ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,365
- 118,746
Ukiwekwa tight angle huwezi kufanya chochote, mwanaume akipatwa na hasira za kinyama huwezi kufurukuta.Unapigwa hadi unakufa umeshindwa hata kuchukua chupa ya karibu umpasue nalo!
Ukiwekwa tight angle huwezi kufanya chochote, mwanaume akipatwa na hasira za kinyama huwezi kufurukuta.Unapigwa hadi unakufa umeshindwa hata kuchukua chupa ya karibu umpasue nalo!
Mmmmmh babe!!!Canadian, hill, Kilimanjaro, etc! Wewe ulidhani maji gani nakunywa?
Shida ni kwamba wanawake kwa asili wana midomo (waongeaji, wapayukaji, waropokaji) japo wanatofautiana viwango. Kwahiyo uwezekano wa kumziba kabisa mwanamke asiongee ni 0%, ataongea tu, atakuudhi.Kwa wanawake, mwanaume akihama, siku atakayorudi moto ule ule
Bado tunajadiri outcome badala ya source
Maisha yana vingi vya kukupa furaha.I always walk away for a while, naenda bugia maji ya kutosha...nikirudi nalala!
Ukianza kurusha makonde unajitafutia jela wakati maisha matam kama nini yani.
Teh teh! Maisha yana mengi ya kufurahia, hata kumtafuta Makiwendo tupate yale maji yetu ya uzima na kupiga stories na kucheka basi inatosha kabisa.Maisha yana vingi vya kukupa furaha.
Hayo maji ya kutosha ni yake makitu?
Espy kuna vipigo vingine huwezi hata kurusha mkono wako japo ujitetee. Juma lililopita kuna kijana mmoja jirani yetu hapa alitandika mkewe usiku wa manane nusu ya kuua, baada ya kufanikiwa kuuvunja mlango tulifanikiwa kumuokoa mwanamke, kijana alikuwa anavuja damu katika paji lake la uso alipigwa chupa ya bia na mkewe ndio ilipelekea kujaa sumu mwilini na kuamua kumpa kipigo cha kufa mtu, unapigwa ukiwa uchi wa mnyama huna hata chupppi mwilini hadi unenda kulazwaUnapigwa hadi unakufa umeshindwa hata kuchukua chupa ya karibu umpasue nalo!
Teh teh! Maisha yana mengi ya kufurahia, hata kumtafuta Makiwendo tupate yale maji yetu ya uzima na kupiga stories na kucheka basi inatosha kabisa.




Nakazia.Na hilo ndilo tatizo kwa wengi.mwanaume wa kunipiga hapana kwakweliKabisa haya anaenda kaburini wewe unaenda jela tatizo watu hawaamini katika kupeana space kosa huanzia hapo, mkishindwana achaneni kwa amani kabisa kikubwa kucontrol hasira basi
Kwanza ukirudi nyumbani chakula chake huli ,,moja kwa moja chumbani kuchukua shuka lako na mto wa kulala huyo unahama chumba.kesho asubuhi ukiamka salamu kama kawaida pesa ya matumizi kama kawaida unaondoka zako kazini.akipiga simu ukiwa kazini hakuna kupokea...ukitoka kazini pita sehemu kapate dinner safi(usilewe siku hiyo) ukirudi nyumbani salamu kama kawaida hakuna kula chakula chake(inauma hii)pitiliza ndani kachukue vifaa vyako vya kulalia,Hama chumba fulustop.fanya hivi ndani ya wiki moja tu niletee majibu tafadhaliNa kwa jinsi walivyo, ukirudi utakutana na maneno ya shombo kisa umelewa..!!! Maneno ya shombo huku umelewa ni rahisi sana kumfyatua mtu mtama
Ungemvunja japo meno kidogo mkuuNishawahi ishi na mke jeur sana ila mrembo baraa, akishindwa kukuelewa jambo dogo tu matusi yake na maneno atakayosema inakichukua siku nyingi sana kuyasahau. Akianza baba mkwe wake, mama mkwe wake, wifi zake nk lazima watukanwe ( ila sio kwamba wapo hapo mlipo) na we mme utatukanwa sana. Ila sikuwa na tabia ya kurushiana maneno, akianza basi mi nanyamaza, ila nilikuja kuona kunyamaza kwangu huenda aliamini au namwogopa, au anachosema au kunituhum ni kweli kwa kuwa nabaki kimya.
