Mkuu unaongea point sanaa..!! Kujenga urafiki kiti cha Muhimuuu lasivyoo utaishia kuwa Malayaaaa aisee... Utagongaa na kuacha kilaa sikuu...Uyasemayo ni kweli ila siyo kweli kwa 100%. Tatizo la watu wanageneralize mambo. Kuna watu wanafurahia ndoa zao na wanaishi kwa amani na wengine wanachukia ndoa zao. Shida ya yote haya ni pale mtu anapokutana na kimeo na yy anataka kulipiza kisasi.
Siwezi kumlaumu mwanamke kwa kuwa alinisaliti ila huwa najilaumu mm kwa kumtongoza na kunikubalia, nisingemtongoza yasingetokea yote. Kuna mwanamke mmoja nilimuambia ''Naichukia sana siku niliyokutongoza na siku uliyonikubalia'' baada ya hapo nilitoweka km ndege ya malaysia na namba nilishabadilisha. Kuna wanawake wazuri sana na wenye mioyo safi tatizo hawa wachache ndiyo wanaharibu sekta hii ya mapenzi na ionekane ya ovyo.
Ukitaka kuepukana haya
-Epuka kutongoza kila mwanamke au kumkubali kila mwanaume wengine ni watu ovyo sana. Kwa sbb wengine ni mikosi
-Jenga urafiki kwanza kbla ya kuingia kwenye mahusiano. Ukishamjua tabia zake ndiyo umkumbalie.
-Na usiwe mtu wa kupelekeshwa na mpenzi. Mpigie hesabu kwanza faida na hasara atakayokuletea, ukiona hasara ni nyingi kuliko faida piga chini mapema.
Watu wema na wabaya wapo. Ni kuwa makini tu kufanya maamuzi sahihi
mkuu niliingia mzima mzima kipindi ndo naanza tu alichokifanya nilikua nashinda tu mliman nikiskilza redio yang pendwa siku nzima yan.nilivo pona hio folen niliowapanga unaweza hisi ni bss[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Mimi mwenyewe nshawajulia,sitorudia niingie mzima mzima kama nilivyowahi kufanya mmoja wapo.
samahni mkuu,mapepo ndio nn hichoTatizo lenu mnatafuta wanawake wenye mapepo,mtu mwwnye mapepo anawezafanya lolote wakati wowote tens usishangae wengine akakutafuta mwenyewe kuwa anataka alafu mkiwa ndani anakataa tena..
Achaneni na hao wenye mashetani...tulieni mpate wake wazuri.
Asante kwa kuumizwa
You ar the great thinkerHapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.
Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.
Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.
Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.
We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.
Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.
Come on man. No quitting.
Haa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...!! Aiseee ogopa mwanaume alieumizwa dadekii..Akijapenda tena bhasi mwisho wa duniaa... Yanii wale wanaozinguaga ile first love ndo wanawaponzagaa wenzaoo aisee...mkuu niliingia mzima mzima kipindi ndo naanza tu alichokifanya nilikua nashinda tu mliman nikiskilza redio yang pendwa siku nzima yan.nilivo pona hio folen niliowapanga unaweza hisi ni bss[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
I know. I know.You ar the great thinker
DohHabari ya mwaka mpya.
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Wanawake sio watu wa kuamini 100%. Mara nyingi nimekua nikiwahusia vijana na wanaume wenzangu humu kua wanawake sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.
Wanawake wanaweza kuamua jambo lolote wakati wowote.
Juzi tarehe 1 nilikua na kidem changu kimoja, kimetoka tu kanisani kikanipigia kua kiko free kama nina nafasi naweza kuonana nae, basi nikamuelekeza lodge moja akafika, nikamtafuna vizuri tu na hatukua na tofauti zozote, ghafla jioni yake ananitumia ujumbe kua hanitaki na nisimtafte tena, nikashangaa sana, mbona huyu hatukua na shida yoyote, tulikua kwenye good terms ila ghafla nikapata notice ya kuachwa. Nikasema hakuna tabu.
Jana asubuhi nikampigia mpenzi wangu mwingine, kama ilivyo kawaida kabla sijaenda job, baada ya kusalimiana akaniambia anahitaji nimpe muda, anahitaji muda zaidi kuangalia maisha yake, hatukua na mgogoro wowote na wala hajawahi kunihisi kwa namna yoyote ile kua nachepuka.
