Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Muandishi wa makala uko sahihi sana,wasiowajua vizuri wanawake na ambao hayajawakuta hawatakuelewa,mimi nilioa kabisa na kupata mtoto,yeye ana kibarua nami nina kibarua,baada ya mwaka akadai divorce,tena na kwangu akahama akarudi kwao,after 2 years ikabidi nimpe divorce.
Sasa ananisumbua mara umenipotezea mda wangu,mara naenda mahakamani tugawane mali,
nimemwambia nenda kwanza bakwata.
Shortly,women hawaaminiki hata kidogo.
 
Exactly, mimi stock yangu iko leveled at 6, hua inapanda hadi 10 na kushuka hadi 4. Huyu akitoka huyu anaingia. Na wale wa one night stand sio wa kuhesabu.

Wanawake akili yao ni kama ya kondoo, akiamua moja ni hilo hilo labda akutane na obstacle kubwa ndio atabadili muelekeo.
hahaaa mkuu stock ya wanawake 10 hcho sinikiwanda hcho mkuu yaani hapo unafyatua watoto kama matofali...
usiwe unakataa mimba tu mkuu nakuzidi kuizawadia Tanzania ongezeko la watoto wa mitaani ...haaa wanawake 10... nahapo bado haujawa namamlaka ya utawala wanchi kama ilivyo kwamswati
 
Angenimwaga siku ya kwanza tu naanza kumtomba, nimemtomba 3 fucken good years, tena heavy ije kua juzi? Mind you ndani ha hii wiki kabla haijafika mwaka mpya nimemtomba 3 times na tena ananijulisha mwenyewe akiwa na nafasi na kuniuliza kama niko free kuonana nae.
hao sikuhizi hawambwato na mkuyenge mkuu wanabwato na pesa tu...wewe jifanye unajua kugonga mpka unaruka sarakasi kama Bruce Lee lkina hkuna jpya ambalo utakalo lifanya kisha ukamfnya apagawe...kama kunyonywa papuchi hkuanzia kwako ..kama kuchelewa kukojoa kuna waliokuwa wanammezea mundende ..konyagi na erocto50/100
usikute mpka 0713 wanamla...
sasa wewe utamfnyia lipi jipya ili apagawe...hahaa unatoka kupiga nae mechi anafika kwake aliko panga anakutana na mwenye nyumba katoka kumdai kodi ya nyumba yke ...sasa kwanini asikukimbie ''wewee wamlaa mtoto wawatu then waishia kumnywesha mimaji akipatwa kichomi je ...!?
mjini hapa tutafute hela...nandio maana wachaga huwa wanakwenda kuoa vijijini kwao huko kwasababu wanajua watawaoa wale wakuvumiliana kwa shida na majaribu
 
Ma Nigga mimi siajwahi kuachwa na demu, labda tushindwane na hapo mimi nakuwa nimezingua, au circumstances tuu kama distance au design iwe ilikuwa nasafisha rungu tu na yeye alijua me mpigaji tuu baada ya hapo kila mtu na hamsini zake. Lakini kama nataka kujiweka kabisa hawezi nipa K nikafanya vurugu zangu zooote nazozijua halafu anipige chini, siamini.
Ofcoz mwanaume atampiga chaga demu case nyingi ni kushindwana hasa mambo ya Care na Pesaa bhasii.. Maana huwa tunajalii sana kama hujamlaa badoo.. ukimlaa afuu ukakuta hanogii pia kupiga chini ni rahisi sna...
 
Ma Nigga mimi siajwahi kuachwa na demu, labda tushindwane na hapo mimi nakuwa nimezingua, au circumstances tuu kama distance au design iwe ilikuwa nasafisha rungu tu na yeye alijua me mpigaji tuu baada ya hapo kila mtu na hamsini zake. Lakini kama nataka kujiweka kabisa hawezi nipa K nikafanya vurugu zangu zooote nazozijua halafu anipige chini, siamini.
Kichaa flani
 
