Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,748
- 91,814
Na mwanamke kaacha mtoto mdogooo
Et ndugu wa pot wanajifariji kua , Atatolewa tu maana wana mtoto mdogoooo
Wewe?????
Et ndugu wa pot wanajifariji kua , Atatolewa tu maana wana mtoto mdogoooo
Wewe?????


hicho ndiyo kigezo cha mwanamke kwa mujibu wa maelezo ya ke wenzie alivyowahadithia anadai ana uhakika hawezi pata mwanaume wa kumfanya akapagawa kama anavyomganyaga mumewe wa sasa. Ni ndoa yake ya pili hii japo bado umri wa ujana na ako na watoto wawili