Kwa binti wa 34 sina wasiwasi maana anajitambua. Ila sometimes shit happen, anaweza kukutana na lishenzi likamuonja ikawa amepoteza thamani yake na likamkimbia. Hivyo tahadhari muhimu. Imagine umejitunza kwa miaka yote hiyo unakutana na tapeli anakuvurugia.Yes, muwe mnaweka namba zao, huenda wakakutana na wenza wao humu.