Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,037
duh we jombaa ni kiboko asee!
Huna?? Nadhani wee ndo mmojawapo wa wale "team full kipupwe"Sina......sasa naanika nini.......
Huna?? Nadhani wee ndo mmojawapo wa wale "team full kipupwe"
Umenifanya nimecheka balaaSina......sasa naanika nini.......
[emoji2] mkuu nimesoma ila sijamaliza, niko utangulizi.mkuu ule waraka wa Mtume Paulo aliotuma huko kwenu umeshausoma?
Sasa mkuu si huwa zimeishafuliwa huwa unapata unachokitafuta kweli??Mi huwa napenda kuzinusa pale katikati kwa mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa nguvu sana khaaaaaaa ilo popo je papuchi inanusa?Mi huwa napenda kuzinusa pale katikati kwa mbele
we ni mchafuHata chini ya godoro zinakauka bila shida
Na aliyekuroga kafaNikipita sehemu nikakuta chupi ya kike nyekundu imeanikwa, nitaranda randa hapo mpaka nimpate mwenye nayo
Nahisi nimerogwa.
mleta mada ana point tatizo kama wengi walivyosema ni mazingira tunayoishi,wizi,ushirkina na wengine wakiona tu nguo ya ndani ya mdada wanachanganyikiwakuanika nje inategemea na nyumba unayo ishi.. hizi nyumba za kupanga ni kutaka kutafutana uchawi tu
tatizo ndiyo hilomleta mada ana point tatizo kama wengi walivyosema ni mazingira tunayoishi,wizi,ushirkina na wengine wakiona tu nguo ya ndani ya mdada wanachanganyikiwa
Nilikuwa nasubiri nisikie ni wapi huko!Mi nimewahi kuona chupi zimeanikwa nje mara moja tu kwenye maisha yangu..Tena kwnye filamu ya Siri ya mtungi
Nguo za ndani zianikwe ndani na za nje zianikwe njeTuliosoma kabla ya elimu kuwa ya kisiasa kama ilivyo hivyo sasa tuliwahi kusoma masomo haya Sayansi kilimo na Sayansi kimu. Hasa hili somo la sayansi kimu lilitusaidia sana katika kujua kupika, kusafisha nyumba, kufua na kunyosha nguo na ujenzi bora wa nyumba nakadhalika.
Hoja yangu ni kwamba kwanini hawa ndugu zetu wa kike hawaaniki chu...pi zao nje juani? Tulifundishwa jua linaua vijidudu na kukausha nguo. Wanaume wanaanika nje juani
Wao wanaanika ndani kwenye kitanda, wengine uvunguni kabisa mwa kitandani/kochi.
Anikeni nje juani
Acha kushabikia mabinti kupata fangasLengo lako uwe unakadiria papuchi za watu tu huna lolote we jamaa.
Mwanamke mwenye akili hukuti chupi yake nje hata siku moja.