Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

kumbe tuko wengi eeeeh na waendelee tu kutuma ili mioyo yetu ipate furaha loooh

hasa ukute imetoka kwa wamoyo wako

duuuuuh sipatii picha hapo
Yaani kama imetoka kwa wa moyoni ndio siku inakuwa na full tabasamu. Unachekea hadi kuku.
 
acha tu kuna miezi kama 4 iliyopita nilipiga bingo mahali kuja kucheki uzito nimeongezeka 5kg,
nikajisemea jje's my love, watch out unakoelekea siko, so nina kazi ya kupunguza uzito
hahahahah pesa jamani pesa

hahaha kweli pesa sabuni ya roho ! ni kweli unafarijika kwakwel
 
Inasemekana wanawake wa kizungu ndo huwa wanafurahia zaidi kitendo cha kutongozwa kuliko wanawake kutoka Africa kwakua wanawake wa kizungu hudanganywa kwa asilimia 2 tu.

Wakati zoezi la kutongozwa kwa wanawake kutoka Africa huwa linakua na asilimia 81 za uongo.

I stand to be corrected!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa muoshwa huoshwa!! Hata sie tunadanganya kwa asilimia90! Kwhy bilabila[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan kuna wanaume unamwambia Mimi ctack Nina mchumba lakini yeye kakomaa hadi anaboa ciwapendi wanaume wa ivoo wa kuambiwa ukweli lakin wanang'ang'ania tyu etiii ooooh hamna shixa Kwan anatembea nawewe kila wakati?
 
Niko tofauti kabisa, ss wanawake ni sawa, sasa mbona kuna midume nayo inajirahisisha km wanawake yaani akiambiwa anapendwa au mdada akimtokea yy ndio sifa yake hachomoi, yaani wanajiraisisha km baadhi ya wanawake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Iv kbsaaa intokea mnyama swla ajipitshe mbele ya mnyama fisi then akae atulie tu unadhan nn knafata kwa fisi mwnye njaa?

Lakin c rahc mnyama fisi ajipeleke kwa mnyama swala then swala amtaman mnyama fisi kisa swala ana njaa.... Yaan swala hapo hapo njaa itapotea n atatoweka ghafla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama imetoka kwa wa moyoni ndio siku inakuwa na full tabasamu. Unachekea hadi kuku.
hahahahahahahh yaani una element kama zangu, halafu ukiulizwa unacheka nini hata huwezi jibu

haya malovee haya yaache tu yawepo maana ni dawa tosha ya BP
 
Mm sipendi wanaume wanaotongoza badala aende kwenye lengo anaanza masifa mara Baba angu rubani kwetu kuna magar sita mara mm nilitumwa na mazaa benki ya bot yan badala aende kwenye lengo anajzaa misifaa kibaooo
Ili anishawishi au wewe leta matendo tu achana na masifaa
Unashangaa unashawishika unajua huyu mtu kwao maisha lain baadae ukimjua unamkimbia anabak kulalamika tu jaman kutongoza nako kipaji

Sent using Jamii Forums mobile app
We c unatafuta mume ndo maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume akitongozwa na mwanamke kumkatalia ni vigumu sababu ya huruma. Unahisi utamuumiza saana moyo wake maana kajitoa muhanga kajirusha kwako halafu wewe unamkwepa! Atumia sana..wala usitake kuweka usawa katika Hili, wanaume hatuumii tukikataliwa ndio dunia yetu, na kama mwanaume uta turn down ombi la mwanamke kukutaka u have to do it in a gentle possible manner....wanawake are so fragile na wangapi katika million moja watatongoza wanaume? Labda kumi tu
Ng'ambo wanawake weng tu hutongoza wanaume... Uku mila n destur ndyo hazruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahahahh yaani una element kama zangu, halafu ukiulizwa unacheka nini hata huwezi jibu

haya malovee haya yaache tu yawepo maana ni dawa tosha ya BP
Hahahaaaa!! Kumbe nawe inaiutokeaga!! Ukiulizwa unachocheka hata huwezi kueleza, jamani jamani!! Shiamoo mapenzi na pesa.
 
yaani acha tu, pesa ni kitu ingine bhana maana hata kama ulikuwa na sura mbaya pesa zikianza kuingia sura inaanza kung'aa yenyewe

pesa jaman pesa acha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pesa sabuni ya roho.
 
Hahahaaaa!! Kumbe nawe inaiutokeaga!! Ukiulizwa unachocheka hata huwezi kueleza, jamani jamani!! Shiamoo mapenzi na pesa.
hakika ungeanza na shikamoo pesa kwanza, maana mapenzi ambayo hayanogeshwi na pesa na vizawadi vizawadi bhana huwa yanafifia mapema.

huwa najiuliza utakumbukia nini sasa kama hakuna vizawadi zawadi?

Akili yangu naijua mwenyewe usinicheke
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pesa sabuni ya roho.
hakika loooh, pesa jamani pesa

ndo maana napenda kuplan my future maana nikifail kuplan failures will come to me na mimi sitaki kabisa
Nikiona hapa nakosea, najiambia jje's bby, come back to your sense and let us enjoy life

teh teh
 
Hahahaaaa!! Eti unampelekea barua alafu unamsubiri asome kisha unamnyang'anya!! Ulikuwa chizi kweli.

Si umuelezee tu maadamu ushamuna!

Hahaha juzi nimeonana naye nilivyorudi Dar,
Alivyonioana kwanza alicheka hadi alitaka kulia na jinsi nimekuwa mstaarabu sana siku hizi.
 
Yaan hajui kabisa! Sasa anajuaje kama anatongozwa labda jamaa anaongea nae ma deal[emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasikia baadhi ya maneno muhimu km asante, karibu, naomba nk, lkn yeye kinachomchanganya sana ni neno NAKUPENDA likitamkwa na mwanaume yeye kwake ni raha sana na akijaga huku wakware wanamtafunaga mno coz akibembelezwa kwa kiswanglish hapindui jamaa akiwa anatongoza mwanzo mpk mwisho yy ni full kubebika dah namwangaliaga sana kwa huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakika ungeanza na shikamoo pesa kwanza, maana mapenzi ambayo hayanogeshwi na pesa na vizawadi vizawadi bhana huwa yanafifia mapema.

huwa najiuliza utakumbukia nini sasa kama hakuna vizawadi zawadi?

Akili yangu naijua mwenyewe usinicheke
Akili yako inafanana na yangu, mie mapenzi ya i love you i love you asubuhi hadi jioni, j3 hadi j2 kwakweli huwa yananichosha wiki tu.
Lazima yanogeshwe na vitigo pesa, mpesa, airtel money,sim banking alerts nk. Sasa maneno tuuuuuuuu kama tupo kanisani.
Hata kanisani angalau kuna sadaka.
 
Niko tofauti kabisa, ss wanawake ni sawa, sasa mbona kuna midume nayo inajirahisisha km wanawake yaani akiambiwa anapendwa au mdada akimtokea yy ndio sifa yake hachomoi, yaani wanajiraisisha km baadhi ya wanawake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Imewahi kukutokea hiyo??
Mwanaume akajirahisisha kwako??
Je, ulichukuliaje hali hiyo?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakika loooh, pesa jamani pesa

ndo maana napenda kuplan my future maana nikifail kuplan failures will come to me na mimi sitaki kabisa
Nikiona hapa nakosea, najiambia jje's bby, come back to your sense and let us enjoy life

teh teh
Ewaaaaaaaah!! Pesa kwanza then mengine yatafuata tu.
 
Back
Top Bottom