wanawake bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wanawake bikra bado wapo!

    Wanawake na wasicha walio tolewa bikra zao chini ya miaka 20 huwa wanajitetea hakuna mwanamke bikra mwenye umri zaidi ya miaka 15. Sasa , wasichana na wanawake wanaojitunza, jiheshimu na kumjua Mungu wapo, ndio hawa unawaona kwenye ndoa!
  2. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Hivi hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa lazima au kwa hiari yangu mwenyewe? Kama ni kwa hiari Itakuwaaje nikiwakataa?

    Hivi muda huo utakapowadia hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa utashi wangu au kwa lazima? Kama ni kwa utashi wangu ikitokea mimi sihitaji bikra yoyote au nahitaji mmoja tu miongoni mwa hao 72 niliokabidhiwa, hao wengine watakaobaki watakabidhiwa kwa nani kwa kuzingatia kuwa tayari kila...
  3. Okrap

    JamiiForums Tanzania Nijibuni mnaowatumia wanawake wengine halafu mnatafuta wanawake bikra wa kuoa mtawatoa wapi?

    Baadhi ya wanaume ni wajinga sana Wanaume hao hudhani kuwa wanahitaji wanawake tu kwa ajili ya ngono ila hawataki kuoa mwanamke asiye bikira. Kwa kawaida hupewa ngono kwa ukarimu kutoka kwa wanawake wasio na waume lakini pia wapo wale walioolewa kama kina mama Kijacho. Kando na hao, kuna...
Back
Top Bottom