Siku ya tarehe moja karbu siku nzima alikua ananipigia sim, ananitumia pics mahala alipo, ananipa sim naongea na wadogo zake nk nk. Ghafla jana ananiambia nimpe muda kwanza na kwamba hana mtu zaidi yangu ila anataka nimpe muda, nikashangaa, nilivyojaribu kuchart nae mara moja mbili akaniblock, nikampihia akasema namsumbua nimtafte baadae. Just imagine huyu mwanamke angalau ndio nilikua nafikiria mwezi April mwaka huu niende kwao lakini anasisitiza kabisa kua nimpe muda. Nimemtupilia mbali.
Anyway, nika cases nyingi za namna hiyo za wanawake, kweli wengine unakuta hawana michepuko na wengine unakuta ameshapata mwanaume mwingine lakini nawakumbusha tu wanaume wenzangu, mwanamke sio mtu wa kumuamini 100%, ni sawa na masai sio wa kumuwekea dhamana, atakimbia tu siku moja.
Suluhisho ambalo mimi hua linanisaidia ni kua na idadi ya wanawake wengi kwenye stock, akichomoka mmoja bado wengine wapo kwa ajili ya back up. Pia hua sipendi mwanamke hata kidogo, naweza kufake love kwa muda wote ila sio kua na real love. Niligundua falling in love with a woman is like commiting a suicide.
Huko nyuma nilikua muaminifu sana ila yakawa yananitokea kama hayo, nilivyogundua akili ya wanawake ikoje sijawahi tena kupata shida.
Wanaume wenzangu, kuweni makini na wanawake, sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.
Ni kama una gundu haiwezekan uachwe wewe tu kila siku
I know. I know.
Hizo pressure za muda zinaisha baada ya wewe kukaa pembeni? Kwani tukiwa wote ndio pressure inakua kubwa?
Unaona ufahari kuwa na Wanawake wengi?
Ofcoz inawezekana sikatai..!! Ila me kwangu ni mama so namuona kitofauti...
Hata Mama yako anamsumbuwa Baba yako kuliko anavyokuchekea wewe mtoto wake... Kuwa Uyaone
Unaona ufahari kuwa na Wanawake wengi?
Mwanamke ukimkaza vizuri anaanzaje kukuletea nyodo?
Tatizo lenu mnatafuta wanawake wenye mapepo,mtu mwwnye mapepo anawezafanya lolote wakati wowote tens usishangae wengine akakutafuta mwenyewe kuwa anataka alafu mkiwa ndani anakataa tena..
Achaneni na hao wenye mashetani...tulieni mpate wake wazuri.
Asante kwa kuumizwa
Hata mimi nimehisi kitu kama hicho..
Utakuwa hujui kula mzigo wewe
Sawa
Una wapa hela? Kama huwapi ndio shida hiyo we ugegede burebure tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (joke)
Ni mwendo wa ku fake love nao waendelee na drama ngoma droo
Aiseee
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.
Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.
Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.
Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.
We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.
Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.
Come on man. No quitting.
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.
Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.
Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.
Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.
We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.
Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.
Come on man. No quitting.
Mje huku nimevurugwaaaa mnisaidieee
SWALI: YUPI UNAMTHAMINI ZAIDI.. MWANAO (FAMILIA) QU MCHEPUKOO?!
Na hukuu
Ukifungua link shuka chin utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
Kajitangaze kivingine sio una quote unrelated topics.Mje huku nimevurugwaaaa mnisaidieee
SWALI: YUPI UNAMTHAMINI ZAIDI.. MWANAO (FAMILIA) QU MCHEPUKOO?!
Na hukuu
Ukifungua link shuka chin utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
Nakupa Shukran za dhati kwaniaba ya muazisha thread hii.Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.
Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.
Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.
Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.
We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.
Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.
Come on man. No quitting.
Aisee! Pole sanasio wasiwasi aisee kwa kilichontokea sina hamu na nyie kabisaaaa,yan kungekua na sayar wanayoish wanawke tu ningehamia ili hata nisiwe nawaona nyinyi viumbe
Hahaha..naona umevutiwa na manenoAsante ila Jamaa ana bahati
Andaa list ya tag kama anavyofanya lara 1 na The bold ili uwe unatag kila ukiweka bandiko.Mje huku nimevurugwaaaa mnisaidieee
SWALI: YUPI UNAMTHAMINI ZAIDI.. MWANAO (FAMILIA) QU MCHEPUKOO?!
Na hukuu
Ukifungua link shuka chin utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
Ni kweli kabisa!Huyu mtoa maada yuko sawa kabsa naungana nae asilimia mia kuwa na mwanamke mmoja ni kujitaftia stress za maisha mwishowe lifespan ipungue bure kwa kujipa mapressure hawa viumbe huwa hawaelewek kabsa