Wanawake, anikeni nguo za ndani nje

Wanawake, anikeni nguo za ndani nje

Tuliosoma kabla ya elimu kuwa ya kisiasa kama ilivyo hivyo sasa tuliwahi kusoma masomo haya Sayansi kilimo na Sayansi kimu. Hasa hili somo la sayansi kimu lilitusaidia sana katika kujua kupika, kusafisha nyumba, kufua na kunyosha nguo na ujenzi bora wa nyumba nakadhalika.

Hoja yangu ni kwamba kwanini hawa ndugu zetu wa kike hawaaniki chu...pi zao nje juani? Tulifundishwa jua linaua vijidudu na kukausha nguo. Wanaume wanaanika nje juani

Wao wanaanika ndani kwenye kitanda, wengine uvunguni kabisa mwa kitandani/kochi.

Anikeni nje juani
"Unajua hawaaniki nje kwamana wengine wana watoto tena wakiume, sasa sio busara kijana wako kujua unavaa bikini au la"
 
hii nchi inamatatizo mengi mbona unatuletea maada za kijinga na wakati!
 
IMG-20150706-WA0029.jpg
 
Dah hawa madada zetu waone tu wamependeza kwa nje wengi vyupi vyao vimechanika sehemu ya msamba,kuanika nje ni kuwadharirisha
uongo ana enzi za nyerere ndo kulikuwa na ma vip na machupi ya hovyo sikuhiz za kichina zimejaa tela kisa gani uvae kofuli lililochanika no way
 
"Unajua hawaaniki nje kwamana wengine wana watoto tena wakiume, sasa sio busara kijana wako kujua unavaa bikini au la"
Tuseme wanawake wa aina hii hawajitambui au hawathamini utu wao, hawa wanaovaa nguo:
1) za kubana hadi kuonesha umbile la nguo ya ndani!
2) za kuonekana (transparent) kiasi cha kuonyesha rangi za nguo za ndani
3) zinazoacha nguo za ndani na vitu vingine kuonekana wazi!

WATAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA
 
Unafikiri ni kwanini zikaitwa nguo za ndani??
Hata kuanikwa zinatakiwa zianikwe ndani na sio nje, hiyo ni siri baina ya mvaaji na nguo yenyewe.
 
Back
Top Bottom