Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Hivi vitu nshaachana navyo na sina time navyo kabisa is good to be singlee..na enjoy sana hakuna complication hata
Huwezi achana navyoo sema huwezi kua nae mmoja..!! Hapo unao kama wa3 hivii... Na ndo staili ya wasichana kuachana na hivi vitu...
 
Matatizo yako usidhani ni ya kila mtu...inavyoonekana ww bado unamtaka huyo mwanamke km ingekuwa rahisi kwenda kwa mwingine usingelalamika hivi
Kibuti kinauma.
Ninawapa tu ushauri vijana. Nishaachwa mara nyingi sana na wala sina tatizo katika hilo. Nina taratibu za kutokuacha mwanamke, aniache yeye.
 
Usilamu mwanamke huyo,, jilaumu we ,,na hakikisha unajitahidi kua mwanamme Wa thamani.

Ukiona mwanamke amekupa hayo majib nisababu **Haioni future yake ndani yenu**

Kwaufupi we nimtumiaji tuuu tena unayependa bure.....

Dem Wa lodge ...wewe umegonga lkn hukumpa hata kiela cha kufurahia mwaka mpya.... Lazima ublokiwe.

Demu wakwanza na wapili hawa japolua ushawagegeda ,,nimabint ,wanaakili ,wamegundua we unawapotezea muda.
Hiyo ya kutowapa hela umeitoa wapi? Huwezi kua na wanawake wengi kama hutoi hela, sitafuni wanawake wa hovyo hovyo. Kama huhongi wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji.

Kama ni muda washapoteza sana maana huyo wa kwanza mwaka wa 3 namtafuna.
 
Sijawahi onaa ushauri Mbovuu kama huuuu hapa JF...!! Concontrate na mkee tuu sio videmu hivii... yanii mr kuwa demu mmoja boraa nisiwee naeee... Stock haiwezi pungua Wa4 na hata wakiondoka wa3 me sijawahi bembelezaa...Akili ya mwanamke kamwe siji kuilaumu aiseee ni ZEROOOOO japo nina mama na dada zangu...
Haya kama mbovu uache.

Atakaeona.unamjenga atauchukua.
 
tafuta pesa mkuu hayo mambo mengine niziada ..kama huna pesa halafu unatakwa upendwe tena upendwe na hawa piza bandits .maslay queens itakuwa unachezesha moyo wako upatu mkuu
vinginevyo kama wewe nipenda penda tafuta mwanamke wakawaida asiye namakuu kutoka kolomije huko...ndio utaweza kuishi nae...hawa wa samaki samaki ..cjui century cinema..KFC na merry brown kama hauna pesa watakufnya ukitamanin kitanzi...Mara nyingi huwa wanapagawa nawanaume walioshika fnguo za Gari mikononi mwao....

asubuhi njema
 
Sijawahi onaa ushauri Mbovuu kama huuuu hapa JF...!! Concontrate na mkee tuu sio videmu hivii... yanii mr kuwa demu mmoja boraa nisiwee naeee... Stock haiwezi pungua Wa4 na hata wakiondoka wa3 me sijawahi bembelezaa...Akili ya mwanamke kamwe siji kuilaumu aiseee ni ZEROOOOO japo nina mama na dada zangu...
Exactly, mimi stock yangu iko leveled at 6, hua inapanda hadi 10 na kushuka hadi 4. Huyu akitoka huyu anaingia. Na wale wa one night stand sio wa kuhesabu.

Wanawake akili yao ni kama ya kondoo, akiamua moja ni hilo hilo labda akutane na obstacle kubwa ndio atabadili muelekeo.
 
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.

Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.

Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.

Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.

We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.

Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.

Come on man. No quitting.
Acha kutudanganya wewe,,et tuwatoe out,hela.nk.nyie hamuaminiki mwend hapa ni hit and run hakuna kuwabembelezaa nyiny
 
Sijawahi onaa ushauri Mbovuu kama huuuu hapa JF...!! Concontrate na mkee tuu sio videmu hivii... yanii mr kuwa demu mmoja boraa nisiwee naeee... Stock haiwezi pungua Wa4 na hata wakiondoka wa3 me sijawahi bembelezaa...Akili ya mwanamke kamwe siji kuilaumu aiseee ni ZEROOOOO japo nina mama na dada zangu...
Wanawake wapo kama kinyonga huishi kulingana na mahitaji yake kwa wakati huo, hivyo never trust a women,muhimu kuwa na stock, na akili zao wanazijua wenyewe.
 
Hiyo ya kutowapa hela umeitoa wapi? Huwezi kua na wanawake wengi kama hutoi hela, sitafuni wanawake wa hovyo hovyo. Kama huhongi wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji.

Kama ni muda washapoteza sana maana huyo wa kwanza mwaka wa 3 namtafuna.
Sasa niivi ,,wewe ndo unamatatizo ,nalazima ujiangalie upya !!.

Haiwezekan demi wakwanza wapili nawatatu wote wawe ma the same tone wakati hata hawajuani na sio ndugu kusema labda wawe na vinasaba sawa.

Jiangalie mpya !! Kuna tatizo unalo ......
 
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.

Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.

Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.

Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.

We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.

Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.

Come on man. No quitting.
Tatizo uo muda hakuna
 
Back
Top Bottom