zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 544
- Thread starter
- #81
Kupanga[HASHTAG]#Nyumba[/HASHTAG] za kupamba tena
Kupanga[HASHTAG]#Nyumba[/HASHTAG] za kupamba tena
Unaogopa nini kuanika nje?Uliambiwa huko tunakoanika hazikauki.......?.....
Btw.....umenikumbusha sayansi kimu......nakumbuka pin cushion yangu kwenye needle work ilikuwa inafanana na hirizi.......dah.....
Upo sawa kiasi, ila chupi nyingine si material ya pamba. Huwezi kupiga pasiZegamba180, njia bora zaidi ya kuua wadudu kwenye nguo ni kupiga pasi, mi nadhani ungewashauri wawe wanapiga pasi lakini suala la mwanamke kuanika nje nguo yake ya ndani sio sawa!
Ahaaaa ibra87unanikumbusha enzi nikisoma Magamba boys pale lushoto.. Yaani siku mwalimu wa kike akianika pichu yake nje kila wakati utatukuta tuko bafuni Huku Nyeto ikichukua nafasi yake maana kwa baridi ya lushoto na mikwala ya watoto wa watu tukaona punyeto ndio mkombozi wetu
Ahaaaa aaa zinatoboka nje marufuku??Ntaanikaje nje wakati zimetoboka katikati[emoji85]
Ooh yeahAhaaaa aaa zinatoboka nje marufuku??
Hili suala linaathiriwa tu na hizi nyumba za kupamba lakini kiuhalisia n guo za ndani zinatakiwa kuanikwa juani Vinginevyo fungus watatafanya geto hapo Ikulu
Huo ndio ukweli,ukianika juani yaani hata ukivaa unajisikia burudani,ukavu ulio bora na usalama wa hali ya juu.Kuhusu kujisugua kutumia chupi mimi hata sijui hii sayansi watu wanaitoa wapi...Yaani hiyo kitu iliyokuwa imefunika huko haja kubwa na ndogo zote wewe ndo unapigia mswaki!!Kiuhalisia mimi nikiianika ndani ina maana sitaweza kuivaa maana huwa nahisi sio salama kwangu! na huwa namshangaa mtu anaefua chupi yake pindi anapooga na mwingine huitumia kabisa kujisugulia khaaa sio usafi huo....
Ha ha ha haBorA tu waanike, tu ndani,, maana zingine zilivojifubalia,, nakuchoka,, kama dekio vile,,,,
aisee ukifua na maji moto si zitalegea mkuuwakianika bafuni vp, si zinakauka vizuri? maana wengi wanaanika bafuni, vijidudu huuwawa kwa koloweka na maji moto labda
ila nikiisoma mada kwa jicho lingine naona lengo lako ni kuwa expose wadada zetu ili
waumbuke
Nawashangaa wanawake wa dizaini hii kama bado wapo,.madodoki yote yalojaa sokoni ukajisugulie chupi jamanii kwelii!??waondoa uchafu au ndio wajipakaa nongo mwilini kah!!!Huo ndio ukweli,ukianika juani yaani hata ukivaa unajisikia burudani,ukavu ulio bora na usalama wa hali ya juu.Kuhusu kujisugua kutumia chupi mimi hata sijui hii sayansi watu wanaitoa wapi...Yaani hiyo kitu iliyokuwa imefunika huko haja kubwa na ndogo zote wewe ndo unapigia mswaki!!
Wanga wanapenya hadi ndani. Wakikuamulia uanike[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] usianike wanakuzinguaWanaogopa kufanyiwa vitu vibaya...
nineMm kuanika ndani hizi pichu nilishashindwa,.au malezi niliyokulia pia yamechangia,.labda niwe ugenini ndio nitàanika ndani vinginevyo jua linahusika kukausha
mkuu ule waraka wa Mtume Paulo aliotuma huko kwenu umeshausoma?Lengo lako uwe unakadiria papuchi za watu tu huna lolote we jamaa.
Mwanamke mwenye akili hukuti chupi yake nje hata siku moja.