Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,076
- 144,511
Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama.
Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu ambacho si kweli.
Ukitaka kujia ni makusudi au kujiachia tu, angalia wanawake au wamama wenye madaraka au nyadhifa katika jamiii na wengine wenye kujiheshimu uone kama wanakuwa na muonekano huo wa kufedhehesha kwenye makalio.
Kingine, mnaponunua nguo za ndani epukeni zile zenye mapindo makubwa na zaidi muepuke kuvaa nguo za kubana kwani mnajiabisha na zaidi mnaaibisha na wenzenu wanaojiheshimu.