Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Usilamu mwanamke huyo,, jilaumu we ,,na hakikisha unajitahidi kua mwanamme Wa thamani.

Ukiona mwanamke amekupa hayo majib nisababu **Haioni future yake ndani yenu**

Kwaufupi we nimtumiaji tuuu tena unayependa bure.....

Dem Wa lodge ...wewe umegonga lkn hukumpa hata kiela cha kufurahia mwaka mpya au hata kizawadi kwa kutambua mchangonwake ..hamna, Lazima ublokiwe.

Demu wakwanza na wapili hawa japokua ushawagegeda ,,nimabint ,wanaakili ,wamegundua we unawapotezea muda.
Hivi FUTURE maana yake ni nini hasa mkuu??
 
Oya hapo kwenye mmasai una maanisha nini?

Ina maana sisi wamasai sio watu au? Acha uwaki
 
Jichunguze mkuu, baada ya kula tunda ndio akuteme? Kama huna hogo basi kibamia kinahusika, au shughuli yako dhaifu!
 
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.

Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.

Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.

Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.

We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.

Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.

Come on man. No quitting.
Yaani mie sina uvumilivu na Nina jazba,dkk moja mbele ni kubwa,sijawah dumu na mwanamk zaidi ya mwaka hapo nimeoa na kumimbisha nje but hawana option wanalazimika kuwa wavumilivu tu coz bizness za kubembeleza sinaga labda kidogo mwanzoni lakn nimepoteza wadada wengi wazur kwa kukosa simile na patience,anything I react highly
 
nilimpenda dada mmoja kupita maelezo lakini 14feb 2009 nikaachwa bila sababu toka siku hiyo sijawahi kupenda kwa dhati
 
Ni kweli kabisa!

Ni kama eti usawa huu uwe na mwanaume mmoja!!! Ni pressure tu kama umeolewa unatafuta wengine usife pressure eti eeeh

Pumbavu wewe! Una wanawake kadhaa na bado huoni aibu kuandika uzi mrefu kuwa wanawake hawaaminiki? Kwamba wewe ndo unaaminika? Let women relax


Andaa list ya tag kama anavyofanya lara 1 na The bold ili uwe unatag kila ukiweka bandiko.
Mje huku nimevurugwaaaa mnisaidieee

SWALI: YUPI UNAMTHAMINI ZAIDI.. MWANAO (FAMILIA) QU MCHEPUKOO?!

Na hukuu

Ukifungua link shuka chin utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Nakupa Shukran za dhati kwaniaba ya muazisha thread hii.

Si sahihi kusema tusiwaamini wanawake, So sahihi pia kusema tusiwawekee dhamana wanawake.

Ukweli ni kwamba,hujipi muda wa kutosha wa kumsoma na kumuelewa mwanamke.
Ukimjua, Ukamuelewa na ukafahamu tabia zake, hakuna mwanamke atakaekusumbua dunia hii.

Wengi wetu hawajipi muda wa kuwazoea wanawake zako, Kujua wa nataka nini na wanapenda nini ni hatua muhimu zaidi ya kuweza kuishi nae kwa amani.


Hahaha..naona umevutiwa na maneno

Mje huku nimevurugwaaaa mnisaidieee

SWALI: YUPI UNAMTHAMINI ZAIDI.. MWANAO (FAMILIA) QU MCHEPUKOO?!

Na hukuu

Ukifungua link shuka chin utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Aisee nimekumbuka kuna jamaa alicoment,eti" yanatombwa sana haya,tuishi nayo hivyo"
Sorry kwa ukakasi wa lugha nilicheeka,komaeni ndo walivyo jifunzeni kujiandaa kisaikolojia any time t
 
Yaani mie sina uvumilivu na Nina jazba,dkk moja mbele ni kubwa,sijawah dumu na mwanamk zaidi ya mwaka hapo nimeoa na kumimbisha nje but hawana option wanalazimika kuwa wavumilivu tu coz bizness za kubembeleza sinaga labda kidogo mwanzoni lakn nimepoteza wadada wengi wazur kwa kukosa simile na patience,anything I react highly
Ahahah,me kubembeleza hlo somo nlpataga F
 
Sisi wanawake huwa tuna akili sana, basi tu wanaume hamtuelewi..

We unakaa na mtoto wa mtu unamfanyia vituko ye kimya, unaona hana pa kwenda!

Siku akichukua maamuzi ndo haya mapresha yanawapata wanaume, ukishakuwa na mwanamke jishushe uone kama hujapewa mapenzi yote!

BTW..Threads za wanaume kulia lia na kuumizwa na wanawake zimekuwa nyingi sana!
 
Matatizo yako usidhani ni ya kila mtu...inavyoonekana ww bado unamtaka huyo mwanamke km ingekuwa rahisi kwenda kwa mwingine usingelalamika hivi


Kibuti kinauma.
Aminia babake[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Sisi wanawake huwa tuna akili sana, basi tu wanaume hamtuelewi..

We unakaa na mtoto wa mtu unamfanyia vituko ye kimya, unaona hana pa kwenda!

Siku akichukua maamuzi ndo haya mapresha yanawapata wanaume, ukishakuwa na mwanamke jishushe uone kama hujapewa mapenzi yote!

BTW..Threads za wanaume kulia lia na kuumizwa na wanawake zimekuwa nyingi sana!
Wanawake bwana, yani mwanaume ndio ana wajibu wa kujishusha, mwanamke hapana?
 
Ma Nigga mimi siajwahi kuachwa na demu, labda tushindwane na hapo mimi nakuwa nimezingua, au circumstances tuu kama distance au design iwe ilikuwa nasafisha rungu tu na yeye alijua me mpigaji tuu baada ya hapo kila mtu na hamsini zake. Lakini kama nataka kujiweka kabisa hawezi nipa K nikafanya vurugu zangu zooote nazozijua halafu anipige chini, siamini.
We kweli kichaafulani[emoji23] [emoji23] [emoji15]
 
Back
Top Bottom