Kwanini haileti shida wanawake wazungu kuvaa nguo fupi mtaani bongo tofauti na wanawake weusi wabongo

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,260
Kwanini wanawake wa kizungu wanaweza kuvaa vikaptula au nguo fupi sana zinazoacha sehemu kubwa ya maungo yao wazi na wakatembea mitaa kama ya Kariakoo bila shida yoyote au kusumbuliwa na Wanaume wa kibongo tofauti na Wanawake weusi wa kibongo ambao wakivaa hivyo wanapata kila aina ya usumbufu kutoka kwa Wabongo wenzao weusi.

Yani Mwanamke wa kizungu anaweza kupita hata amavaa boxer Kariakoo na hakuna atakayempigia miluzi, kelele, kumsonga au kumvuta tofauti kabisa na mwanamke wa kibongo ambaye akipita hivyo lazima mtaa mzima uvurugike kama wehu, wendawazimu au watu wenye mapepo na clips za huyo mwanamke zitapandishwa mitandaoni kujadiliwa!
 
Kwa nini wanawake wa kizungu wanaweza kuvaa vikaptula au nguo fupi sana zinazoacha sehemu kubwa ya maungo yao wazi na wakatembea mitaa kama ya Kariakoo bila shida yoyote au kusumbuliwa na wanaume wa kibongo tofauti na wanawake weusi wa kibongo ambao wakivaa hivyo wanapata kila aina ya usumbufu kutoka kwa Wabongo wenzao weusi.

Yani Mwanamke wa kizungu anaweza kupita hata amavaa boxer Kariakoo na hakuna atakayempigia miluzi, kelele, kumsonga au kumvuta tofauti kabisa na mwanamke wa kibongo ambaye akipita hivyo lazima mtaa mzima uvurugike kama wehu, wendawazimu au watu wenye mapepo na clips za huyo mwanamke zitapandishwa mitandaoni kujadiliwa!
Kwanini siyo tatizo Mzungu kuwa shoga ila Muafrika kuwa shoga ni tatizo kwa Wabongo?

Ndivyo unavyotaka?

Tatizo siyo rangi,jiulize huo ni utamaduni wetu?
 
Wazungu wengi hawana matako makubwa mazuri au umbo la kubana bukta au chupi au mahips kama waafrika, hivyo hata akivaa unamuona kama mwanaume tu, ila wako wazungu wachache sana wamejaliwa makalio au matako makubwa mashallaah mashallaah, hao hawawezi vaa vibukta hadharani, waafrika wana shape wengi are very attractive..!!

Suala la pili ni mila, kwa mila za kizungu ni kawaida kuvaa hivyo, ila mila zetu hasa Tanzania ni aibu sana mwanamke kuvaa bukta mtaani anatembea, ataonekana mhuni au yuko uchi..!!
 
Wazungu wengi hawana matako makubwa mazuri au umbo la kubana bukta au chupi au mahips kama waafrika, hivyo hata akivaa unamuona kama mwanaume tu, ila wako wazungu wachache sana wamejaliwa makalio au matako makubwa mashallaah mashallaah, hao hawewezi vaa vibukta hadharani, waafrika wana shape wengi are very attractive..!!

Suala la pili ni mila, kwa mila za kizungu ni kawaida kuvaa hivyo, ila mila zetu hasa Tanzania ni aibu sana mwanamke kuvaa bukta mtaani anatembea, ataonekana mhuni au yuko uchi..!!
Wanawake wengine wa nchi za Africa Mashariki wana matako/hips kubwa na wanavaa nguo fupi sana wakitembea katika mitaa yao ila wanaume wa hizi nchi huwa hawachanganyikiwi, kuwehuka, kupiga kelele na miluzi !
 
Wazungu kutembea uchi ni utamaduni wao,so vijana hawataki kuona Dada zao waige tamaduni za kishenzi,ndio wanawaweka sawa ili waone kua hayo mavazi hayakubaliki,

Hao wadada ndio walezi wa familia na maadili huanzia ndani ya familia,familia zenye maadili mazuri hujenga taifa bora,mzungu ni mtu wa kupita tu hana impact kwa jamii inayoishi kwenye eneo hilo japo uvaaji wao unaweza kuathiri watu kuwaiga.
 
Mbona mataifa mengine yote jirani zetu yaliyojaa watu weusi wanawake wao weusi wanavaa nguo fupi sana na wanatembea nazo mitaani bila kelele au tafrani yoyote?
Huko imeshakuwa 100% halali. Huku bado kuna % za uharamu ingawa na Sisi ndiko tunakoelekea. Hakutakuwa na bughudha yoyote!. Kumbuka wakati vimini vinaingia ilikuwa tafrani lakini sasa hivi walaaa. Kizazi cha nyoka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom