Biashara ya nguo za wanawake

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Oct 29, 2021
2,770
5,427
Kwenye mitindo na fashion hasa kweny sekta ya mavazi sehem ambayo ina soko la bidhaa za mitindo ni mavazi hasa Kwa upande wa mavazi ya wanawake .kiasili wanaume tupo radhi hat kuw na jeans moj au mbili Kwa mwak.mzma na tusione shida.

Ila Kwa upande wa wanawake mambo ni tofauti kidogo .huwez tenganisha fashion,mitindo na wanawake .kiasili wanawake ni watu ambapo hawapend kupitwa na fashion. Mwanamke yupo radhi ajinyime kula.ila.awe na kabati limejaa viatu na nguo za kutosha kwake ni furaha kubwa kabsa

Ata ukiwa kweny soko la Kariakoo asilimia kubwa ya watu wanaokuja kufanya shopping ni wanawake karibia aslimia.75 ya wanawake wanakuja kufanya shopping za vitu mbalimbali kama vile,nguo,viatu,mikoba,n.k Kariako Maduka yenye movement nyingi za wateja ni maduka yanayojiusisha na uazaji wa bidhaa za kike.

Nenda mtaa wa congo,nenda mtaa wa maduka ya vipodozi,nenda mtaa wa maduka ya magauni,nenda mtaa wanaouza mikoba kote huk utakana na makund ya wanawake wakitafuta bidhaa mbalimbali.

Msingi mkuu wa madaa yangu Leo ilikua nikuizungumzia biashara ya nguo za wanawake Kwa makundi yafuatayo moja biashara ya magauni ya magauni ya kina mama,biashara ya magauni ya kina dada,tatu biashara ya jeans za kike.ukifanya uchunguzi kwa kutazama Kwa macho hasa Kwa wanawake waishio sehem.za mijini kama vile Jiji la Arusha, Dodoma, Dar, wenye umri kati ya miaka 18- 35 asilimia kubwa ya wanawake wa kundi hili wanapenda kuvaa suruali hasa jeans .pia kwenye hili kundi pia wapo.wanaopendelea kuvaa magauni hasa ya kubana

Kundi la pili ni umri kati ya miaka 35- 65 kundi hili Huwa tunapenda kuita kundi la kinamama wanawake wa kundi hili almost asilimia 88 wengi wao wanapendelea kuvaa magauni hasa magauni ya heshima japo wapo baadhi wanavaa jeans ila ni wachache sana kundi hili weng wao magauni ndio fashion Yao pendwa kweny kund hili ndio Kuna idadi kubwa ya wanawake wanaoweza kununua gauni hata la.50 bila kupepesa macho .

Pia Kwa upande wa magauni ya wanawake Kuna aina nyingi sana za magauni moja Kuna magauni ni special Kwa ajili ya sherehe,mfano harusi mbili Kuna magauni ni special Kwa ajili ya wanawake wanaopenda kujistil mfano magauni marefu,tatu Kuna magauni Kwa ajili ya mitoko ya kawaida,magauni Kwa ajili ya maofisini,magauni Kwa ajili ya ibada mfano kanisani,msikitin,magauni ya wanawake wanaopenda kuvaa nguo za kubana n.k

Pia kwenye magauni kuna aina mbalimbali za xaiz kutokana na namna gauni ilivyotengekenezwa na mwili wa mtu anayeenda kuvaa gauni Hilo mfano wa xaiz zilizopo kweny magauni M,L,XL,XXL,XXXL,XXXL,XXXXXL n.k huk M,L,XL,Mara nyingi xaiz hiz huvaliwa na wanawake wenye Mili midogo na wastani
xaiz XXL,XXXL,XXXL n.k huvaliwa na wanawake wanene wa wastani na wanane kabisa

Kwa upande wa jeans za kike zipo jeans za aina mbalimbali mfano skin jeans, boyfriend jeans n.k pia jeans zipo na xaiz za aina mbalimbali mfano xaiz 26,28,30,32 n.k
NB hili sio Tangazo la biashara ni wazo la biashara kama ilivyo mawazo mengine

Kwa ufupi ukiwekeza hela kweny bidhaa zinazomgusa mwanamke unauwezo wa kupata soko.kwa haraka

IMG-20220613-WA0015.jpg
 
Kwenye mitindo na fashion hasa kweny sekta ya mavazi sehem ambayo ina soko la bidhaa za mitindo ni mavazi hasa Kwa upande wa mavazi ya wanawake .kiasili wanaume tupo radhi hat kuw na jeans moj au mbili Kwa mwak.mzma na tusione shida. ila Kwa upande wa wanawake mambo ni tofauti kidogo .huwez tenganisha fashion,mitindo na wanawake .kiasili
Huyo kwenye picha nae yupo sokoni?
 
Back
Top Bottom