Wanawake, anikeni nguo za ndani nje

Wanawake, anikeni nguo za ndani nje

zangu ni juani sijawahi anika uchagoni mwa kitanda tangu nimekuwa..... jumamosi nazifua na nguo nyingine brazia handkerchief zote nje
Yah very well,mi huwa naloweka kwa muda then nafua vizuuuri na kuanika zote juani, mara moja kwa wiki
 
Mbona ndani zinakauka vizuri tu zikipewa muda, labda kama zipo nne kwenye mzunguko.
Ndani yategemea na chumba ila sio sawa na juani kwa kweli
Afu ziwe za cotton nzito hzi ndo kabisaa sahau
 
Sio chupi tu hata mataulo na khanga kukwepa uvundo ndani
 
Ndani yategemea na chumba ila sio sawa na juani kwa kweli
Afu ziwe za cotton nzito hzi ndo kabisaa sahau
Basi ni afadhar kuzificha chini ya kanga nyepesi, ila sio kukaa wazi.eti chupi za ladyRed[emoji46][emoji46]kifuniko cha kwanza cha mashine yake.
 
Basi ni afadhar kuzificha chini ya kanga nyepesi, ila sio kukaa wazi.eti chupi za ladyRed[emoji46][emoji46]kifuniko cha kwanza cha mashine yake.
Hamuwezi kukontroo hisia zenu hivi??
 
Tuliosoma kabla ya elimu kuwa ya kisiasa kama ilivyo hivyo sasa tuliwahi kusoma masomo haya Sayansi kilimo na Sayansi kimu. Hasa hili somo la sayansi kimu lilitusaidia sana katika kujua kupika, kusafisha nyumba, kufua na kunyosha nguo na ujenzi bora wa nyumba nakadhalika.

Hoja yangu ni kwamba kwanini hawa ndugu zetu wa kike hawaaniki chu...pi zao nje juani? Tulifundishwa jua linaua vijidudu na kukausha nguo. Wanaume wanaanika nje juani

Wao wanaanika ndani kwenye kitanda, wengine uvunguni kabisa mwa kitandani/kochi.

Anikeni nje juani
Ili upigenazo selfie?😀
 
Masai dada,evelyn salt,rubii,na wengine leteni uzoefu wenu hapa.
Uzoefu gani wahitajika. Kuanika nguo (za ndani au la) inategemea nyumba mtu anaishi. Kwa mfano magorofani au nyumba za wapangaji wengi, mara nyingi zina nafasi finyu nje kuanika nguo. Walio na nafasi ya kuweka kamba nje za kuanikia nguo wafanye hivyo, la ni vizuri kupiga pasi nguo za ndani
 
Asante,heshima kwako.
 
Anikeni chuoo njee ila unafunika Na khabga nyepesi..u.t.I..haitawasumbueni
 
mazingira ya uanikaji wa nguo yazingatiwe jaman kama upo kwako na huna vijana wakubwa ni ruksa sana lakin ukiwa ktk nyumba ya kupanga ni shiiiiiiiida
 
Siwashauri wanawake wenzangu uzi tu wakwenye chupi unakutaftia matatzo makubwa
 
Aiss...nje ya uswahilini au uzunguni....na hao kunguru wataziacha kweli
 
Back
Top Bottom