zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 544
Tuliosoma kabla ya elimu kuwa ya kisiasa kama ilivyo hivyo sasa tuliwahi kusoma masomo haya Sayansi kilimo na Sayansi kimu. Hasa hili somo la sayansi kimu lilitusaidia sana katika kujua kupika, kusafisha nyumba, kufua na kunyosha nguo na ujenzi bora wa nyumba nakadhalika.
Hoja yangu ni kwamba kwanini hawa ndugu zetu wa kike hawaaniki chu...pi zao nje juani? Tulifundishwa jua linaua vijidudu na kukausha nguo. Wanaume wanaanika nje juani
Wao wanaanika ndani kwenye kitanda, wengine uvunguni kabisa mwa kitandani/kochi.
Anikeni nje juani