Wanawake badilikeni, mtaisha

Wanawake badilikeni, mtaisha

Usenge tu.!!!

Kulazimisha vitu hayo ndio madhara yake,, kama unaona vibe haliendi si unapiga chini tu... Maisha yenyewe matamu haya yafaa nini kulazimisha vitu..

Mapenzi uFalla sana sometimes.
Pengine shida inakuwa mna watoto hapo ndio shida mana kutengana wakat mna watoto ni ngumu hapo ndo unganganizi unapoanzia

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kujitafutia kesi ya mauaji bure..kama mke alikuwa mjeuri alishindwa kutumia emotional tocha kumshikisha adabu au kumfungisha kidomodomo!!

Umeona madhara yake sasa.
Nishawahi ishi na mke jeur sana ila mrembo baraa, akishindwa kukuelewa jambo dogo tu matusi yake na maneno atakayosema inakichukua siku nyingi sana kuyasahau. Akianza baba mkwe wake, mama mkwe wake, wifi zake nk lazima watukanwe ( ila sio kwamba wapo hapo mlipo) na we mme utatukanwa sana. Ila sikuwa na tabia ya kurushiana maneno, akianza basi mi nanyamaza, ila nilikuja kuona kunyamaza kwangu huenda aliamini au namwogopa, au anachosema au kunituhum ni kweli kwa kuwa nabaki kimya.

It needs deep calmness, in a long run nikamwambia siwezi kuendelea kuishi na yeye, aliona natania na haitawezekana, alianza tena ku struggle nisifanye hayo maamzi, I was fed up already tuli separate. Hakika huwa nawaza ningekuwa nina react, hadi sasa ningekuwa na kifungo cha maisha. Kupiga hapana, usimpige mke, ila wanawake wapo jeur, wangu alikuwa jeur sana ila maisha aliyo nayo kwa sasa mpaka anajuta kuharibu ndoa yake.
 
Wanawake wana jeuri na dharau sana ..wana maneno ya shombo hata shetan anasubiri sanaa...kuna jamaa hapa pot kamtwanga mkewe hadi kadead juz hapa dar... Mwanamke jeuri sana ..pot wa watu kaamua kumtia makonde hadi kampeleka jehanum....wanawake BADILIKENI kama hamtaki ndoa semeni sio kuleta jeuri na madharau.

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kampeleka jehanum?
 
I always walk away for a while, naenda bugia maji ya kutosha...nikirudi nalala!

Ukianza kurusha makonde unajitafutia jela wakati maisha matam kama nini yani.
Safi sana hawa viumbe ukibishana nao unaweza kufikia hatua mbaya bora umuache uende sehemu ukapunguze stress ukirudi hata uongei nae unaingia kitandani tu
 
Kumposa mwanamke ni sawa na kununua gari..

Utaiendesha gari mwanzoni kwa furaha sana utaenjoy bila tatizo lolote..

Itafika mda gari itaanza kuleta matatizo. Hapo lazma uanze kupasuka kichwa..

Kama haina matatizo makubwa ikienda gerej lazima ipone..

Kama ina matatizo makubwa itasababisha na wewe uwe na matatizo kwasababu itakupasua sana kichwa..

Unaweza ukachukua uamuzi wa kuiuza gari na kununua gari mpya..

Au kama gari unaipenda sana unaweza kuivumilia ukaitafutia kila namna ilimradi ipone uendelee kuenjoy..

ila katika utatuzi wa matatizo ya gari, sijawahi kuona wala kuskia dereva aliefanya maamuzi ya kwenda kuigonga gari kwenye ukuta au kutumbukia nayo majini ili kuiteketeza gari yake yenye matatizo lukuki, kwa sababu anajua uteketezaji wa gari yake huku anaiendesha unaweza kusababisha na yeye akateketea.

Wanaume tukiishi na wanawake kwa kutumia akili ya mmiliki wa gari, mauaji yatapungua.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Nia huwa si kuuwa, bali kurekebisha.. Lakini kwa maneno ya kashfa ya wanawake walio wengi, hupelekea mauwaji yasiyokusudiwa kutokea
Hivi mtu akikukera unashindwa hata kuhama nyumba (achilia mbali kunywa maji)kwa muda wa siku kadhaa bila kutoa taarifa ukaenda kupumzisha akili huko kuliko kufanya mauaji yasiyo na sababu??
 
Kumpiga mtu mzima haijawahi na haitatokea ikawa njia bora ya kusuluhisha ugomvi baina ya wanandoa.

Lakini kwa mwanaume timamu hawezi kumpiga mwanamke kwasababu kimaumbile mwanamke ni dhaifu sana ukilinganisha na mwanaume, mwanamke hana pumzi za kuhimili mikiki mikiki, hana misuli iliyoshiba kama mwanaume.

