Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Hivi sasa utaanzaje kumwambia mwanamke nakutaka kwa siku moja tu,laazma umdanganye kama vile unamhitaji for life
Unakuwa mkweli tu, kama hana hiyana anakutunuku maisha yanaendelea.
 
hahaha umeona eh !sasa ha vijana asbhu atakuambia nipo somehwr(classic place) nakunywa breakfast,utamwambia oky enjoy ur breakfast !mchana tena atakupigia had picha yupo sehem classic anakula ,ataishia kukuambia PAA uje hehehe!jion ndo unakumbana na picha za heinken sasa !hapo wewe umechoka na kazi na vurugu za siku hyo zote !ataanza sasa kupandwa na manyege yake kukuomba umtumie picha !tumbafu
Hahahaaaa!! Mbona tumbafu!! Wa hivyo humjibu hata, unazisoma tu na kuzipotezea.
 
inakera pale anayekutongoza ni jank! andika yake(xaxa) unataka upasuke uingie ardhini !sidhan km kutongozwa ni raha !

sema jaman kuna wanaume wanajua kucare kha!ukiugua yupo na ww full time !hakawii kukuchungulisha mpesa ,,tigopesa mweee mwee !hao jaman serikali iwatengee fungu lao
hahahahah ili wapate za kukurushia sio? mpesa, tigo pesa na vyote vinavyofanana na hivyo havijawahi mwacha mtu salama

kuna message nimeiona sehemu sikuweza vumilia kukaa nayo peke yangu.

inasema: hata message ya mapenzi iwe nzuri kiasi gani haiwezi pita message ya mpesa au tigo pesa

teh teh
 
hahaahhahaha uwiiii jaman watu wanakatisha tamaa hahah uwiii aisee men akisoma hvyo anaweza asipende mtu kbs !teh na ulivyo mchaga shoga sikupatii picha !teh
 
hahaahhahaha uwiiii jaman watu wanakatisha tamaa hahah uwiii aisee men akisoma hvyo anaweza asipende mtu kbs !teh na ulivyo mchaga shoga sikupatii picha !teh
umeonaeeee, yaani mie nikiona hizo za mpesa au tigo pesa naanza kucheka mwenyewe hata kama niko kwenye meeting ya kitu maalumu nakuwa nasahau point zinazofuata

teh teh sijui nilizaliwa mlangoni mwa BOT looooh
 
haaaaaaaaaaaahaaaaaaaaa wachaga noma jaman !dah umenichekesha
 
hahahahah ili wapate za kukurushia sio? mpesa, tigo pesa na vyote vinavyofanana na hivyo havijawahi mwacha mtu salama

kuna message nimeiona sehemu sikuweza vumilia kukaa nayo peke yangu.

inasema: hata message ya mapenzi iwe nzuri kiasi gani haiwezi pita message ya mpesa au tigo pesa

teh teh
Hahaaaa!! Kwakweli hakuna msg inayokonga moyo wangu kama "umepokea kiasi cha.......toka kwa........ "
 
Hahaaaa!! Kwakweli hakuna msg inayokonga moyo wangu kama "umepokea kiasi cha.......toka kwa........ "
kumbe tuko wengi eeeeh na waendelee tu kutuma ili mioyo yetu ipate furaha loooh

hasa ukute imetoka kwa wamoyo wako

duuuuuh sipatii picha hapo
 
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan hajui kabisa! Sasa anajuaje kama anatongozwa labda jamaa anaongea nae ma deal[emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom