirika, au Status ya mtu anae kutongoza ndiyo itakayo kufanya uchelewe kutoa jibu,, wasomi huwa wanajua tu nimekataliwa hawaulizagi
 
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] samahani sister naomba nikutongoze[emoji4] [emoji5]

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazma nikutongoze ili nione ambavyo huwa unafurahi
 
Hapo ndio wanaume wenye art ya kutongoza wanapochukua papuchi in a style way.....kila mwanaume ana namna yake ya utongozaji na mvuto tofauti, wengine hutumia kuhonga sana wengine maneno na wengine wanakua na vyote plus endurance, yaani anaweza kukufatilia bila kukata tamaa

Ipo siku by coincidence tu yakatokea mazingira muafaka, uwe umegombana na mwenzi wako au upo na genuine and serious shida au whatever, ukajikuta jamaa ndo kama malaika muokozi ukashindwa ku resist so unajua tena kamba hukatika pembamba....unabaki unajishangaa papoja na msimamo wooote umeshavua puchi
 
Inasemekana wanawake wa kizungu ndo huwa wanafurahia zaidi kitendo cha kutongozwa kuliko wanawake kutoka Africa kwakua wanawake wa kizungu hudanganywa kwa asilimia 2 tu.

Wakati zoezi la kutongozwa kwa wanawake kutoka Africa huwa linakua na asilimia 81 za uongo.

I stand to be corrected!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu ni pale sometimes wanawake wa kiafrika wanakua kabisa hapa wanadanganywa lakini you feel hua wana enjoy tu sound, mzungu akijua unamdanganya kuna biashara tena hapo?
 
Back
Top Bottom