It needs deep calmness, in a long run nikamwambia siwezi kuendelea kuishi na yeye, aliona natania na haitawezekana, alianza tena ku struggle nisifanye hayo maamzi, I was fed up already tuli separate. Hakika huwa nawaza ningekuwa nina react, hadi sasa ningekuwa na kifungo cha maisha. Kupiga hapana, usimpige mke, ila wanawake wapo jeur, wangu alikuwa jeur sana ila maisha aliyo nayo kwa sasa mpaka anajuta kuharibu ndoa yake.
Huyo mke wa ndoa hajakonda bado!Point mm mkewang ana jeuri sana nilichofanya nimetafuta mwanamke mwengine halafu yeye najifanya hata cna habari nae maisha yanaenda
Kuna namna ya kufanya nimeelezea hapo juu..ukimfanyia hivyo na bado akaendeleza mdomo basi ujue umeoa mnywa bangiKwa wanawake, mwanaume akihama, siku atakayorudi moto ule ule
Bado tunajadiri outcome badala ya source
Jesus!! Sasa maisha gani hayoEspy kuna vipigo vingine huwezi hata kurusha mkono wako japo ujitetee. Juma lililopita kuna kijana mmoja jirani yetu hapa alitandika mkewe usiku wa manane nusu ya kuua, baada ya kufanikiwa kuuvunja mlango tulifanikiwa kumuokoa mwanamke, kijana alikuwa anavuja damu katika paji lake la uso alipigwa chupa ya bia na mkewe ndio ilipelekea kujaa sumu mwilini na kuamua kumpa kipigo cha kufa mtu, unapigwa ukiwa uchi wa mnyama huna hata chupppi mwilini hadi unenda kulazwa



Niwakute!Nakazia.
Hapo kwenye moto hapo 📌📌📌📌📌📌Shida ni kwamba wanawake kwa asili wana midomo (waongeaji, wapayukaji, waropokaji) japo wanatofautiana viwango. Kwahiyo uwezekano wa kumziba kabisa mwanamke asiongee ni 0%, ataongea tu, atakuudhi.
Kumpiga siamini kama ni suluhisho. Wakati fulani unaweza kumuonueshea kama mkwala mzito mkamate vilivyo mbananishe kisawasawa kwa muda kadhaa hadi aogope kwa kupata hisia ya nguvu uliyonayo.
Lakini wanaume huwa muda mwingine tunakosea sana kwa wake zetu hasa katika kipengele cha kumpelekea moto walau kwa mwezi mara moja unampa mikito ambayo kila akikaa anajikuta hana sauti mbele yako kama mumewe, na hii ni moja ya njia nzuri sana ya kumfanya mwanamke akuheshimu daima
Mwanaume mchepukaji pia sio rahisi kumheshimu.Shida ni kwamba wanawake kwa asili wana midomo (waongeaji, wapayukaji, waropokaji) japo wanatofautiana viwango. Kwahiyo uwezekano wa kumziba kabisa mwanamke asiongee ni 0%, ataongea tu, atakuudhi.
Kumpiga siamini kama ni suluhisho. Wakati fulani unaweza kumuonueshea kama mkwala mzito mkamate vilivyo mbananishe kisawasawa kwa muda kadhaa hadi aogope kwa kupata hisia ya nguvu uliyonayo.
Lakini wanaume huwa muda mwingine tunakosea sana kwa wake zetu hasa katika kipengele cha kumpelekea moto walau kwa mwezi mara moja unampa mikito ambayo kila akikaa anajikuta hana sauti mbele yako kama mumewe, na hii ni moja ya njia nzuri sana ya kumfanya mwanamke akuheshimu daima
Ngosha mbona umefurahi jamani?