Haya umempiga mkeo ukamuua halafu unapata faida gani zaidi ya kujutia maisha yako yote hadi unaingia kaburini?

Kimsingi kama mmegombana na mkeo kiasi cha kuwa na hasira ya kumpa kipigo hadi kupelekea kumuua nafikiri njia bora ni kutengana naye tu kila mmoja ashike njia yake, badala ya kutengana naye kwa njia ya kumuua.

Hasira za kumpiga mtu hadi kumuua huwa ni PEPO la kuua analokuwa nalo binadamu. Huyo pot asipofanya jitihada za kuondosha hilo PEPO anaweza akaua mtu mwingine kwa kisingizio Cha hasira.

Hasira hasara
 
Nishawahi ishi na mke jeur sana ila mrembo baraa, akishindwa kukuelewa jambo dogo tu matusi yake na maneno atakayosema inakichukua siku nyingi sana kuyasahau. Akianza baba mkwe wake, mama mkwe wake, wifi zake nk lazima watukanwe ( ila sio kwamba wapo hapo mlipo) na we mme utatukanwa sana. Ila sikuwa na tabia ya kurushiana maneno, akianza basi mi nanyamaza, ila nilikuja kuona kunyamaza kwangu huenda aliamini au namwogopa, au anachosema au kunituhum ni kweli kwa kuwa nabaki kimya.

It needs deep calmness, in a long run nikamwambia siwezi kuendelea kuishi na yeye, aliona natania na haitawezekana, alianza tena ku struggle nisifanye hayo maamzi, I was fed up already tuli separate. Hakika huwa nawaza ningekuwa nina react, hadi sasa ningekuwa na kifungo cha maisha. Kupiga hapana, usimpige mke, ila wanawake wapo jeur, wangu alikuwa jeur sana ila maisha aliyo nayo kwa sasa mpaka anajuta kuharibu ndoa yake.
Nakupa hongera mkuu, hivi ndivyo tunapaswa kuishi na wake zetu, muache aongee, ukikereka toka sehemu punguza mawazo then rudi nyumbani, usiongee kitu, lala hadi kesho uanze upya siku yako. Otherwise kama hivyo umekutana na chiriku utaishia jela!
 
Point mm mkewang ana jeuri sana nilichofanya nimetafuta mwanamke mwengine halafu yeye najifanya hata cna habari nae maisha yanaenda
Bora njia hii kuliko kumpiga hadi kumuua. Hapo lazima anajiuliza maswali juu yako bila majibu na njia hii huwa inamtafuna mtu ndani kwa ndani wakati mwingine asijue nini cha kufanya
 
Hivi mtu akikukera unashindwa hata kuhama nyumba (achilia mbali kunywa maji)kwa muda wa siku kadhaa bila kutoa taarifa ukaenda kupumzisha akili huko kuliko kufanya mauaji yasiyo na sababu??
Kwa wanawake, mwanaume akihama, siku atakayorudi moto ule ule
Kumpiga mtu mzima haijawahi na haitatokea ikawa njia bora ya kusuluhisha ugomvi baina ya wanandoa.

Lakini kwa mwanaume timamu hawezi kumpiga mwanamke kwasababu kimaumbile mwanamke ni dhaifu sana ukilinganisha na mwanaume, mwanamke hana pumzi za kuhimili mikiki mikiki, hana misuli iliyoshiba kama mwanaume.

Haya umempiga mkeo ukamuua halafu unapata faida gani zaidi ya kujutia maisha yako yote hadi unaingia kaburini?

Kimsingi kama mmegombana na mkeo kiasi cha kuwa na hasira ya kumpa kipigo hadi kupelekea kumuua nafikiri njia bora ni kutengana naye tu kila mmoja ashike njia yake, badala ya kutengana naye kwa njia ya kumuua.

Hasira za kumpiga mtu hadi kumuua huwa ni PEPO la kuua analokuwa nalo binadamu. Huyo pot asipofanya jitihada za kuondosha hilo PEPO anaweza akaua mtu mwingine kwa kisingizio Cha hasira.

Hasira hasara
Bado tunajadiri outcome badala ya source
 
Nakupa hongera mkuu, hivi ndivyo tunapaswa kuishi na wake zetu, muache aongee, ukikereka toka sehemu punguza mawazo then rudi nyumbani, usiongee kitu, lala hadi kesho uanze upya siku yako. Otherwise kama hivyo umekutana na chiriku utaishia jela!
Kwenye kesi ya talaka, hakimu alikuwa mwanamke, mpaka alinipongeza mahakamani na mrs akiwa anaskia kwa masikio yake, mahakama ilivunja ndoaile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom