Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Usilamu mwanamke huyo,, jilaumu we ,,na hakikisha unajitahidi kua mwanamme Wa thamani.

Ukiona mwanamke amekupa hayo majib nisababu **Haioni future yake ndani yenu**

Kwaufupi we nimtumiaji tuuu tena unayependa bure.....

Dem Wa lodge ...wewe umegonga lkn hukumpa hata kiela cha kufurahia mwaka mpya au hata kizawadi kwa kutambua mchangonwake ..hamna, Lazima ublokiwe.

Demu wakwanza na wapili hawa japokua ushawagegeda ,,nimabint ,wanaakili ,wamegundua we unawapotezea muda.
Namimi namuambia Siri kuu ukitaka mwanamke mwenyewe akuabudu ata asiweze kukuchomoka Kila mnoapokutana mpe pesa usimnunulie kitu maan anawez asikipende inshort ata ugegede kwa bidii kiasi gani Bila kujali maitaji mbadala ya mschana atakuacha walahi sio ao tu ata mimi binafsi usipoonesha kunicare aseee nakubwaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una wapa hela? Kama huwapi ndio shida hiyo we ugegede burebure tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (joke)

Ni mwendo wa ku fake love nao waendelee na drama ngoma droo
Hahahaha thread hii inanikuna mule mule aseee nacheka kinyasa mie
 
Hela unatoa?au unalalamika tuu?pesa hutoi lodge unalipiwa kwann usiachwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari ya mwaka mpya.

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Wanawake sio watu wa kuamini 100%. Mara nyingi nimekua nikiwahusia vijana na wanaume wenzangu humu kua wanawake sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.

Wanawake wanaweza kuamua jambo lolote wakati wowote.

Juzi tarehe 1 nilikua na kidem changu kimoja, kimetoka tu kanisani kikanipigia kua kiko free kama nina nafasi naweza kuonana nae, basi nikamuelekeza lodge moja akafika, nikamtafuna vizuri tu na hatukua na tofauti zozote, ghafla jioni yake ananitumia ujumbe kua hanitaki na nisimtafte tena, nikashangaa sana, mbona huyu hatukua na shida yoyote, tulikua kwenye good terms ila ghafla nikapata notice ya kuachwa. Nikasema hakuna tabu.

Jana asubuhi nikampigia mpenzi wangu mwingine, kama ilivyo kawaida kabla sijaenda job, baada ya kusalimiana akaniambia anahitaji nimpe muda, anahitaji muda zaidi kuangalia maisha yake, hatukua na mgogoro wowote na wala hajawahi kunihisi kwa namna yoyote ile kua nachepuka.

Siku ya tarehe moja karbu siku nzima alikua ananipigia sim, ananitumia pics mahala alipo, ananipa sim naongea na wadogo zake nk nk. Ghafla jana ananiambia nimpe muda kwanza na kwamba hana mtu zaidi yangu ila anataka nimpe muda, nikashangaa, nilivyojaribu kuchart nae mara moja mbili akaniblock, nikampihia akasema namsumbua nimtafte baadae. Just imagine huyu mwanamke angalau ndio nilikua nafikiria mwezi April mwaka huu niende kwao lakini anasisitiza kabisa kua nimpe muda. Nimemtupilia mbali.

Anyway, nika cases nyingi za namna hiyo za wanawake, kweli wengine unakuta hawana michepuko na wengine unakuta ameshapata mwanaume mwingine lakini nawakumbusha tu wanaume wenzangu, mwanamke sio mtu wa kumuamini 100%, ni sawa na masai sio wa kumuwekea dhamana, atakimbia tu siku moja.

Suluhisho ambalo mimi hua linanisaidia ni kua na idadi ya wanawake wengi kwenye stock, akichomoka mmoja bado wengine wapo kwa ajili ya back up. Pia hua sipendi mwanamke hata kidogo, naweza kufake love kwa muda wote ila sio kua na real love. Niligundua falling in love with a woman is like commiting a suicide.

Huko nyuma nilikua muaminifu sana ila yakawa yananitokea kama hayo, nilivyogundua akili ya wanawake ikoje sijawahi tena kupata shida.

Wanaume wenzangu, kuweni makini na wanawake, sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.
"in order to avoid stresses and heart attacks possess many women as you can".
 
Mimi nilikuwa na mpenz pia na nikitaka nimtambulishe nyumbani niuache ukapela,, sasa tar 28 tukapanga aje kunitembelea nikafanya maandalizi makubwa tar 31 nikamtumia nauli tsh 21650 atoe 20000 ya kumleta na kula njiani, sikuamini tar 01 asbh nilimpgia sm akaniambia yuko stand aje lakn baada ya hapo nilikuwa napga simu ananikatia hadi jioni yake alipoamua kuzima simu kabisa.

Kesho yake niliamua kumcheck na namba nyingne akapokea nikamskia ndo yy kisha nikampgia kwa namba yangu kama kawa akaikata tena.
Hadi hapo nikakoswa namna nikaona nifute tu namba yake ila leo ndo ameamua kunifungukia kuwa hana muda na mimi nitabaki hati hati lake silipati..