hao sikuhizi hawambwato na mkuyenge mkuu wanabwato na pesa tu...wewe jifanye unajua kugonga mpka unaruka sarakasi kama Bruce Lee lkina hkuna jpya ambalo utakalo lifanya kisha ukamfnya apagawe...kama kunyonywa papuchi hkuanzia kwako ..kama kuchelewa kukojoa kuna waliokuwa wanammezea mundende ..konyagi na erocto50/100
usikute mpka 0713 wanamla...
sasa wewe utamfnyia lipi jipya ili apagawe...hahaa unatoka kupiga nae mechi anafika kwake aliko panga anakutana na mwenye nyumba katoka kumdai kodi ya nyumba yke ...sasa kwanini asikukimbie ''wewee wamlaa mtoto wawatu then waishia kumnywesha mimaji akipatwa kichomi je ...!?
mjini hapa tutafute hela...nandio maana wachaga huwa wanakwenda kuoa vijijini kwao huko kwasababu wanajua watawaoa wale wakuvumiliana kwa shida na majaribu
Safi sana...Kama kuna mwanamke anakulilia akati hata mia humpi aisee sio kizazi hikii.. unampiga pipe akitoka hapo anataka Nauli sijui chips.. Sas wew piga pipe mwambie vaaa nend usimpe hata nauli uonee kama atarudi.. akikuomba vocha wew piga kimyaa... Yanii utaona wanawake waote wabaya huku Ukiamini unawapiga pipe vizuri
 
Safi sana...Kama kuna mwanamke anakulilia akati hata mia humpi aisee sio kizazi hikii.. unampiga pipe akitoka hapo anataka Nauli sijui chips.. Sas wew piga pipe mwambie vaaa nend usimpe hata nauli uonee kama atarudi.. akikuomba vocha wew piga kimyaa... Yanii utaona wanawake waote wabaya huku Ukiamini unawapiga pipe vizuri
mkuu mimi huwa nikiwa sina hela huwa sitafuti mwanamke ..nakumbuka nilikuwa nademu wangu mmoja mkali sna alikuwa anasoma C.B.E ila nilimuacha mwenyew kipindi flani baada ya mambo yngu kuyumba...nilikuwa najua tu kwaule uzuri alionao nahela zilikuwa zimetoweka basis atanisumbua na jeuri zitaanzia hapo namwisho wasiku nitapata strock ya ujanani..
alikuwa ananipenda mnoo ddada wawatu but sikutaka tufikie hatua mbaya yakuvunjiana heshima..nimeishi miaka mingi mnoo town najua mapenzi bila pesa heshima yke huwa ni hafifu...
so nikiwaga sinahela kwakuwa cjaoa huwa nablock namba za mademu wote wakali...yaani sitaki wanitafute kabisaa mkuu..
wanawake nikama watoto wadogo huwa hawaamini kama mwanaume umaweza kukosa pesa kweli ..niwachache mnoo wenye hiyo imani..
 
Habari ya mwaka mpya.

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Wanawake sio watu wa kuamini 100%. Mara nyingi nimekua nikiwahusia vijana na wanaume wenzangu humu kua wanawake sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.

Wanawake wanaweza kuamua jambo lolote wakati wowote.

Juzi tarehe 1 nilikua na kidem changu kimoja, kimetoka tu kanisani kikanipigia kua kiko free kama nina nafasi naweza kuonana nae, basi nikamuelekeza lodge moja akafika, nikamtafuna vizuri tu na hatukua na tofauti zozote, ghafla jioni yake ananitumia ujumbe kua hanitaki na nisimtafte tena, nikashangaa sana, mbona huyu hatukua na shida yoyote, tulikua kwenye good terms ila ghafla nikapata notice ya kuachwa. Nikasema hakuna tabu.

Jana asubuhi nikampigia mpenzi wangu mwingine, kama ilivyo kawaida kabla sijaenda job, baada ya kusalimiana akaniambia anahitaji nimpe muda, anahitaji muda zaidi kuangalia maisha yake, hatukua na mgogoro wowote na wala hajawahi kunihisi kwa namna yoyote ile kua nachepuka.

Siku ya tarehe moja karbu siku nzima alikua ananipigia sim, ananitumia pics mahala alipo, ananipa sim naongea na wadogo zake nk nk. Ghafla jana ananiambia nimpe muda kwanza na kwamba hana mtu zaidi yangu ila anataka nimpe muda, nikashangaa, nilivyojaribu kuchart nae mara moja mbili akaniblock, nikampihia akasema namsumbua nimtafte baadae. Just imagine huyu mwanamke angalau ndio nilikua nafikiria mwezi April mwaka huu niende kwao lakini anasisitiza kabisa kua nimpe muda. Nimemtupilia mbali.

