Wanawake badilikeni, mtaisha

Wanawake badilikeni, mtaisha

Kwanza ukirudi nyumbani chakula chake huli ,,moja kwa moja chumbani kuchukua shuka lako na mto wa kulala huyo unahama chumba.kesho asubuhi ukiamka salamu kama kawaida pesa ya matumizi kama kawaida unaondoka zako kazini.akipiga simu ukiwa kazini hakuna kupokea...ukitoka kazini pita sehemu kapate dinner safi(usilewe siku hiyo) ukirudi nyumbani salamu kama kawaida hakuna kula chakula chake(inauma hii)pitiliza ndani kachukue vifaa vyako vya kulalia,Hama chumba fulustop.fanya hivi ndani ya wiki moja tu niletee m
Adhabu ya kisaikolojia
 
Shida ni kwamba wanawake kwa asili wana midomo (waongeaji, wapayukaji, waropokaji) japo wanatofautiana viwango. Kwahiyo uwezekano wa kumziba kabisa mwanamke asiongee ni 0%, ataongea tu, atakuudhi.

Kumpiga siamini kama ni suluhisho. Wakati fulani unaweza kumuonueshea kama mkwala mzito mkamate vilivyo mbananishe kisawasawa kwa muda kadhaa hadi aogope kwa kupata hisia ya nguvu uliyonayo.

Lakini wanaume huwa muda mwingine tunakosea sana kwa wake zetu hasa katika kipengele cha kumpelekea moto walau kwa mwezi mara moja unampa mikito ambayo kila akikaa anajikuta hana sauti mbele yako kama mumewe, na hii ni moja ya njia nzuri sana ya kumfanya mwanamke akuheshimu daima
Tatizo jingine kwa wanawake almost wote, ni kutoa adhabu kibao kwa kosa moja...
1. Utanyimwa kunyandua
2. Kama ni wa kukuwekea maji ya kuoga ataacha
3. Haongei na wewe
4. Hafui
5. Maneno ya kunya
6. Hataandaa chakula

etc

YAANI KOSA MOJA ADHABU ZA KUTOSHA.

Na wengi hutumia papuchi kama silaha
 
Mimi nilifundishwa kuwa ukiona maneno yamezidi ondoka, nenda hata kwa rafiki yako ili urudi baadae na kama habadiliki ita wazazi wake wapatie mtoto wao ili kukwepa kesi za aina hii. Muda mwingine ukijifanya mjinga unaokoa mengi sana, tuwe na nidhamu na tuelewe namna ya kudhibiti hasira. Hasira hasara
 
Hakuna kitu kinamfanya mwanamke awe na adabu kama kumpa mikito ile kisawasawa hadi yeye mwenyewe anakiri kabisa kwamba kwa mikito hii kweli baba nanihii hapa nimeolewa hakiyanani maana unampelekea moto anamwaga maji hadi anafurahi na nafsi yake
Kwakweli jitahidini kuupeleka huo moto vizuri maana
 
Hakuna kitu kinamfanya mwanamke awe na adabu kama kumpa mikito ile kisawasawa hadi yeye mwenyewe anakiri kabisa kwamba kwa mikito hii kweli baba nanihii hapa nimeolewa hakiyanani maana unampelekea moto anamwaga maji hadi anafurahi na nafsi yake
Nahuu ndio ukweli.. Mpelekee moto mwanamke, peleka moto, akuheshimu, akikuheshim hawez kukuleta nyokonyoko !!


Kipigo kinachobadili tabia ya mwanamke ni kumpelekea moto.


Vipigo vingine vinamfanya awe sugu wa tabia.... ( hisia zerooo).
 
Wanawake wana jeuri na dharau sana ..wana maneno ya shombo hata shetan anasubiri sanaa...kuna jamaa hapa pot kamtwanga mkewe hadi kadead juz hapa dar... Mwanamke jeuri sana ..pot wa watu kaamua kumtia makonde hadi kampeleka jehanum....wanawake BADILIKENI kama hamtaki ndoa semeni sio kuleta jeuri na madharau.

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ngoja na ye akafie jela ndo mtajua suluhu sio kupiga na kuua
 
Kwa wanawake, mwanaume akihama, siku atakayorudi moto ule ule

Bado tunajadiri outcome badala ya source
Unataka tujadili source ipi mkuu? kwamba tukuambie kupiga ni sahihi?

Kimsingi mtu mwenye maneno ya kukera na kelele nyingi ni mjeuri na mtu anayepiga ni mjeuri zaidi maana anamuonesha mwenzie kuwa nina silaha kali zaidi yako. Maneno vs kipigo. Hawa wote si watu sahihi wa kuwa nao kwenye mahusiano.

Busara haipimwi kwa kutokukutana na maudhi, inapimwa kwa reaction unayoonesha baada ya kuudhiwa.

Tukiendeleza umwamba makaburi yatajaa na magereza yatajaa .
 
Kwanza ukirudi nyumbani chakula chake huli ,,moja kwa moja chumbani kuchukua shuka lako na mto wa kulala huyo unahama chumba.kesho asubuhi ukiamka salamu kama kawaida pesa ya matumizi kama kawaida unaondoka zako kazini.akipiga simu ukiwa kazini hakuna kupokea...ukitoka kazini pita sehemu kapate dinner safi(usilewe siku hiyo) ukirudi nyumbani salamu kama kawaida hakuna kula chakula chake(inauma hii)pitiliza ndani kachukue vifaa vyako vya kulalia,Hama chumba fulustop.fanya hivi ndani ya wiki moja tu niletee majibu tafadhali
Hata akiwa jeuri kiasi gani ukimpa adhabu hii ataamua jambo moja kati ya haya mawili: Mosi; Kujiachisha mwenyewe, akiondoka inakuwa ninadvantage kwako, mbili; atatafuta wasulihishi mkae myamalize, adhabu za hivi zinatesa kuliko watu wanavyofikiri, ushauri mzuri, Kudos.

Hakuna kitu kibaya kama kumpigia kelele mtu ambaye amekunyamazia, utapiga kelele mwisho utakaa kimya mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom