Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,590
- 3,125
ndy zinapatikana ukija tutembeleepoHahahhhhh!!! nipe location mkuu... au huko mtaa wa afya wanapatikana?
ndy zinapatikana ukija tutembeleepoHahahhhhh!!! nipe location mkuu... au huko mtaa wa afya wanapatikana?
Hongera sana, you speak from expirience.Mimi nimebahatika kumkuta nayo, labda kwakuwa nilioa zamani
Ila kwa trend ya mabinti wengi wa sasa, sio rahisi kuwakuta ni bikra
Tena ajabu katika umri mdogo kutolewa
Hiyo podcast sijaona, maana hujaambatisha na andiko lako
Sawa basi hampo seriousSio kweli