Wanawake, anikeni nguo za ndani nje

Wanawake, anikeni nguo za ndani nje

Tuliosoma kabla ya elimu kuwa ya kisiasa kama ilivyo hivyo sasa tuliwahi kusoma masomo haya Sayansi kilimo na Sayansi kimu. Hasa hili somo la sayansi kimu lilitusaidia sana katika kujua kupika, kusafisha nyumba, kufua na kunyosha nguo na ujenzi bora wa nyumba nakadhalika.

Hoja yangu ni kwamba kwanini hawa ndugu zetu wa kike hawaaniki chu...pi zao nje juani? Tulifundishwa jua linaua vijidudu na kukausha nguo. Wanaume wanaanika nje juani

Wao wanaanika ndani kwenye kitanda, wengine uvunguni kabisa mwa kitandani/kochi.

Anikeni nje juani
Zegamba180, njia bora zaidi ya kuua wadudu kwenye nguo ni kupiga pasi, mi nadhani ungewashauri wawe wanapiga pasi lakini suala la mwanamke kuanika nje nguo yake ya ndani sio sawa!
 
Hili suala linaathiriwa tu na hizi nyumba za kupamba lakini kiuhalisia n guo za ndani zinatakiwa kuanikwa juani Vinginevyo fungus watatafanya geto hapo Ikulu
 
Hili suala linaathiriwa tu na hizi nyumba za kupamba lakini kiuhalisia n guo za ndani zinatakiwa kuanikwa juani Vinginevyo fungus watatafanya geto hapo Ikulu


[HASHTAG]#Nyumba[/HASHTAG] za kupamba tena
 
Nilibahatika kuoga bafuni kwa watu siku moja. Nyumba ina mabinti kadhaa, sasa nikazikuta bafuni zimeanikwa. Yaani unaona kabisa hii ya mama , hii ya dada naniu, hii... Sasa zikianikwa nje mmh.[emoji87]
 
Kawaida kama wife wangu huanika then anafunika na kanga nyepesi kwa hiyo vinakauka fresh!
Kwangu ni sheria kila Jmosi chupi zote ndani ya detol then zinaanikwa chumbani kwenye special case.
 
Mimi huwa nikizikuta nje lazima ninuse pale sehemu panapoziba papuchi huku nasinzia,bora waanike hukohuko ndani maana nikizikuta 10 nahisi ntalala hapo hapo.
 
Back
Top Bottom