Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,361
Hamna formula ..hawa watu hawana formulaMwanamke ukimkaza vizuri anaanzaje kukuletea nyodo?
Hamna formula ..hawa watu hawana formulaMwanamke ukimkaza vizuri anaanzaje kukuletea nyodo?
Sizitaki mbichi hizi sio?Hivi vitu nshaachana navyo na sina time navyo kabisa is good to be singlee..na enjoy sana hakuna complication hata
Kwa hiyo unafikiaje kwenye solution?Hamna formula ..hawa watu hawana formula
Trial and ErrorKwa hiyo unafikiaje kwenye solution?
We ni mnyasa?? Wa kunyumbaHahahaha thread hii inanikuna mule mule aseee nacheka kinyasa mie
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.
Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.
Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.
Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.
We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.
Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.
Come on man. No quitting.
Ndo hvoSizitaki mbichi hizi sio?
Yeah,na sina mpango WA kubadili hii statusBado upo single mkuu?
Ewaaaaaa kuanzia Leo naanza kuku-care[emoji23] [emoji125] .Namimi namuambia Siri kuu ukitaka mwanamke mwenyewe akuabudu ata asiweze kukuchomoka Kila mnoapokutana mpe pesa usimnunulie kitu maan anawez asikipende inshort ata ugegede kwa bidii kiasi gani Bila kujali maitaji mbadala ya mschana atakuacha walahi sio ao tu ata mimi binafsi usipoonesha kunicare aseee nakubwaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me napenda,maana naenjoy sana saiv kuliko nlvokua kwenye relation..Hakuna mtu anayependa kuwa single ila huwa anapumzika tu baada ya kukutana na kimeo.
Ni kweli ila siyo kwa 100%. Kila mtu yupo ktk hali fulani kwasbb maalumu. Itafika muda utatamani kuwa na mtu sahihi ila kutokana na wengi kutokuwa sahihi ndiyo maana unaona hakuna ulazima wwte. Hapo ulipo ukikutana na mume na mke wanatembea na watoto wao wanacheka. Hapo mawazo mapya yanaingia ktk kichwa chako.Me napenda,maana naenjoy sana saiv kuliko nlvokua kwenye relation..
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.
Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.
Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.
Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.
We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.
Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.
Come on man. No quitting.
Ujumbe Mzuri ever.Kama single nipe nafasi