Anyway, nika cases nyingi za namna hiyo za wanawake, kweli wengine unakuta hawana michepuko na wengine unakuta ameshapata mwanaume mwingine lakini nawakumbusha tu wanaume wenzangu, mwanamke sio mtu wa kumuamini 100%, ni sawa na masai sio wa kumuwekea dhamana, atakimbia tu siku moja.

Suluhisho ambalo mimi hua linanisaidia ni kua na idadi ya wanawake wengi kwenye stock, akichomoka mmoja bado wengine wapo kwa ajili ya back up. Pia hua sipendi mwanamke hata kidogo, naweza kufake love kwa muda wote ila sio kua na real love. Niligundua falling in love with a woman is like commiting a suicide.

Huko nyuma nilikua muaminifu sana ila yakawa yananitokea kama hayo, nilivyogundua akili ya wanawake ikoje sijawahi tena kupata shida.

Wanaume wenzangu, kuweni makini na wanawake, sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.
Mimi nilikuwa na mpenz pia na nikitaka nimtambulishe nyumbani niuache ukapela,, sasa tar 28 tukapanga aje kunitembelea nikafanya maandalizi makubwa tar 31 nikamtumia nauli tsh 21650 atoe 20000 ya kumleta na kula njiani, sikuamini tar 01 asbh nilimpgia sm akaniambia yuko stand aje lakn baada ya hapo nilikuwa napga simu ananikatia hadi jioni yake alipoamua kuzima simu kabisa.

Kesho yake niliamua kumcheck na namba nyingne akapokea nikamskia ndo yy kisha nikampgia kwa namba yangu kama kawa akaikata tena.
Hadi hapo nikakoswa namna nikaona nifute tu namba yake ila leo ndo ameamua kunifungukia kuwa hana muda na mimi nitabaki hati hati lake silipati..

Mwanamke ni sura nzuri ambayo kwa ndani yake kumejawa kila aina ya uovu na uchafu, sawa sawa na jeneza la dhahabu ambalo kwa ndani limehfadhi maiti.[emoji203] .
Sema hapa hizo sababu ambazo zinapelekea mwanamke amuache mwanaume anayemkuna vizuri, kama ni pesa atamfuata mwenye pesa, kama ni ndoa ataolewa na muoaji, kama ni gari ataenda kwa mwenye gari na kama ni ajira ataenda kwa aliyempa ajira but akimiss mpini wa sex genius atamtafuta tuu, sasa wewe haata mtoto hajapata mwingine ushakula za uso hahaha, ukiwa unajua kumtumia wanakuwaga na heshima kinoma hata akiona hai work anakuaga tena akiwa na huzuni
 
Hata wanaume pia sio wa kuwaamin 100%,inshort tu ukiwa kwenye mahusiano usiwekeze 100% sababu binadamu tunabadilika anytime usishangae ghafla tu unaanza kutukanwa na kuitwa malaya huku hujui umefanyaje hapa ndo utajua wanaume si watu wazur kabisaaaa
Uyasemayo ni kweli ila siyo kweli kwa 100%. Tatizo la watu wanageneralize mambo. Kuna watu wanafurahia ndoa zao na wanaishi kwa amani na wengine wanachukia ndoa zao. Shida ya yote haya ni pale mtu anapokutana na kimeo na yy anataka kulipiza kisasi.
Siwezi kumlaumu mwanamke kwa kuwa alinisaliti ila huwa najilaumu mm kwa kumtongoza na kunikubalia, nisingemtongoza yasingetokea yote. Kuna mwanamke mmoja nilimuambia ''Naichukia sana siku niliyokutongoza na siku uliyonikubalia'' baada ya hapo nilitoweka km ndege ya malaysia na namba nilishabadilisha. Kuna wanawake wazuri sana na wenye mioyo safi tatizo hawa wachache ndiyo wanaharibu sekta hii ya mapenzi na ionekane ya ovyo.
Ukitaka kuepukana haya
-Epuka kutongoza kila mwanamke au kumkubali kila mwanaume wengine ni watu ovyo sana. Kwa sbb wengine ni mikosi
-Jenga urafiki kwanza kbla ya kuingia kwenye mahusiano. Ukishamjua tabia zake ndiyo umkumbalie.
-Na usiwe mtu wa kupelekeshwa na mpenzi. Mpigie hesabu kwanza faida na hasara atakayokuletea, ukiona hasara ni nyingi kuliko faida piga chini mapema.
Watu wema na wabaya wapo. Ni kuwa makini tu kufanya maamuzi sahihi
 
Back
Top Bottom