Mwanamke ni sura nzuri ambayo kwa ndani yake kumejawa kila aina ya uovu na uchafu, sawa sawa na jeneza la dhahabu ambalo kwa ndani limehfadhi maiti.[emoji203] .
Wewe ni mwanauchumi eee[emoji15] [emoji15] lazima uachwe
 
Usije kushangaa baada ya muda anakutafuta. Kuna jamaa anamjaza ujinga huko akishaona maji yamefika shingoni utashangaa anakutafuta. Ingia love connect ujione maajabu huko wanavyotiririka kutafuta mume.
Hiyo dhana yako ni pana sana. Kuna wanawake wazuri shida umekutana na kimeo
 
Dogo, kwenye fani ya kutomba nina uhakika 100% kua nina uzoefu na ujuzi wa kutosha, ni expert kwenye hilo. Hata ikitokea taifa likatafta watombaji wa kuiwakilisha huko nje siwezi kukosa. Hivyo haina haja ya kubishana katika hilo. Ahsante.
Nimeecheka kwa sauti sana mkuu kweli kwa hilo eneo unajitahidi hakuna haja ya ushahidi tena
 
Habari ya mwaka mpya.

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Wanawake sio watu wa kuamini 100%. Mara nyingi nimekua nikiwahusia vijana na wanaume wenzangu humu kua wanawake sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.

Wanawake wanaweza kuamua jambo lolote wakati wowote.

Juzi tarehe 1 nilikua na kidem changu kimoja, kimetoka tu kanisani kikanipigia kua kiko free kama nina nafasi naweza kuonana nae, basi nikamuelekeza lodge moja akafika, nikamtafuna vizuri tu na hatukua na tofauti zozote, ghafla jioni yake ananitumia ujumbe kua hanitaki na nisimtafte tena, nikashangaa sana, mbona huyu hatukua na shida yoyote, tulikua kwenye good terms ila ghafla nikapata notice ya kuachwa. Nikasema hakuna tabu.

Jana asubuhi nikampigia mpenzi wangu mwingine, kama ilivyo kawaida kabla sijaenda job, baada ya kusalimiana akaniambia anahitaji nimpe muda, anahitaji muda zaidi kuangalia maisha yake, hatukua na mgogoro wowote na wala hajawahi kunihisi kwa namna yoyote ile kua nachepuka.

Siku ya tarehe moja karbu siku nzima alikua ananipigia sim, ananitumia pics mahala alipo, ananipa sim naongea na wadogo zake nk nk. Ghafla jana ananiambia nimpe muda kwanza na kwamba hana mtu zaidi yangu ila anataka nimpe muda, nikashangaa, nilivyojaribu kuchart nae mara moja mbili akaniblock, nikampihia akasema namsumbua nimtafte baadae. Just imagine huyu mwanamke angalau ndio nilikua nafikiria mwezi April mwaka huu niende kwao lakini anasisitiza kabisa kua nimpe muda. Nimemtupilia mbali.

Anyway, nika cases nyingi za namna hiyo za wanawake, kweli wengine unakuta hawana michepuko na wengine unakuta ameshapata mwanaume mwingine lakini nawakumbusha tu wanaume wenzangu, mwanamke sio mtu wa kumuamini 100%, ni sawa na masai sio wa kumuwekea dhamana, atakimbia tu siku moja.

Suluhisho ambalo mimi hua linanisaidia ni kua na idadi ya wanawake wengi kwenye stock, akichomoka mmoja bado wengine wapo kwa ajili ya back up. Pia hua sipendi mwanamke hata kidogo, naweza kufake love kwa muda wote ila sio kua na real love. Niligundua falling in love with a woman is like commiting a suicide.

Huko nyuma nilikua muaminifu sana ila yakawa yananitokea kama hayo, nilivyogundua akili ya wanawake ikoje sijawahi tena kupata shida.

Wanaume wenzangu, kuweni makini na wanawake, sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.
Men and women are two different species.
 
Mi huwa naingia mzima mzima ili niinjoy ila huwa najipanga kisaikolojia kuwa ipo siku anaweza kuondoka
 
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.

Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.

Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.

Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.

We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.

Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.

Come on man. No quitting.
Wazo lako ni zuri lakini unfortunately liko more theoretical, nani kasema ukimpenda aana mwananmke alaf ukimpa kila kitu ndo uhusiano utadumu, i speak from experience, woman can never be trusted. Narudia tena.
 
Sijawahi onaa ushauri Mbovuu kama huuuu hapa JF...!! Concontrate na mkee tuu sio videmu hivii... yanii mr kuwa demu mmoja boraa nisiwee naeee... Stock haiwezi pungua Wa4 na hata wakiondoka wa3 me sijawahi bembelezaa...Akili ya mwanamke kamwe siji kuilaumu aiseee ni ZEROOOOO japo nina mama na dada zangu...
Hata mimi Nimeshangaa sana.
 
Back
Top Bottom