uwiiiiiiii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 341
- 365
Wanachojua wao ni michepuko, sasa ndani hujamaliza nje unafanyaje xaxa! Kichwa uma sana, na rafiki bwana mashauzi alimnunulia gari baadae haya pesa ya mafuta hatoi, shoga ananiambia ngoja naenda sehemu alikuwa ana mtu anamjali mafuta full mume haeleweki! Kha!there u r my dear ! ogopa kuolewa na mume mbinafsi !yaan ukipendeza utaona sifa zinavyokumwagikia !hajui huyu ht mia sikumpa ! mie hata unipe 5000 nitashukuru sana tu maana umeonesha kujali ! unakuta anajitungulisha nguo zake za maaan wewe hapo hakununulii ht chupi ! mie hawa nasemaga mbinguni tukienda watakuhukumiwa madhambi yetu dadek zao hawa!
Sent using Jamii Forums mobile app