Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Usilamu mwanamke huyo,, jilaumu we ,,na hakikisha unajitahidi kua mwanamme Wa thamani.

Ukiona mwanamke amekupa hayo majib nisababu **Haioni future yake ndani yenu**

Kwaufupi we nimtumiaji tuuu tena unayependa bure.....

Dem Wa lodge ...wewe umegonga lkn hukumpa hata kiela cha kufurahia mwaka mpya au hata kizawadi kwa kutambua mchangonwake ..hamna, Lazima ublokiwe.

Demu wakwanza na wapili hawa japokua ushawagegeda ,,nimabint ,wanaakili ,wamegundua we unawapotezea muda.
Wewe nawe bartender tu.
 
Jamani jamani jamani. Tafsida ihusike hata kidogo.
 
Hawa viumbe wanabadilikabadilika mithili ya Kinyonga....! Usimwamini mwanamke yeyote duniani isipokuwa mama Mzazi.....! Wanawake ni kama mabasi ukikosa moja unapanda jingine
 
Matatizo yako usidhani ni ya kila mtu...inavyoonekana ww bado unamtaka huyo mwanamke km ingekuwa rahisi kwenda kwa mwingine usingelalamika hivi


Kibuti kinauma.
Umenena mkuu , sio kua wote tuna hio mikosi kwa madem sisi wengin videm had tunavibwaga wenyewe daily
 
Ushamuita "kidemu" ...maana yake umemuona kama kimalaya chako...una laana ya kuwadharau wanawake ndo mana unaachwa achwa .nenda katubu hio laana iondoke ..una mahusiano na wanawake wengi nayo laana hio unafikiri maana yake nini? Nenda katubu kanisani na uache kutembea na wanawake ovyo
Na pia uache kuwasema vibaya wanawake...wapo wanawake wazur na wanaojielewa na wenye misimamo lakin sio hao unaowaita videmu
 
Usilamu mwanamke huyo,, jilaumu we ,,na hakikisha unajitahidi kua mwanamme Wa thamani.

Ukiona mwanamke amekupa hayo majib nisababu **Haioni future yake ndani yenu**

Kwaufupi we nimtumiaji tuuu tena unayependa bure.....

Dem Wa lodge ...wewe umegonga lkn hukumpa hata kiela cha kufurahia mwaka mpya au hata kizawadi kwa kutambua mchangonwake ..hamna, Lazima ublokiwe.

Demu wakwanza na wapili hawa japokua ushawagegeda ,,nimabint ,wanaakili ,wamegundua we unawapotezea muda.
True fact kabisa ...jamaaa anawaona mapoyoyo halafu wakichukua maamuzi anasema sio wa kuwaamini ...jamaa hajielewi..
hakuna mwanamke wa kumpotezea muda kwa sasa maisha yanaenda kasi kila mtu anataka kutulia na familia yake.
 
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.

Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.

Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.

Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.

We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.

Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.

Come on man. No quitting.


Kuna aina ya wanawake wengine usipowa-give up kirahisi kama mwanaume mwishowe watakupa stress na kukupunguzia miaka ya kuishi kama sio kukukimbia, au kukuua kwa sumu au ukimwi kwenye ndoa Karucee
 
Hawa viumbe wanabadilikabadilika mithili ya Kinyonga....! Usimwamini mwanamke yeyote duniani isipokuwa mama Mzazi.....! Wanawake ni kama mabasi ukikosa moja unapanda jingine
Vilevile usimuamin mwanaume yeyote dunian isipokua your Dady and your son..ova
 
Sijawahi onaa ushauri Mbovuu kama huuuu hapa JF...!! Concontrate na mkee tuu sio videmu hivii... yanii mr kuwa demu mmoja boraa nisiwee naeee... Stock haiwezi pungua Wa4 na hata wakiondoka wa3 me sijawahi bembelezaa...Akili ya mwanamke kamwe siji kuilaumu aiseee ni ZEROOOOO japo nina mama na dada zangu...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Dah----------pole Sanaa....mtu angu--------mwenyew imenitokea...so wanawake hawahaminiki bora ukamuamini Mwizi siyo mwanamke katika relationship::::::::::;;: Utajuta
 
Mimi nilikuwa na mpenz pia na nikitaka nimtambulishe nyumbani niuache ukapela,, sasa tar 28 tukapanga aje kunitembelea nikafanya maandalizi makubwa tar 31 nikamtumia nauli tsh 21650 atoe 20000 ya kumleta na kula njiani, sikuamini tar 01 asbh nilimpgia sm akaniambia yuko stand aje lakn baada ya hapo nilikuwa napga simu ananikatia hadi jioni yake alipoamua kuzima simu kabisa.

Kesho yake niliamua kumcheck na namba nyingne akapokea nikamskia ndo yy kisha nikampgia kwa namba yangu kama kawa akaikata tena.
Hadi hapo nikakoswa namna nikaona nifute tu namba yake ila leo ndo ameamua kunifungukia kuwa hana muda na mimi nitabaki hati hati lake silipati..

Mwanamke ni sura nzuri ambayo kwa ndani yake kumejawa kila aina ya uovu na uchafu, sawa sawa na jeneza la dhahabu ambalo kwa ndani limehfadhi maiti.[emoji203] .
Jamaa story yakoo imenikutaa me Mwishoni mwa mwakaa janaa..!! Haa ha ha..afuu hela hiyo hiyo 20000 mwananguu daah... Sema ndo zao haoo yanii Siku hizi wanaamua kukupiga kizinga then wanapotea.. Wakifanya hivyo kwa wanaume kama 10 hivi si wana mtajiii.. Yani Siji kumwamini mwanamke aisee
 
Back
Top Bottom